Rostam Aziz: Dkt. Slaa alihongwa 2015 kuisaliti CHADEMA, akapewa Ubalozi

Mchana wa leo Rostam amefanya mkutano na waandishi wa habari. Pamoja na mambo mengine ametoa tuhuma nzito kwa serikali na mahakama.

Amesema Dr. Slaa alinunuliwa wakati wa uchaguzi na kukisaliti chama chake cha Chadema na kisha kupewa ubalozi. Hizi ni tuhuma nzito za rushwa wakati wa uchaguzi.

Rostam anasema mashtaka ya mkataba wa kimataifa hayawezi kupelekwa kwenye mahakama zetu kwa sababu Mtu wa serikalini anaweza tu kupiga simu kwa hakimu au Jaji na kumpa maelekezo ya hukumu. Mahakama yetu ina majibu wa kujibu tuhuma hizo.

--
Watanzania wakumbuke kuwa, huyu mtu (Dkt. Slaa) alipokuwa CHADEMA mwaka 2015 alikisaliti chama chake wakati kukiwa kinaelekea kwenye uchaguzi, alikisaliti chama chake kwa kuhongwa, alihongwa ndipo akaasi na kukisaliti chama chake (CHADEMA). Alikaa zake pale Serena baada ya pale akapanda ndege kwenda Canada na kisha akapewa ubalozi

Kwa kifupi Dkt. Slaa hana uadilifu wala uaminifu wa kunisema, mtu ambaye hana msimamo, mbinafsi , anayeangalia maslahi yake na hajawahi kuchangia chochote katika uchumi wa nchi yetu kazi yake ni kupiga tu mdomo. Mtu wa namna hii kumjibu ni shida lakini ni lazima wakati mwingine umjibu
Mpaka zile fununu kwamba walimwondosha mwamba ambaye laiti angekuwepo asinge fungua mdomo kutapia yaliyoujaza moyo. Alikuwa naye bega kwa bega Morogoro wakati anafungua kiwanda chake cha kukoboa mpunga. Mze wa watu alipofika tu Dar kafungua kiwanda kingine cha polisi tayari kichwa na moyo vikagoma kushirikiana....
Watanzania endeleeni kukosoa kwa nguvu zote mpaka Ben saa8 na wengineo watatamka hadharani kilichowapoteza subirini mtaona Mungu yuko kazini sio mchezo
 
Jpm aliua mihimili yote inao unda state lawama zote ziende kwa mwendazake, bunge mahakama na baraza la mawaziri aliziingia nakuweka watu wake
Umekuwa mwepesi Sana kumhukumu JPM . Ukifuata maneno ya wanasiasa Hawa hutakuja kuona mema ya Rais aliyepita. Acha waongee nawe tafakari kwa kina.hakuna masafi hata kidogo kwa serikali ya sasa.
 
Jinsi JPM alivyoua mihimili inahitaji kutafakari? Leo imebawekwa uchi jinsi alimnunua Dr.Slaa na kumhonga ubalozi. Hili ni jambo jepesi? Mzalendo anahonga vyeo?
 
Makamanda wote nyie mna Bei zenu huko Ndio maana kazi yenu huwa Ni kuropoka tu Kama makasuku,kwa ajili ya kutetea matumbo yenu wakati CCM inawatetea watanzania wanyonge,Nyie machadema Ni mavinyonga , wababaishaji,wasaka tonge na watu msiojitambua
Hapo ndipo unapoonyesha upumbaf wako, unakihonga kioo cha kujitazamia sura yako uchane nywele vizuri kwa kukipulizia rangi kishindwe kuonyesha ulivyo kibwengo? Ok, ukitoka nje unaonekana ulivyo mchafu kisa kuhonga kioo kisifanye kazi yake ya kukurekebisha wewe!
Kweli madudusa yako huko kwenu!
 
Hatimaye wachawi waanza kutajana
Na usisahau kuwa 2 i/c commander wa wakati huo wa Rushwa ndiye CiC wa sasa. Alichofanya Rostam ni kamuumbua CiC wa sasa kuwa tabia yao ya kutoa rushwa kwa wanao wapinga ndio ilidhoofisha watetezi wa Watanzania.
Kweli ukimzoea sana Mbwa atakufata hadi msikitini, Rostam kawafata hadi Magogoni na Chamwino na amekunya kabisa!
 
Mchana wa leo Rostam amefanya mkutano na waandishi wa habari. Pamoja na mambo mengine ametoa tuhuma nzito kwa serikali na mahakama.

Amesema Dr. Slaa alinunuliwa wakati wa uchaguzi na kukisaliti chama chake cha Chadema na kisha kupewa ubalozi. Hizi ni tuhuma nzito za rushwa wakati wa uchaguzi.

Rostam anasema mashtaka ya mkataba wa kimataifa hayawezi kupelekwa kwenye mahakama zetu kwa sababu Mtu wa serikalini anaweza tu kupiga simu kwa hakimu au Jaji na kumpa maelekezo ya hukumu. Mahakama yetu ina majibu wa kujibu tuhuma hizo.

--
Watanzania wakumbuke kuwa, huyu mtu (Dkt. Slaa) alipokuwa CHADEMA mwaka 2015 alikisaliti chama chake wakati kukiwa kinaelekea kwenye uchaguzi, alikisaliti chama chake kwa kuhongwa, alihongwa ndipo akaasi na kukisaliti chama chake (CHADEMA). Alikaa zake pale Serena baada ya pale akapanda ndege kwenda Canada na kisha akapewa ubalozi

Kwa kifupi Dkt. Slaa hana uadilifu wala uaminifu wa kunisema, mtu ambaye hana msimamo, mbinafsi , anayeangalia maslahi yake na hajawahi kuchangia chochote katika uchumi wa nchi yetu kazi yake ni kupiga tu mdomo. Mtu wa namna hii kumjibu ni shida lakini ni lazima wakati mwingine umjibu
Naunga mkono hoja,na usikute hata hela aliyohongwa Dr. Slaa imelipwa na huyu Rostam Aziz
 
aeleze, nani alimhonga ili tujue chama cha wahongaji ni kipi?
 
Kama ni kweli huu ni ushahidi toka kwa mwana ccm kuwa chama kinawanunua wapinzani kwa muda mrefu
 
Back
Top Bottom