Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Sina utajiri wowote.Sawa tajiri Mulokozi.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Neno tajiri linaangazia mambo mengi sana.
Lakini za mboga huwa nazishika tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina utajiri wowote.Sawa tajiri Mulokozi.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
HongeraSina utajiri wowote.
Neno tajiri linaangazia mambo mengi sana.
Lakini za mboga huwa nazishika tu
Ww nilishoga bila shaka hivi unazijua faida za kisayansi ww kama hujui muangalie hata JOGOO ASUBUHINani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.
Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?
Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.
View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
Kwani hizo faida za jogoo, huyu Ronaldo ambaye ana mchumba lkn hajaoa hawezi kuzipata??Ww nilishoga bila shaka hivi unazijua faida za kisayansi ww kama hujui muangalie hata JOGOO ASUBUHI
Ubinafsi siyo kitu kibaya kama ambavyo unadhani.Afya ya akili iz real ( kupitia hii comment yako unaonyesha ubinafsi wa hali ya juu..bila ngono Mimi na wewe tusingekuwepo)
Ni maoni yangu kwa Nia njema kabisa
Wanashangilia kuzaliwa ili hali hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuharibu mazingira.Mwambie huyo anayeona kupumua tu ni faida kwake. Wakati hata nyau anapumua. Waafrika akili fupi mno.
Master akijibu hili nitagKipindi baba yako ana muoa mama yako na kuzaa mpumbavu kama ww alikuwa tajiri namba ngapi hapa Tz?
Watu wapo wapo tu, wameijaza dunia kama takataka halafu wanashangilia kuzaliwa.Wanashangilia kuzaliwa ili hali hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuharibu mazingira.
Nishajibu kitambo sana. Fuatilia comments za chini yake utaona jibu languMaster akijibu hili nitag
Umeandika hoja nyingi nzurii/ mbaya binafsi,Ubinafsi siyo kitu kibaya kama ambavyo unadhani.
Kama unaweza kusoma na kuelewa kiingereza, unaweza ukasoma kitabu cha Ayn Rand, kinaitwa The virtue of selfishness.
Lakini hata hivyo, kwa mtazamo wa waafrika wengi kuzaa inaweza ikawa ni ubinafsi, kwa sababu wanazaa ili hao watoto waje kuwahudumia wazazi,
Kwa hiyo inakuwa ni kama kuleta ''watumwa', ili kuwatumikisha mara zingine wakiwa hata bado watoto, na wakikua wawe na jukumu la kuwalea hao wazazi wao.
Afya ya akili ni kweli, lakini haiwezi kusababishwa na mtazamo tu juu ya kuoa oa na kuzaa ovyo.
Unavyosema tusingepatikana bila ngono ni kana kwamba bila mimi na wewe kuzaliwa basi dunia ingesimama au mimi na wewe tuna mchango mkubwa sana hapa duniani.
Mara nyingi watoto wanaokuwa na mchango mkubwa ni waliozaliwa kwa mpangilio na wazazi wanaojitambua, wakawapa malezi mazuri,
Hawa wanaozaliwa hovyo tu na wazazi hohehahe wasiojitambua, huwa ni ngumu sana kutoboa.
Yule alikua padre tayari ana sakramenti ya daraja tktifu la upadre awezi kupata sakaramenti ya ndoa kulingana na Catholic lawsHata mzee Slaa bado anaishi na mchumba wake Josophin kama sijakosea
Kwahiyo Josephine alikaa naye kama picha ya ukutanidaraja tktifu la upadre awezi kupata sakaramenti ya ndoa
Kichaa hawezi kuoa.Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.
Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?
Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.
View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
Acha fujo kijana.Kuoa oa hovyo na kuzaa zaa tu ni kiashirio cha ujinga na umasikini.
Linganisha jamii zilizoendelea na jamii masikini ni wapi wanaoa oa!
Kwanza kuoa ni sababu ya idle mind na kukosa kazi za kufanya.
Watu wako bize kusoma, kuinvest na kuinvent, wajinga na masikini wako bize na ngono, kuoana na kuzalisha ovyo!
Hizo mali anamuandalia nani.Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.
Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?
Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.
View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
LINAPOKUJA SUALA LA NDOA MIFUMO YENU YA KIKRISTO IKO VERY COMPLICATED, SUALA LA NDOA LIMEFANYWA NI SUALA LA LIFE AND DEATH, KITU AMBACHO SI SAHIHI, BINAADAMU WANABADILIKA , BINAADAMU HAWATABIRIKI , BONAADAMU WANA MAPUNGUFU. SASA SUALA LA KUMUAMBIA MTU MPAKA KIFO KIWATENGANISHE NI JAMBO GUMU.Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.
Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?
Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.
View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
Kustaarabika?Huna hoja, unaandika upuuzi na ushoga, nadhani ni kwa sababu ya ujinga uliopindukia.
Obama ni role model, unajua maana ya role model ndugu?
Obama ni kati ya watu weusi waliostaarabika, kuelimika na kufanya mambo mazuri yanayostahili kuigwa duniani.