Ronaldo pamoja na kuwa na hela nyingi mpaka leo hajaoa (ana mchumba tu), lakini wewe Pangu Pakavu ushajitwisha majukumu

Ronaldo pamoja na kuwa na hela nyingi mpaka leo hajaoa (ana mchumba tu), lakini wewe Pangu Pakavu ushajitwisha majukumu

Kilichomkuta Bill Gates na Abromovic unakijua?? Wanawake wa sasa ni business oriented, sasa wee jifanye Mr. Lover man, utakuja kusimulia hapa..
Uelewa wako ni mchache na hamuelewi chochote, swali ni biashara gani ya uhakika haina changamoto? Ndoa ni hivyo hivyo, mnapoelewana mnaenda mnashindwa Kila mtu anakaa upande wake, unaogopa mgao, ulitakaje? Mmeoa makahaba mnataka wanawake wote wawe makahaba, we subiri Ronaldo aoe ndo ukaoe na wewe
 
Kwa maana kama limekushinda Moja unaachia yote? Eti mna usafi gani, we mchàfu endelea kujichafua usitake tunuke mavi wakati umejinyea mwenyewe, ushindwe kuoa wewe utushawishi na sisi tusioe, we subiri Ronaldo aoe ndo uoe na wewe
Hoja yangu ni kwamba kwann wewe usiyekuwa na mbele wala nyuma na huna pa kushika unaoa, wakati Ronaldo mwenye kila kitu haoi?
 
Usioe hutaweza kuishi na mwanamke, endelea kupiga nyeto
Ili kufanya ngono siyo lazima uoe. Mbona kama unachanganya haya mambo mawili?? Ronaldo si ana mchuchu!!? Nashauri na wewe Pangu Pakavu usioe.
 
Hoja yangu ni kwamba kwann wewe usiyekuwa na mbele wala nyuma na huna pa kushika unaoa, wakati Ronaldo mwenye kila kitu haoi?
Ndo maana nikasema huelewi si unaona Sasa? Kwani Ronaldo ni nani mpaka tumfate? Tunamfuata Allah aliyetuagiza tuoe si mtu anayefukuza mpira usio na akili, kwa sababu wewe umeona Ronald ndo ana huku unajua kuoa si pesa na ndo maana R hajaoa, kuoa ni utashi wa mtu na Kila mtu kwa sababu zake, kubwa mtu anataka asimuasi mola wake kama wewe huna mambo ya Imani subir Ronald aoe ndo uoe shida iko wapi sio kutuuliza tumeoa kwa nini?
 
Ona jinga hili...
Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa.

Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress?

Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata.

View attachment 3188558
Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
Ona jinga hili...utakuja Kuliwa kisa kuiga iga maisha ya watu.
Yeye ni nani hadi awe Kielelezo cha kuoa au kutooa.
 
Ili kufanya ngono siyo lazima uoe. Mbona kama unachanganya haya mambo mawili?? Ronaldo si ana mchuchu!!? Nashauri na wewe Pangu Pakavu usioe.
Hatutaki zinaa tunataka kutimiza maagizo ya mola wetu si ya Ronaldo, yaan we unataka sote tuwe wazinzi? We njaa yetu inakuumia nini wewe?
 
Uelewa wako ni mchache na hamuelewi chochote, swali ni biashara gani ya uhakika haina changamoto? Ndoa ni hivyo hivyo, mnapoelewana mnaenda mnashindwa Kila mtu anakaa upande wake, unaogopa mgao, ulitakaje? Mmeoa makahaba mnataka wanawake wote wawe makahaba, we subiri Ronaldo aoe ndo ukaoe na wewe
Hakuna kusainishana makaratasi ya kisheria hapa. Tunaishi wote kama hataki aondoke..
 
Ronaldo Alishasema anahofia kupoteza nusu ya utajiri wake wakipeana talaka...hata huyo mwanamke amekubali kwamba wakae hivyohivyo sababu anampenda sana jamaa na hapendi kuona hali hiyo ikitokea ukizingatia ndoa hazitabiriki
 
Ili kufanya ngono siyo lazima uoe. Mbona kama unachanganya haya mambo mawili?? Ronaldo si ana mchuchu!!? Nashauri na wewe Pangu Pakavu usioe.
Ronaldo ndio nani hadi nimfuate yeye?

Mjomba siku ukisikia Ronaldo analiwa na wewe utaliwa kwasababu mtu mwenye hela analiwa?
 
1. Furaha sio pesa
2. Furaha sio kuoa.
Maisha hayatabiriki.

Sulemaini aliwahi kusema hivi;
Jambo la ajabu nimeona, tajiri aenda kwa miguu lakini masikini akibebwa na farasi.
ukiyajua haya utashangaa kuwa wala pesa sio mara zote ni chanzo cha furaha

Nikiwa na mke/mwanamke mweleqa, mwenye akili njema tukawa na bond nzuri...kwangu hii ni zaidi ya furaha.
Hii itanifanya nifikiri na kupanga mipango yangu kwa utulivu na umakini.
kila mtu ana chanzo chake cha furaha.

Kwa walio miliki pesa nyingi kiasi kuanzia angalau bank isome kuanzia 100m watanielewa kuwa kuna vimateso vinakufuata na ukosefu wa amani halisi.

huwezi nielewa hadi umenielewa
mkuu umepiga mulemule.....toka nimeoa nimebadirika sana, nimepunguza ulevi wa hovyo, napata usingizi, nilikuwa sipati kabisa usingizi, niliugua panic disorder, stress na hangover zilizokuwa zinazasababishwa na unywaji mkubwa wa pombe....niliona kabisa sina maisha marefu zaidi mbele yangu zaidi ya kifo, kuna wakati nilitamani kulia peke yangu japo pesa nilikuwa nayo.........
 
Huu Mwaka wa ngapi bado ni wachumba?

Bongo utasikia unanipotezea muda, utafikiri amelazimishwa, kumbe anamendea mkwanja wa jamaa.

Wengi wamepata somo alilofundishwa Emanuel Ebue (beki kisiki wa Arsenal iliyotwaa ubibigwa wa EPL Kwa mara ya Mwisho Hata Mwaka sikumbuki😁).

Na walio oa usikute wanatumie syllabus ya Hakimi (Mali ziko Kwa majina ya wazazi)
 
mkuu umepiga mulemule.....toka nimeoa nimebadirika sana, nimepunguza ulevi wa hovyo, napata usingizi, nilikuwa sipati kabisa usingizi, niliugua panic disorder, stress na hangover zilizokuwa zinazasababishwa na unywaji mkubwa wa pombe....niliona kabisa sina maisha marefu zaidi mbele yangu zaidi ya kifo, kuna wakati nilitamani kulia peke yangu japo pesa nilikuwa nayo.........
NInatafuta mwanamke mwenye akili nimpe furaha
 
Back
Top Bottom