Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Atapotea muda sio mrefuMjumbe Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa, Rose Mayemba amemjibu Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu baada ya kusema kwenye kampeni zake kuwa CHADEMA wameweka mpira kwapani, yaani wamekimbia uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025,
"Huwezi ukamfunga Lissu kipindi cha uchauguzi kisha ukasema Lissu ameweka mpira kwapani, umezuia shughuli za chama cha CHADEMA, wewe ndiye umekimbia uchaguzi, umeweka mpira kwapani, umepoteza ushawishi"
Sijui nini kimewapata hawa wapiganaji wa Chadema. Wamenyong'onyea mno.Mjumbe Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa, Rose Mayemba amemjibu Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu baada ya kusema kwenye kampeni zake kuwa CHADEMA wameweka mpira kwapani, yaani wamekimbia uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025,
"Huwezi ukamfunga Lissu kipindi cha uchauguzi kisha ukasema Lissu ameweka mpira kwapani, umezuia shughuli za chama cha CHADEMA, wewe ndiye umekimbia uchaguzi, umeweka mpira kwapani, umepoteza ushawishi"
Maneno magimuMjumbe Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa, Rose Mayemba amemjibu Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu baada ya kusema kwenye kampeni zake kuwa CHADEMA wameweka mpira kwapani, yaani wamekimbia uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025,
"Huwezi ukamfunga Lissu kipindi cha uchauguzi kisha ukasema Lissu ameweka mpira kwapani, umezuia shughuli za chama cha CHADEMA, wewe ndiye umekimbia uchaguzi, umeweka mpira kwapani, umepoteza ushawishi"
Na huu ndiyo ukweli wenyewe. Uwezo wa kushindana na Lissu kwa hoja na ushawishi, hana! Achilia mbali hii CHADEMA ya sasa isiyo na mamluki wao wa miaka nenda.Mjumbe Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa, Rose Mayemba amemjibu Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu baada ya kusema kwenye kampeni zake kuwa CHADEMA wameweka mpira kwapani, yaani wamekimbia uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025,
"Huwezi ukamfunga Lissu kipindi cha uchauguzi kisha ukasema Lissu ameweka mpira kwapani, umezuia shughuli za chama cha CHADEMA, wewe ndiye umekimbia uchaguzi, umeweka mpira kwapani, umepoteza ushawishi"
Na Leo BbC Swahili insyoonyeshwa na Star times eameikatisha ilipokuwa inaongelea uchafuzi wa 2025Mjumbe Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa, Rose Mayemba amemjibu Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu baada ya kusema kwenye kampeni zake kuwa CHADEMA wameweka mpira kwapani, yaani wamekimbia uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025,