Rostam Aziz: Dkt. Slaa alihongwa 2015 kuisaliti CHADEMA, akapewa Ubalozi

Rostam Aziz: Dkt. Slaa alihongwa 2015 kuisaliti CHADEMA, akapewa Ubalozi

Arudi kwao, Tanzania ndiyo nchi pekee minority wana power na wanatawala tena bila ya aibu, fikiria wewe Mwafrika uzaliwe Irani umiliki kila kitu mpaka wanasiasa halafu ujitokeze kwenye TV ya Taifa Irani unawashutumu wairani na kuwasema vibaya.

Hii yote inawezekana sababu sisi watu weusi ni dhaifu sana, kwa hali ya kawaida huyu alipaswa kujificha na kuomba kukubalika kwetu lkn sisi ndiyo tunaomba kukubaliwa na minority, so sad.

Sikia rostamu, Slaa hata afanye nini ni wetu ni mwenzetu, yuko kama sisi na anafanana na sisi wewe haufanani na sisi, hivyo ukiniuliza mimi nakushauri ujiangalie kwenye kioo tena, hapa ni kwetu sisi na Slaa, got it ?
Ubaguzi wa rangi unatanabaisha mtu anayebagua ana inferiority complex.

Ukiona unambagua binadamu mwenzako kwa rangi yake basi utakuwa umefikia kiwango cha juu kabisa cha ujinga na mara nyingi hali hiyo hutokea pale unapohisi kuzidiwa na kujiona mnyonge mbele ya huyo unayembagua kwa rangi yake.
Hovyo kabisa !
 
Mchana wa leo Rostam amefanya mkutano na waandishi wa habari. Pamoja na mambo mengine ametoa tuhuma nzito kwa serikali na mahakama.

Amesema Dr. Slaa alinunuliwa wakati wa uchaguzi na kukisaliti chama chake cha Chadema na kisha kupewa ubalozi. Hizi ni tuhuma nzito za rushwa wakati wa uchaguzi.

Rostam anasema mashtaka ya mkataba wa kimataifa hayawezi kupelekwa kwenye mahakama zetu kwa sababu Mtu wa serikalini anaweza tu kupiga simu kwa hakimu au Jaji na kumpa maelekezo ya hukumu. Mahakama yetu ina majibu wa kujibu tuhuma hizo.

--
Watanzania wakumbuke kuwa, huyu mtu (Dkt. Slaa) alipokuwa CHADEMA mwaka 2015 alikisaliti chama chake wakati kukiwa kinaelekea kwenye uchaguzi, alikisaliti chama chake kwa kuhongwa, alihongwa ndipo akaasi na kukisaliti chama chake (CHADEMA). Alikaa zake pale Serena baada ya pale akapanda ndege kwenda Canada na kisha akapewa ubalozi

Kwa kifupi Dkt. Slaa hana uadilifu wala uaminifu wa kunisema, mtu ambaye hana msimamo, mbinafsi , anayeangalia maslahi yake na hajawahi kuchangia chochote katika uchumi wa nchi yetu kazi yake ni kupiga tu mdomo. Mtu wa namna hii kumjibu ni shida lakini ni lazima wakati mwingine umjibu
Ameyakanga huko club house wanamchambua kama karanga
 
Dr. Slaa amepiga kwenye kidonda maumivu makalio yamefika kooni hadi kufikia Rostam kuanza kutapika.

Dr. Slaa huwa hakopeshi, anatwanga kweli kweli. Ngoja usubiri baadaye Dr. Slaa (a.k.a Dr. Kizabizabina) atakuja kujibu hizi tuhuma.
 
Kwann rostam amshambulie dr slaa anayetetea bandari kuuzwa?
JE amegusa maslahi binafsii ya wakubwa?

Doctor slaa endelea kuvuta hapo hapo kwenye korodani..
 
Kwa maana hio mwanachama mkongwe na tajiri Bwana Rostam anauthibitishia umma kwamba JPM mwenyekiti wake wa chama na Raisi alikuwa Mhongaji na mtoa rushwa?

Alikuwa wapi kuyasema yote haya?Mbona yeye Slaa kaona jambo kalisema hapohapo yeye kwanini alikaa kimya?
 
Endelea kujidang'anya ni mtanzania mwenzako. Just bcz amezaliwa hapa.
Tafuteni na nyie nguvu ya kiuchumi
Muwe na pesa ili mshikilie rasilimali
Za nchi
Au nyie biashara zenu mnaishia kufungua bar tu na maduka nguo,vipodozi

Ova
 
Back
Top Bottom