Rostam Aziz: Dkt. Slaa alihongwa 2015 kuisaliti CHADEMA, akapewa Ubalozi

Mchana wa leo Rostam amefanya mkutano na waandishi wa habari. Pamoja na mambo mengine ametoa tuhuma nzito kwa serikali na mahakama.

Amesema Dr. Slaa alinunuliwa wakati wa uchaguzi na kukisaliti chama chake cha Chadema na kisha kupewa ubalozi. Hizi ni tuhuma nzito za rushwa wakati wa uchaguzi.

Rostam anasema mashtaka ya mkataba wa kimataifa hayawezi kupelekwa kwenye mahakama zetu kwa sababu Mtu wa serikalini anaweza tu kupiga simu kwa hakimu au Jaji na kumpa maelekezo ya hukumu. Mahakama yetu ina majibu wa kujibu tuhuma hizo.

--
Watanzania wakumbuke kuwa, huyu mtu (Dkt. Slaa) alipokuwa CHADEMA mwaka 2015 alikisaliti chama chake wakati kukiwa kinaelekea kwenye uchaguzi, alikisaliti chama chake kwa kuhongwa, alihongwa ndipo akaasi na kukisaliti chama chake (CHADEMA). Alikaa zake pale Serena baada ya pale akapanda ndege kwenda Canada na kisha akapewa ubalozi

Kwa kifupi Dkt. Slaa hana uadilifu wala uaminifu wa kunisema, mtu ambaye hana msimamo, mbinafsi , anayeangalia maslahi yake na hajawahi kuchangia chochote katika uchumi wa nchi yetu kazi yake ni kupiga tu mdomo. Mtu wa namna hii kumjibu ni shida lakini ni lazima wakati mwingine umjibu
Jiwe la gizani...Atakuwa ameguswa sehemu nyeti mpaka ametoka hadharani kwa kilio...Asicheze na Jesuit hajui atendalo...The power of holy sea?!
 
Leo mtu mkubwa sana ambaye kapata kushika vyeo vingi CCM na kuwa Mbunge na pia ni mfanyabiashara mjanja mjanja ametamka kwenye press kuwa walimhonga Dr Slaa kwa vile alikuwa anawapelekesha na sasa wamemtosa.

Kumbe CCM inayopinga rushwa (kama ahadi ya chama ya sipokei wala kutoa rushwa) ndiyo kinara wa rushwa na inagawa mpaka vyeo, jee hawa watu wanastahili hata kuwasikiliza?

Tupewe ishara gani kutambua kuwa umasikini wa watu wetu chanzo ni hawa watu? Tumelogwa?

20230626_190630.jpg
 
Huyu fisadi rostam anapata wapi nguvu ya kumsema slaa? Huyu si ndio alituuzia vocha feki na kampuni yake ya shivacom? Na hakushtakiwa? Hawa ndio wamemwingiza mama kwenye matatizo ya bandari Kwa tamaa ya kutaka kupora mali za nchi? Na huyu mtanzania feki anapata wapi uhalali wa kuwazungumzia watanzania original?
Wewe ni chizi sana, kwani mtanzania akiwa bwege hasisemwe? Silaa alichokifanya ni ujinga kuuza nchi, watanzania wengi sio wazalendo braza acha sa100 auze bandari aise
 
Leo mtu mkubwa sana ambaye kapata kushika vyeo vingi CCM na kuwa Mbunge na pia ni mfanyabiashara mjanja mjanja ametamka kwenye press kuwa walimhonga Dr Slaa kwa vile alikuwa anawapelekesha na sasa wamemtosa.
Kumbe CCM inayopinga rushwa (kama ahadi ya chama ya sipokei wala kutoa rushwa) ndiyo kinara wa rushwa na inagawa mpaka vyeo, jee hawa watu wanastahili hata kuwasikiliza?
Tupewe ishara gani kutambua kuwa umasikini wa watu wetu chanzo ni hawa watu? Tumelogwa?
View attachment 2669613
Sasa ndugu yang Chakaza mpaka leo ulikua hujui hilo? Kwa ushawishi upi walionao, ndio maan wanatafuta wenye ushawish kwa gharama yoyote!!
 
Leo mtu mkubwa sana ambaye kapata kushika vyeo vingi CCM na kuwa Mbunge na pia ni mfanyabiashara mjanja mjanja ametamka kwenye press kuwa walimhonga Dr Slaa kwa vile alikuwa anawapelekesha na sasa wamemtosa.
Kumbe CCM inayopinga rushwa (kama ahadi ya chama ya sipokei wala kutoa rushwa) ndiyo kinara wa rushwa na inagawa mpaka vyeo, jee hawa watu wanastahili hata kuwasikiliza?
Tupewe ishara gani kutambua kuwa umasikini wa watu wetu chanzo ni hawa watu? Tumelogwa?
View attachment 2669613
Aibu kubwa sana !
 
Huyu bilionea kafanya botox injections asionekane mzee. He appears facially bloated kwa umri wake.
 
Leo mtu mkubwa sana ambaye kapata kushika vyeo vingi CCM na kuwa Mbunge na pia ni mfanyabiashara mjanja mjanja ametamka kwenye press kuwa walimhonga Dr Slaa kwa vile alikuwa anawapelekesha na sasa wamemtosa.
Kumbe CCM inayopinga rushwa (kama ahadi ya chama ya sipokei wala kutoa rushwa) ndiyo kinara wa rushwa na inagawa mpaka vyeo, jee hawa watu wanastahili hata kuwasikiliza?
Tupewe ishara gani kutambua kuwa umasikini wa watu wetu chanzo ni hawa watu? Tumelogwa?
View attachment 2669613
Hivi usalama wa taifa kwanini wanamlea RA?
 
Rostam asingejibu!

Nani kamwambia ajibu!!?

Hajui huyo slaa katumwa na nani!!?sio Pengo!!?

Pengo alipomuomba jasusi asamehe akashupaza shingo hukumbuki nini kilitokea!!?

Umenielewa!!?

Kitengo kazini!
Yaani mtu asemwe tu pasipo yeye kujibu
 
Back
Top Bottom