Ronaldo pamoja na kuwa na hela nyingi mpaka leo hajaoa (ana mchumba tu), lakini wewe Pangu Pakavu ushajitwisha majukumu

Ronaldo pamoja na kuwa na hela nyingi mpaka leo hajaoa (ana mchumba tu), lakini wewe Pangu Pakavu ushajitwisha majukumu

Kuoa oa hovyo na kuzaa zaa tu ni kiashirio cha ujinga na umasikini.

Linganisha jamii zilizoendelea na jamii masikini ni wapi wanaoa oa!

Kwanza kuoa ni sababu ya idle mind na kukosa kazi za kufanya.

Watu wako bize kusoma, kuinvest na kuinvent, wajinga na masikini wako bize na ngono, kuoana na kuzalisha ovyo!
Binadamu humu JF tumebaki 2 tu: mimi na wewe tu.
 
Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.

Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?

Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.

View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
Andrea pirlo alipata kusema ukienda training field/ uwanja wa mazoezi ya christian Ronaldo ndipo utajua kwanini AMESHINDA UCHEZAJI BORA SEVERAL TIMES..
 
Huna hoja, unaandika upuuzi na ushoga, nadhani ni kwa sababu ya ujinga uliopindukia.

Obama ni role model, unajua maana ya role model ndugu?

Obama ni kati ya watu weusi waliostaarabika, kuelimika na kufanya mambo mazuri yanayostahili kuigwa duniani.
Mwambie huyo anayeona kupumua tu ni faida kwake. Wakati hata nyau anapumua. Waafrika akili fupi mno.
 
Kuoa oa hovyo na kuzaa zaa tu ni kiashirio cha ujinga na umasikini.

Linganisha jamii zilizoendelea na jamii masikini ni wapi wanaoa oa!

Kwanza kuoa ni sababu ya idle mind na kukosa kazi za kufanya.

Watu wako bize kusoma, kuinvest na kuinvent, wajinga na masikini wako bize na ngono, kuoana na kuzalisha ovyo!
Afya ya akili iz real ( kupitia hii comment yako unaonyesha ubinafsi wa hali ya juu..bila ngono Mimi na wewe tusingekuwepo)

Ni maoni yangu kwa Nia njema kabisa
 
Afya ya akili iz real ( kupitia hii comment yako unaonyesha ubinafsi wa hali ya juu..bila ngono Mimi na wewe tusingekuwepo)

Ni maoni yangu kwa Nia njema kabisa
Sasa kwani ngono ni lazima uwe umeoa? Usichanganye ndoa na kuoa.
 
Kinacho oa sio hela Bali utimami wa akili ,nafsi na utayari wa kulea(kubeba majukumu na maudhi).
Haya ni mawazo ya kijinga. Putin anaendesha Russia kwa miaka 25 hana mke, ama wewe kwa sababu umeoa basi una majukumu makubwa kuliko Putin?

Elon Musk ana watoto 12, anaendesha makampuni 6 makubwa Duniani yenye thamani ya Dollar billion 5 na yote yanafanya vizuri , kisa wewe umeoa unadhani una majukumu makubwa na akili yako imetimia kuliko Elon Musk ana Putin?

Haya mawazo ya kitaahira mnayatoa wapi?
 
Sasa kwani ngono ni lazima uwe umeoa? Usichanganye ndoa na kuoa.
Ndoa ni neno lenye tafsiri nyingi ie. Kidini, kikabila, kiserikali e.t.c sijataja ndoa nimetaja ngono Mimi na wewe ni products za ngono yaani jinsia me na ke zikiingiliana na other factors zika remain constant Kuna uwezekano wa kiumbe kipya kurutubishwa..

So naona weekend imeanza mapema tuendelee kujipongeza 😊😊😊
 
Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.

Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?

Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.

View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
Ishu ni kujielewa tu, kuna watu hawafai kuwa baba au mume. Na pia kuna watu hawafai kuwa mama au mke. Ukishajitambua upoje ni easy sana. Maana kuna watu by default wanaweza kuimudu ndoa. Ila kuna wengine hawawezi. Sasa hawa ili wawe na maisha mazuri inabidi waishi kama Dayamondi, Ronaldo na Leonardo Di Caprio. Ni kusali na kumwomba Mungu akufungue akili ujijue wewe upo katika nafasi gani. Najua kuna watu watakaopinga lakini hivi vitu nimekuja kujifunza baada ya kuishi huku Ujerumani. Usiige mtu, jitafute jitambue fuata njia yako.
 
Haya ni mawazo ya kijinga. Putin anaendesha Russia kwa miaka 25 hana mke, ama wewe kwa sababu umeoa basi una majukumu makubwa kuliko Putin?

Elon Musk ana watoto 12, anaendesha makampuni 6 makubwa Duniani yenye thamani ya Dollar billion 5 na yote yanafanya vizuri , kisa wewe umeoa unadhani una majukumu makubwa na akili yako imetimia kuliko Elon Musk ana Putin?

Haya mawazo ya kitaahira mnayatoa wapi?
Mkuu endeleza juhudi hizi za kuondoa upumbavu na ujinga uliowajaa hawa vichwa wa Afrika ambao wanadhani kuoa ndiyo kipimo cha ukamilifu.
 
Back
Top Bottom