Rostam Aziz anunua asilimia 31.5 ya Williason Diamonds (Mwadui)

Embu tuiweke in Tzs
15million $ ×2500 = Tzs 37,500,000,000,
 

hilo ndilo limetushinda waAfrica wote, kuichukua hiyo Almasi au dhahabu na kuiweka into uses apart from decorations....iende ikatengeneze mabomu, spare parts, cutting tools, iende kwenye marockets nk...hili limetushinda na ndio maana hata tukiichimba bado mnunuzi na soko ni Weupe na wavimba macho....wakisema hatuhitaji inakula kwetu...

Hilo ndilo limefanya wao kucontrol game maana wao pia ndio wenye mahitaki nayo....hapa kati bei ya coal ilishuka maana hakuna aliyeihitaji na uchimbaji TZ ukasimama, bei imepanda watu wameanza kuja kuchimba, JPM alikaribu kukomaa na Tanzanite ikashushwa thamani soko la dunia na bei ikashuka....Yapo mengi Africa inapaswa kukaa pamoja na kujipanga kutengeneza miguvu ya WaAfrica wenyewe otherwise majamaa yataendelea kutuscrew balaaa
 
Niliona sehemu share ya Tanzania imepungua sijui Biteko anaweza toa ufafanuzi
 
Usitujumuishe na sisi tusiowapumbavu na roho mbaya
We kama mpumbavu na roho mbaya ni wewe na hao wenzako.
 
Sijawahi sikia mwafrika akizaliwa China anakuwa mchina mwenzao.
 
Pamoja na pongezi nyingi kwa RA kununua HISA za Williamson Diamonds Limited but hapo kwenye kusafirisha ALMASI hapo, tukubaliane hapo umedanganya. Kwenye migodi yote, hakunaga ndege inayo ruka from mgodini to South Africa, ingekua hivyo then kulikua hakuna sababu ya kufunga RADA za kuilinda nchi yetu. Fanyeni utafiti vizuri, viwanja vyote vya ndege vya huko bado hizo ndege zake zinatua kwanza kwenye viwanja vyetu vya TAIFA ndipo safari huanzia either Dar, KIA au Mwanza na hiyo mizigo husafiri kama ambavyo mizigo mingine huaga inasafiri, mamlaka za nchi hua zimejiridhisha vizuri kabisa kuhusu hilo; kwa ufupi jamaa hawaibi, wanaruhusiwa na sisi hawa hawa!
 
Acha uboya, mwadui kuna kiwanja cha ndege ndani ya mgodi.

Miaka ya nyuma kilikua kinachukua kuanzia;

1) Wafanyakazi Expart makaburu na kuwapeleka S.A pamoja na kuwarudisha

2) kuleta spares na vifaa vidogo kwaajili ya mgodi. Sambamba na kupeleka vifaa vidogo kwaajili ya Serivices.

3) Ndege zilikua zinachukua almasi moja kwa moja kutoka mwadui kwenda S.A, aliokuja kubadili mfumo ni Magufuli ndio akaamrisha ziwezina pelekwa dar kwaajili ya ukaguzi na kutathminisha.
 
Petra naye kacheza Karata vizuri, its mafia business...amerun with Caspian as a contractor for drill, blast and haulage akiwa hamlipi mpaka alipoona amerudisha hela yake na faida....then anamwambia Caspian sina hela yakukulipa nikuuzie hisa....now wanarun kama business partners wakiinflate operation cost huku share holder mmoja GOT akipigwa hasara...Petra with her shares and Caspian wakiju real opertaion cost na kwenda kugawana mkwanja mbele huko....

GOT make sure all supplies are locals blacks resides here and doing business here, put your eye in op cost..
 
Maneno meeeeeeeeeeeeeeeengi
 
Hongera sana Mzee Rostam,huwa unatutoa kimaso maso sana wewe na Mzee Bakheresa,
Nakuombea ujitanue zaidi ikibidi nunua hata hisa za TTCL,uwe majority share holder,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…