Uzito gani wapewe? Unataka wakaishi ikulu ndio ujue wamepewa uzito? Mbona hata kutangazwa humu jamii forum kuwa amefariki ni uzito mkubwaFamilia ya Mwalim haipewi uzito inaostahili. R.I.P Rose
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzito gani wapewe? Unataka wakaishi ikulu ndio ujue wamepewa uzito? Mbona hata kutangazwa humu jamii forum kuwa amefariki ni uzito mkubwaFamilia ya Mwalim haipewi uzito inaostahili. R.I.P Rose
Judge ni mke wa kakake.RiP Rose ....huyu ni yule Judge au ?
Itakuwa ni ile ya pale Victoria pale bila shakahaja ipo.
tena kwa kuongezea tu, ni hospitali inayomilikiwa na taasisi ya usalama wa taifa. hivyo yaani. au unataka nitaje na location ilipo?.
BREAKING NEWS Big news of the world,2nd wave unaijua wewe?? Ukiambiwa leta ushahidi juuu ya hilo utauleta? Tuache kuleta mzaha kwenye mambo yanayogusa nyoyo za wapendwa wa baadhi yetu lete be serious.
1st wave nayo mlitabiri kwamba tutaokota maiti mitaaani lkn holla, sasa mmeanza oooh 2nd wave
Nimeelewa mkuu khs jina lako.Watoto
Ndebile (kisukuma) = watoto njiti
Kuna member kasema maisha ya marehemu yalikuwa ya chini (material things kama nyumba, magari nk) nami nikatoa mfano wa mwanasiasa ambaye ana vitu hivyo lakini bado maisha yake bado ni ya ovyo! Wenye akili wameelewa!
Basi usimalizie kusemahaja ipo.
tena kwa kuongezea tu, ni hospitali inayomilikiwa na taasisi ya usalama wa taifa. hivyo yaani. au unataka nitaje na location ilipo?.
BREAKING NEWS Big news of the world,Corona tumeiua kwa maombi na haipo nchini!!Nasema uongo ndugu zangu!!
Nishafika kwake upanga alikua humble sana very simple.RIP RosemarySana, na alikua anasaidia sana watu,niliwahi kwenda kwake,Upanga huko,Loan Board walikua wanazingua,akanipeleka kwa Mwenyekiti wa Loan Board enzi hizo alikua Nimrord Mkono,Mkono akapiga simu tukaenda kwa Mkurugenzi wa HESLB,tukaenda hadi kule,siku hiyo hiyo mkopo wangu ukawa fresh,nikaambiwa baada ya siku tano mzigo utajaa! Kweli bwana,ilikua jumanne,ijumaa mzigo huo! Mother was very humble,na still akanipa number yake,na bado akanipa na pesa kidogo kabla ya mzigo wa bodi hujazama
BREAKING NEWS Big news of the world,2nd wave unaijua wewe?? Ukiambiwa leta ushahidi juuu ya hilo utauleta? Tuache kuleta mzaha kwenye mambo yanayogusa nyoyo za wapendwa wa baadhi yetu lete be serious.
1st wave nayo mlitabiri kwamba tutaokota maiti mitaaani lkn holla, sasa mmeanza oooh 2nd wave
Source??BREAKING NEWS Big news of the world,
Italy did postmortem of dead corona patient, big revelation happened
Italy has become the first country in the world to perform an autopsy (postmortem) on a dead body from a Covid-19 and, after a comprehensive investigation, has discovered that the Covid-19 does not exist as a virus, but a very large one. Is a global scam. People are actually dying due to "Amplified Global 5G Electromagnetic Radiation (Poison)".
Doctors in Italy have violated World Health Organization (WHO) law, which does not authorize autopsies (postmortem) on the bodies of people who have died from the corona virus in order to find out after some kind of scientific discovery. It cannot be assumed that it is not a virus, but a bacterium that causes death, which causes blood clots to form in the veins, i.e. blood clots in the veins and nerves due to this bacterium and this is the patient Causes the death of.
Italy has beaten the virus, stating that "there is nothing but phelia-intravascular coagulation (thrombosis) and the way to deal with it is to cure it."
Antibiotics tablets
Anti-inflammatory and
Taking Anticoagulants (Aspirin) cures it.
And indicating that a cure for the disease is possible, this sensational news for the world has been prepared by Italian doctors by autopsy (postmortem) of corpses from the Covid-19 virus. According to some other Italian scientists, ventilators and the Intensive Care Unit (ICU) were never needed. Protocols for this have now been issued in Italy.
CHINA already knew about it but never made its report public.
Please share this information with all your family, neighbors, acquaintances, friends, colleagues so that they can get out of the fear of Covid-19 and understand that this is not a virus at all but just a bacterium that is exposed to 5G radiation. The cause is harming people who have very low immunity. This radiation also causes inflammation and hypoxia. Those who fall prey to this should take Asprin-100mg and Apronix or Paracetamol 650mg. Why… ??? क .Because it has been shown that covid-19 causes blood to clot which causes thrombosis to the person and due to which blood clots in the veins and due to this the brain, heart and lungs cannot get oxygen due to which the person Breathing becomes difficult and a person dies quickly due to shortness of breath.
Doctors in Italy disobeyed WHO's protocol and performed autopsies on corpses that had died of covid-19. Doctors opened the arms, legs and other parts of the body and after examining and examining them properly, they noticed that the blood vessels were dilated and the veins were full of thrombi, which usually stopped the blood from flowing. And also reduces the flow of oxygen into the body which causes the patient to die. After learning of this research, the Italian Ministry of Health immediately changed the treatment protocol of Covid-19 and gave aspirin to its positive patients. 100mg and started giving Empromax. As a result, the patients started recovering and their health started showing improvement. The Italian Ministry of Health discharged more than 14,000 patients in a single day and sent them home.
Source: Italian Ministry of Health
[emoji115]COPY TO OTHER GROUPS
Conclusion ninayoiona Ni kuwa Kuna kilio Cha Muda mrefu Cha watanzania kutaka familia hii ipewe heshima ya kipekee kabla hawajatoweka wote tunaasili ya ki monarch hivyo tunawatazama Kama ma Prince lakini sivyo wanavyo chukuliwa, vyeo wanalimbikiziwa watoto wa wakija that is not Honour
Samahani Nina swali la kizushi unayajua MAKABURI wewe na je umejoin JF lini?Kuna thread nyingine humu pia imemtaja JOHN NYERERE kuwa amefariki dunia Muhimbili na kuwa kaka yake Madaraka Nyerere amethibitisha kifo hicho. Ndio kusema watoto wawili wa Mwl. Nyerere wamefariki wakati mmoja au ni misinformation mahali?
Shida ni nini? Watu wengi tu wanafia hapo na hata hospitali za jeshi kama Lugalo hospital nk Hakuna kitu cha ajabu.Ohoo ndio maana kunamdau hapo juu kamaindi kuwa hakukuwa na haja ya kutangaza jina la hospitali
Tatizo wengi huwa hawaangalii tarehe ya uziWw Masundi ni mkongwe humu.....
umeshindwaje kutofautisha thread mpya na ya zamani!!??
BREAKING NEWS Big news of the world,Wangapi wamepimwa mkajua COVID-19 haipo?
RIP Dada Rose.
Kuna tatizo gani kutaja jina la Hospital?Kulikuwa kuna haja gani ya kutaja Jina la Hospitali ?
Hichi ndiyo kidhungu sasa 😀Osipitali ya tisi andaglaund fasiliti
Huwezi kuisikia sana kama ambavyo walengwa wa kutibiwa hiyo hospitali usivyowasikia au kuwajua sana. Iko ndani ya eneo lao ndiyo maana huijui.Huzuni kubwa sana kwa taifa.
But..... hospitali ya Mzena? Ndiyo kwanza naisikia leo, nadhani ina maspeshalisti waliobobea ndiyo maana hata member wa former first family alipelekwa huko!
Kumbuka hii sio nchi ya kifalme kwamba familia nzima ni viongozi na mtapewa heshima wakati wote, aliestahili heshima ni mwalimu na amepewa na anaendelea kupewa na mwingine ni mama Maria anapata heshima yake anayostahili kwa mujibu wa katiba, wanafamilia wengine ni ndugu zetu, wenzetu na wanapata heshima wanayostahili kama wao wanavyotoa heshima kwa wengine. Kwahiyo ulitaka bendera imepepee nusu mlingoti na maombolezo ya siku tatu kwa binti wa mwalimu?Familia ya Mwalim haipewi uzito inaostahili. R.I.P Rose