Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Anataka vijana wote milioni 15 taznania tumuige mshenzi mmoja wa huko kwa wazungu?Kwahiyo Ronaldo ndio kakushikia akili zako sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anataka vijana wote milioni 15 taznania tumuige mshenzi mmoja wa huko kwa wazungu?Kwahiyo Ronaldo ndio kakushikia akili zako sio?
Hiyo hela kwa Ronaldo ni kama hela ya vocha tu.Aisee hatari...kumbe kweli hamna mbususu ya bure.
Dola lakimoja mshahara....i hope anamla tigo huyo mrembo maana hizo ninhela nyingi sana
Ndio kawaida yenuMkuu kama hutaki kuoa basi olewa wewe.
Binadamu humu JF tumebaki 2 tu: mimi na wewe tu.Kuoa oa hovyo na kuzaa zaa tu ni kiashirio cha ujinga na umasikini.
Linganisha jamii zilizoendelea na jamii masikini ni wapi wanaoa oa!
Kwanza kuoa ni sababu ya idle mind na kukosa kazi za kufanya.
Watu wako bize kusoma, kuinvest na kuinvent, wajinga na masikini wako bize na ngono, kuoana na kuzalisha ovyo!
Andrea pirlo alipata kusema ukienda training field/ uwanja wa mazoezi ya christian Ronaldo ndipo utajua kwanini AMESHINDA UCHEZAJI BORA SEVERAL TIMES..Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.
Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?
Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.
View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
Hapa unajaribu kujifariji tu , kumlinganisha binadamu grade A na wanyama. Kama Ronaldo ni mnyama, mimi na wewe tutakuwa kinyesi cha hao wanyama
Mwambie huyo anayeona kupumua tu ni faida kwake. Wakati hata nyau anapumua. Waafrika akili fupi mno.Huna hoja, unaandika upuuzi na ushoga, nadhani ni kwa sababu ya ujinga uliopindukia.
Obama ni role model, unajua maana ya role model ndugu?
Obama ni kati ya watu weusi waliostaarabika, kuelimika na kufanya mambo mazuri yanayostahili kuigwa duniani.
Afya ya akili iz real ( kupitia hii comment yako unaonyesha ubinafsi wa hali ya juu..bila ngono Mimi na wewe tusingekuwepo)Kuoa oa hovyo na kuzaa zaa tu ni kiashirio cha ujinga na umasikini.
Linganisha jamii zilizoendelea na jamii masikini ni wapi wanaoa oa!
Kwanza kuoa ni sababu ya idle mind na kukosa kazi za kufanya.
Watu wako bize kusoma, kuinvest na kuinvent, wajinga na masikini wako bize na ngono, kuoana na kuzalisha ovyo!
Bwabwa wakati ana mtoto amesajiliwa kwenye academy ya mpira?Unajuaje kama sio Bwabwa
Hao alizaa nje kwa bahati mbaya.Bwabwa wakati ana mtoto amesajiliwa kwenye academy ya mpira?
Sasa kwani ngono ni lazima uwe umeoa? Usichanganye ndoa na kuoa.Afya ya akili iz real ( kupitia hii comment yako unaonyesha ubinafsi wa hali ya juu..bila ngono Mimi na wewe tusingekuwepo)
Ni maoni yangu kwa Nia njema kabisa
Haya ni mawazo ya kijinga. Putin anaendesha Russia kwa miaka 25 hana mke, ama wewe kwa sababu umeoa basi una majukumu makubwa kuliko Putin?Kinacho oa sio hela Bali utimami wa akili ,nafsi na utayari wa kulea(kubeba majukumu na maudhi).
Ndoa ni neno lenye tafsiri nyingi ie. Kidini, kikabila, kiserikali e.t.c sijataja ndoa nimetaja ngono Mimi na wewe ni products za ngono yaani jinsia me na ke zikiingiliana na other factors zika remain constant Kuna uwezekano wa kiumbe kipya kurutubishwa..Sasa kwani ngono ni lazima uwe umeoa? Usichanganye ndoa na kuoa.
Ishu ni kujielewa tu, kuna watu hawafai kuwa baba au mume. Na pia kuna watu hawafai kuwa mama au mke. Ukishajitambua upoje ni easy sana. Maana kuna watu by default wanaweza kuimudu ndoa. Ila kuna wengine hawawezi. Sasa hawa ili wawe na maisha mazuri inabidi waishi kama Dayamondi, Ronaldo na Leonardo Di Caprio. Ni kusali na kumwomba Mungu akufungue akili ujijue wewe upo katika nafasi gani. Najua kuna watu watakaopinga lakini hivi vitu nimekuja kujifunza baada ya kuishi huku Ujerumani. Usiige mtu, jitafute jitambue fuata njia yako.Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.
Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?
Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.
View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
Utakuwa hujazishika nyingi labda vichenchiNani kakwambia furaha sio pesa.
"If you think money cant buy happiness, go and ask the homeless and jobless""
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hata mzee Slaa bado anaishi na mchumba wake Josophin kama sijakosea
Mkuu endeleza juhudi hizi za kuondoa upumbavu na ujinga uliowajaa hawa vichwa wa Afrika ambao wanadhani kuoa ndiyo kipimo cha ukamilifu.Haya ni mawazo ya kijinga. Putin anaendesha Russia kwa miaka 25 hana mke, ama wewe kwa sababu umeoa basi una majukumu makubwa kuliko Putin?
Elon Musk ana watoto 12, anaendesha makampuni 6 makubwa Duniani yenye thamani ya Dollar billion 5 na yote yanafanya vizuri , kisa wewe umeoa unadhani una majukumu makubwa na akili yako imetimia kuliko Elon Musk ana Putin?
Haya mawazo ya kitaahira mnayatoa wapi?
Sawa tajiri Mulokozi.Utakuwa hujazishika nyingi labda vichenchi
KATAA NDOA NI UTAPELINani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.
Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?
Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.
View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.