Rostam Aziz: Mjadala wa Bandari unajadiliwa kishabiki. Bandari kuendeshwa na wawekezaji ni jambo la busara sana

Wanajidai eti serikali isifanye biashara. Hivi kuendesha bandari ni biashara gani? Kutoza ushuru bandarini ni jukumu la serikali ili kupata mapato serikali. Tena tangu jadi bandari ni mali ya serikali au tuite dola. Hawa wanaotaka kufanya bandari biashara wanahatarisha uhuru na usalama wa nchi kwa kuwapa watu binafsi kudhibiti bandari zetu kama mali yao binafsi.
 

Aliiga ulaya.

Hakubuni bali alianzisha mwenyew kwasababu serekali ya sisiem haikuwa na akili hiyo,Usiseme kabuni sawa?

Aya futa hiyo comment
 
Hili jizi liambie liende likasemee hayo kwao Iran nyambaff
 
Naona joto limepanda sana,

Naamini Mzee yule Yuko mbioni kutia neno, ila ajipange.
 
Mfyuuu, aje ajibu hoja za Tundu Lissu basi sio kutuletea utopolo hapa...
 
Huyu jamaa ni mwarabu na ni mwizi papa wa fedha za watanzania
 
Communication ni shida serikalini.

Chukulia watu wanaokaa karibu na ‘zoo’ maeneo ambayo wenyeji awajui lolote kuhusu tabia za wanyamapori.

Siku wakipata habari Simba katoroka zoo na inawezekana yupo maeneo yao. Unadhani watatasikiliza ushauri wa mwenyekiti wa kijiji jinsi ya kukabiliana nae ambae wamekuwa nae mtaani akitoa wazo zuri au wangependa kupata ushauri wa morani ambao wana mazoea ya kuchunga maeneo ya Simba huko maporini.

Ndio kama huu upuuzi wa serikali unapeleka mtu kama Rostam ambae tayari watanzania washampa lebel ya ‘devils advocate’ (ukweli au la ni swala lingine), wamekazana kumuweka Kitilla mbele ambae anakiri yeye sio mwanasheria awezi dadavua hiyo IGA technically kisheria, mara sijui makada wa CCM ambao wanashutumiwa na jamii kukosa uzalendo.

Learn to understand who is likely to be trusted with information in clarifying matters and their authority on the subject.

On this instance unahitaji wanasheria wa serikali kufafanua technical issues; like how pathetic is the Tanzania government when it comes controlling social narrative and being on top misinformation war.

Ndio maana kila siku huwa tunawaambia usalama wa taifa unaitwa intelligence kwa sababu ni kweli mchezo wa watu wenye akili and not otherwise.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…