- Thread starter
- #161
Asante kwa swali hili. Akikujibu unitagHivi wengine huwa mnafikiriaje?
Kwa nini mnadhani kuzaliwa ni faida sana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa swali hili. Akikujibu unitagHivi wengine huwa mnafikiriaje?
Kwa nini mnadhani kuzaliwa ni faida sana?
Uelewa wako ni mchache na hamuelewi chochote, swali ni biashara gani ya uhakika haina changamoto? Ndoa ni hivyo hivyo, mnapoelewana mnaenda mnashindwa Kila mtu anakaa upande wake, unaogopa mgao, ulitakaje? Mmeoa makahaba mnataka wanawake wote wawe makahaba, we subiri Ronaldo aoe ndo ukaoe na weweKilichomkuta Bill Gates na Abromovic unakijua?? Wanawake wa sasa ni business oriented, sasa wee jifanye Mr. Lover man, utakuja kusimulia hapa..
Usioe hutaweza kuishi na mwanamke, endelea kupiga nyetoUsijivunie kuzaliwa, hata panya wanazaliwa.
Hoja yangu ni kwamba kwann wewe usiyekuwa na mbele wala nyuma na huna pa kushika unaoa, wakati Ronaldo mwenye kila kitu haoi?Kwa maana kama limekushinda Moja unaachia yote? Eti mna usafi gani, we mchàfu endelea kujichafua usitake tunuke mavi wakati umejinyea mwenyewe, ushindwe kuoa wewe utushawishi na sisi tusioe, we subiri Ronaldo aoe ndo uoe na wewe
Ili kufanya ngono siyo lazima uoe. Mbona kama unachanganya haya mambo mawili?? Ronaldo si ana mchuchu!!? Nashauri na wewe Pangu Pakavu usioe.Usioe hutaweza kuishi na mwanamke, endelea kupiga nyeto
Kwahiyo kuzaliwa ni hasara?Hivi wengine huwa mnafikiriaje?
Kwa nini mnadhani kuzaliwa ni faida sana?
Ndo maana nikasema huelewi si unaona Sasa? Kwani Ronaldo ni nani mpaka tumfate? Tunamfuata Allah aliyetuagiza tuoe si mtu anayefukuza mpira usio na akili, kwa sababu wewe umeona Ronald ndo ana huku unajua kuoa si pesa na ndo maana R hajaoa, kuoa ni utashi wa mtu na Kila mtu kwa sababu zake, kubwa mtu anataka asimuasi mola wake kama wewe huna mambo ya Imani subir Ronald aoe ndo uoe shida iko wapi sio kutuuliza tumeoa kwa nini?Hoja yangu ni kwamba kwann wewe usiyekuwa na mbele wala nyuma na huna pa kushika unaoa, wakati Ronaldo mwenye kila kitu haoi?
Ona jinga hili...utakuja Kuliwa kisa kuiga iga maisha ya watu.Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.
Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?
Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.
View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
Mambo yako hayo 😹Hili chimbo limekuwa maarufu sana 😄
Hatutaki zinaa tunataka kutimiza maagizo ya mola wetu si ya Ronaldo, yaan we unataka sote tuwe wazinzi? We njaa yetu inakuumia nini wewe?Ili kufanya ngono siyo lazima uoe. Mbona kama unachanganya haya mambo mawili?? Ronaldo si ana mchuchu!!? Nashauri na wewe Pangu Pakavu usioe.
Hakuna kusainishana makaratasi ya kisheria hapa. Tunaishi wote kama hataki aondoke..Uelewa wako ni mchache na hamuelewi chochote, swali ni biashara gani ya uhakika haina changamoto? Ndoa ni hivyo hivyo, mnapoelewana mnaenda mnashindwa Kila mtu anakaa upande wake, unaogopa mgao, ulitakaje? Mmeoa makahaba mnataka wanawake wote wawe makahaba, we subiri Ronaldo aoe ndo ukaoe na wewe
Kakukosea nini zaidi ya hiyo hela yake? Mengine yote alikupa ikiwemo kukuzaa na kukulea.Ni mama yangu mzazi..
Sikumuomba anizae. Samahani sana kwa hilo mkuu.Kakukosea nini zaidi ya hiyo hela yake? Mengine yote alikupa ikiwemo kukuzaa na kukulea.
Ronaldo ndio nani hadi nimfuate yeye?Ili kufanya ngono siyo lazima uoe. Mbona kama unachanganya haya mambo mawili?? Ronaldo si ana mchuchu!!? Nashauri na wewe Pangu Pakavu usioe.
Haya bana.Sikumuomba anizae. Samahani sana kwa hilo mkuu.
kwanini hakunilipa mimi deni langu kiasi kikubwa cha pesa baada ya yeye kulipwa kiinua mgongo chake??
mkuu umepiga mulemule.....toka nimeoa nimebadirika sana, nimepunguza ulevi wa hovyo, napata usingizi, nilikuwa sipati kabisa usingizi, niliugua panic disorder, stress na hangover zilizokuwa zinazasababishwa na unywaji mkubwa wa pombe....niliona kabisa sina maisha marefu zaidi mbele yangu zaidi ya kifo, kuna wakati nilitamani kulia peke yangu japo pesa nilikuwa nayo.........1. Furaha sio pesa
2. Furaha sio kuoa.
Maisha hayatabiriki.
Sulemaini aliwahi kusema hivi;
Jambo la ajabu nimeona, tajiri aenda kwa miguu lakini masikini akibebwa na farasi.
ukiyajua haya utashangaa kuwa wala pesa sio mara zote ni chanzo cha furaha
Nikiwa na mke/mwanamke mweleqa, mwenye akili njema tukawa na bond nzuri...kwangu hii ni zaidi ya furaha.
Hii itanifanya nifikiri na kupanga mipango yangu kwa utulivu na umakini.
kila mtu ana chanzo chake cha furaha.
Kwa walio miliki pesa nyingi kiasi kuanzia angalau bank isome kuanzia 100m watanielewa kuwa kuna vimateso vinakufuata na ukosefu wa amani halisi.
huwezi nielewa hadi umenielewa
NInatafuta mwanamke mwenye akili nimpe furahamkuu umepiga mulemule.....toka nimeoa nimebadirika sana, nimepunguza ulevi wa hovyo, napata usingizi, nilikuwa sipati kabisa usingizi, niliugua panic disorder, stress na hangover zilizokuwa zinazasababishwa na unywaji mkubwa wa pombe....niliona kabisa sina maisha marefu zaidi mbele yangu zaidi ya kifo, kuna wakati nilitamani kulia peke yangu japo pesa nilikuwa nayo.........