mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Badala na wao wapambane wawe vizuri kiuchumi sisi tunaishia kulialia tu kila sikuUbaguzi wa rangi unatanabaisha mtu anayebagua ana inferiority complex.
Ukiona unambagua binadamu mwenzako kwa rangi yake basi utakuwa umefikia kiwango cha juu kabisa cha ujinga na mara nyingi hali hiyo hutokea pale unapohisi kuzidiwa na kujiona mnyonge mbele ya huyo unayembagua kwa rangi yake.
Hovyo kabisa !
Ova