Rostam Aziz: Dkt. Slaa alihongwa 2015 kuisaliti CHADEMA, akapewa Ubalozi

Huyu jamaa kwann kaibuka sana wakat huu
Huyo ndiye mfadhili wa ile sinema ya Roho Tour kule Marekani, ni mtaalam sana wa madili...ndiye pia alichangia % kubwa kumuingiza JK madarakani baadae nadhani unakumbuka ufisadi ulivyoshika hatamu awamu ile.
Kwakifupi ukisikia anatajwatajwa jua kuna harufu kali ya upigaji, tena sio wa kitoto!!.
 
Rostam Aziz Sio kila mtanzania akiamua kuita waandishi ni kuwaita na kuongea nao, tambua tumekuheshimu kwa kujificha ndani ya ccm muda mrefu .

Kuhusu bandari jaribu kutambua ukae kimya.
 
Hivi nani mtanzania orijino na nani feki?
 
Acha ubaguzi wa rangi leta hoja kitokana na alio sema, katiba ya nchi aina popote anapo sema kama mtanzania atakua na ngozi nyeusi.

Huu siyo ubaguzi bali ni kujipendelea na Dunia nzima ni hivyo au unafikiri rostamu anakuona wewe ni sawa na yeye? Ndivyo inavyojidanganya? Sasa kwa taarifa yako hawa Wahindi au Waarabu na Wachina au sijui Persia the only time ukiona wanakujali ni pale wanapokuhitaji wewe mweusi, hawa akina rostamu wanaweza tu kutawala kwa sababu ya watu kama nyie lkn unasahau kwao hawawezi kukupa nafasi yoyote ile.

Kujioendelea siyo Ubaguzi bali ndivyo inavyopaswa kuwa, jamii zote zilizostaaribika zinajipendelea, …
 
Mwemezaji aje awekeze tz alafu likitokea jambo mahakama ya kisutu
Itoe maamuzi [emoji1]
Nani atakuja wekeza

Ova
 
Tafuteni nguvu,pesa acheni ubaguzi

Ova
 
Kama nchi nadhani Kuna laana inatafuna nchi
 
Lisemwalo lipo na kama halipo basi lipo njiani.

Wana cdm tuliongea sana mara baada ya kusalitiwa na Dr Slaa kwenye kipindi kigumu cha uchaguzi.

Wengi tulikuwa na mawazo ya kuwa Slaa amehongwa ili asaliti ukawa usipate ushindi wa kutosha.

Hatimaye leo hii habari hii imerudiwa tena na mwana siasa mwenzake na tajiri mkubwa hapa nchini.

Ukweli utabakia kuwa ukweli kuwa Dr Slaaa alisaliti upnzani.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…