Ronaldo pamoja na kuwa na hela nyingi mpaka leo hajaoa (ana mchumba tu), lakini wewe Pangu Pakavu ushajitwisha majukumu

Ronaldo pamoja na kuwa na hela nyingi mpaka leo hajaoa (ana mchumba tu), lakini wewe Pangu Pakavu ushajitwisha majukumu

Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.

Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?

Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.

View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
Ww nilishoga bila shaka hivi unazijua faida za kisayansi ww kama hujui muangalie hata JOGOO ASUBUHI
 
Afya ya akili iz real ( kupitia hii comment yako unaonyesha ubinafsi wa hali ya juu..bila ngono Mimi na wewe tusingekuwepo)

Ni maoni yangu kwa Nia njema kabisa
Ubinafsi siyo kitu kibaya kama ambavyo unadhani.

Kama unaweza kusoma na kuelewa kiingereza, unaweza ukasoma kitabu cha Ayn Rand, kinaitwa The virtue of selfishness.

Lakini hata hivyo, kwa mtazamo wa waafrika wengi kuzaa inaweza ikawa ni ubinafsi, kwa sababu wanazaa ili hao watoto waje kuwahudumia wazazi,

Kwa hiyo inakuwa ni kama kuleta ''watumwa', ili kuwatumikisha mara zingine wakiwa hata bado watoto, na wakikua wawe na jukumu la kuwalea hao wazazi wao.

Afya ya akili ni kweli, lakini haiwezi kusababishwa na mtazamo tu juu ya kuoa oa na kuzaa ovyo.

Unavyosema tusingepatikana bila ngono ni kana kwamba bila mimi na wewe kuzaliwa basi dunia ingesimama au mimi na wewe tuna mchango mkubwa sana hapa duniani.

Mara nyingi watoto wanaokuwa na mchango mkubwa ni waliozaliwa kwa mpangilio na wazazi wanaojitambua, wakawapa malezi mazuri,

Hawa wanaozaliwa hovyo tu na wazazi hohehahe wasiojitambua, huwa ni ngumu sana kutoboa.
 
Umeandika hoja nyingi nzurii/ mbaya binafsi,
In short icho kitabu nimesha kisoma pia Kama tusipo zaana vya kutosha hatuta kua na man power ya kutosha..

Unajua Tanzania tupo DEPOPULATED ardhi ipo nyingi kuliko idadi ya watu kwa mfano nchi Kama china ni populated unaona walivyo Endelea kwa Kasi WAKATI wanapata uhuru tulikua kwenye level moja na sisi..

Una dhani what should we learnt from china population?!

Pia hoja yako ya ubinsfsi ni pana Sanaa ubinafsi unaweza elezewa kwa mtu mmoja mmoja mpaka ngazi ya kitaifa 😊
Kwa mfano mchezaji wa mpira akimnyima mpira mwenzake alie jiposition vizuri kufunga asitoe pasi na akakosa goli huo pia ni ubinafsi so nakubaliana na wewe mkuu kua Kuna ubinafsi positive/negative
 
Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.

Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?

Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.

View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
Kichaa hawezi kuoa.
Wenye akili zinazofanya kazi vizuri (sisi WANAUME) ndio tunabeba jukumu tukingali na nguvu na mamlaka kamili.
Ninyi wa kiume muigeni CR7 wakati hamjui maagano aliyojiwekea yeye mwenyewe.
 
Kuoa oa hovyo na kuzaa zaa tu ni kiashirio cha ujinga na umasikini.

Linganisha jamii zilizoendelea na jamii masikini ni wapi wanaoa oa!

Kwanza kuoa ni sababu ya idle mind na kukosa kazi za kufanya.

Watu wako bize kusoma, kuinvest na kuinvent, wajinga na masikini wako bize na ngono, kuoana na kuzalisha ovyo!
Acha fujo kijana.
Mbona katiba haijasema hayo achilia mbali bible na quran?
 
Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.

Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?

Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.

View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
Hizo mali anamuandalia nani.
 
LINAPOKUJA SUALA LA NDOA MIFUMO YENU YA KIKRISTO IKO VERY COMPLICATED, SUALA LA NDOA LIMEFANYWA NI SUALA LA LIFE AND DEATH, KITU AMBACHO SI SAHIHI, BINAADAMU WANABADILIKA , BINAADAMU HAWATABIRIKI , BONAADAMU WANA MAPUNGUFU. SASA SUALA LA KUMUAMBIA MTU MPAKA KIFO KIWATENGANISHE NI JAMBO GUMU.

LAKINI PIA KUNA SUALA LA MGAWANYO WA MALI, MKIACHANA MALI ZINAPIGWA PASU KWA PASU HILI NDIO ZAIDI LINALOFANYA NDOA YA KIKRISTO IWE NGUMU
 
Huna hoja, unaandika upuuzi na ushoga, nadhani ni kwa sababu ya ujinga uliopindukia.

Obama ni role model, unajua maana ya role model ndugu?

Obama ni kati ya watu weusi waliostaarabika, kuelimika na kufanya mambo mazuri yanayostahili kuigwa duniani.
Kustaarabika?
Kwangu ni tofauti kidogo,
Kitendo cha huyo Mjaluo kuvuta sigara tu kwangu ni upumbavu uliokithiri.

Mimi nadhani masikini wa mali waliowengi ndio wanamuona huyo OBAMA kama role model wao kwa kudhani kuwa wale binti zake watashindwa kutumia mali za baba yao kikamilifu na kuwapatia wao kama msaada.

Haya mawazo hata mtoa mada anayo sana.
Acheni utegemezi!
Mtu unaishi kwa shemeji yako,utaoa ili iweje?
Dada yako akifukuzwa wewe na mkeo mtabaki?
 
Back
Top Bottom