Sidhani kama kuna uongo hapo kwa hayo aliosema. Watanzania tunaendeshwa kwa mihemko na wazimu kichwani.
1) Mikataba Ya Kimataifa (International Contracts) huwa ina tafsiriwa/kuvunjwa/kurekebishwa/kutolewa maelekezo/kudaiwa fidia kwa kutumia Mahakama Ya Kimataifa Ya Biashara pindi mgogoro unapotokea.
Hii ni kwasababu ya kuepusha mataifa au makampuni ya kimataifa, kila mmoja kuvutia upande wake kwenye matumizi ya mahakama za nchi zao pindi mgogoro utakapotokea kwenye mkataba husika.
Mfano, issue ya bandari, Tanzania avutie kutumia Mahakama Za Tanzania ikitokea mgogoro, na Dubai wavutie kutumia Mahakama Za UAE ukitokea mgogoro. Ili kuweka usawa kwenye matumizi ya mahakama basi inatumika ya Mahakama Ya Kimataifa Ya Biashara (Labda pande zote mbili wakubaliane kwa pamoja vinginevyo mahakama gani itumike kukitokea mgogoro).
2) Swala la Dr Slaa, anajulikana yule mzee ni muongo, mzandiki, mfitinishaji na mnafiki. Aliwageuka sio CHADEMA TU, aliwageuka watanzania wote waliokua wanapambana kuitoa CCM kwenye utawala wa kizayuni tokea uhuru wa nchi hii. Na hilo lingetimia 2015! Ila
Akauza utu wake na heshima yake kwa kununuliwa, Akaasi Kambi ya upinzani (Sio chadema tu), Akauza ramani zote za upinzani za kivita, kisha akakimbilia CANADA. Akawa akiishi maisha ya kifahari na upande mwingine akitengeneza sinema anafanya kazi "SUPER MARKET". Watanzania walivo vilaza, wakaamini Dr mwenye PhD anafanya kazi Super Market kufungia wateja mifuko.[emoji23][emoji23][emoji23]
TUKUBALI AU TUKATAE, tutafute sababu kila aina, tuwabague na kuwabeza hawa wanaoongea ukweli licha ya vyama vyao au itikadi;
SPEAKER WA BUNGE, MAWAZIRI, WABUNGE: - kwa pamoja, ndio wameifirimba Tanzania bila kilainishi wala mate kwenye hili swala la bandari! CCM bado ipo kwenye ubora wake wa kuliangamiza taifa!
1) Kupitia kwa Mwang'onda, CCM walitaka kuiuza Kigamboni.
2) Kupitia kwa Kagasheki, CCM walisafirisha wanyama pori kule Arusha. Tena kwa kutumia Uwanja wa Ndege wa KIA, cha ajabu tukaja kuambiwa "Tembo na Twiga wetu wameibiwa sana!!!". Hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kuamini kwamba Tembo au Twiga anaibiwa? Mtu akimuiba Tembo au Twiga anakwenda kumficha wapi akishamuiba? Kwenye mfuko wa rambo au box umpitishe Airport?. Watu wanakula hela, wanajichukulia wanyama na kuuza wanavotaka tunaambiwa wanaiba!!!
CCM ndio saratani inayoliangamiza taifa hili!