Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Polisi ni watu wa hovyo sn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumhamisha toka Dodoma kwenda Dar es Salaam ni promosheni kwa kazi nzuri aliyoifanya, hongera Mallya.Tumeona taarifa kwenye vyombo vya habari yenye kichwa cha habari kinachosema, "RPC; ANAYEDAIWA KUBAKWA NA KULAWITIWA ALIKUWA KAMA ANAJIUZA", kauli inayodaiwa kutolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma. Hayo yametokana na mazungumzo kwa njia ya simu na Mwandishi wa gazeti la Mwananchi ambaye miongoni mwa maswali aliyomuuliza kamanda (mwandishi huyo), Je upelelezi wa kesi umekamilika? na swali lingine alilomuuliza inadaiwa alikuwa anajiuza? Majibu ya kamanda aliyomjibu mwandishi huyo ni kwamba hata kama ni hivyo hangestahili kutendewa hivyo.
Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa kuwa kauli hiyo kama inavyoonekana kwenye hicho kichwa cha habari siyo msimamo wa Jeshi la Polisi kauli sahihi ni kama zilivyotolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi kwa umma Agosti 4,6 na 9,2024. Vilele tungependa kujulisha kuwa watuhumiwa watafikishwa mahakamani leo Agosti 19,2024.
Jeshi la Polisi lingependa kuomba radhi kwa kila mmoja aliyeguswa na kuchukizwa na kauli hiyo inayosambaa kwenye vyombo vya habari wakati ufuatiliaji ukifanyika kupata usahihi wake. Aidha wakati uchunguzi huo wa kupata usahihi wa kauli hizo, Mkuu wa Jeshi la Polisi amefanya mabadiliko madogo kwa kumhamisha Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi SACP Theopista Mallya kwenda Makao Makuu ya Polisi Dodoma na nafasi yake inachukuliwa na Kamishna Msaidizi Mwandamizi SACP George Katabazi.
View attachment 3073887
Pia soma>> Polisi: Wanaotuhumiwa kubaka na kulawiti ni kama wavuta bangi, hawakutumwa na Afande, yule dada alikuwa kama anajiuza
Ukiacha maneno kama "Tumeona, Tungependa" ambayo hayawezi kuwa lugha ya Kitaasisi, na mwandishi kutokujua wapi inakaa herufi kubwa na wapi panahitaji space, taarifa haipo katika akaunti ya polisi huko instaWeka link ya hiyo akaunti ya Polisi iliyopo Instagram
Sidhani kama hiyo taarifa ya polisi ni ya kweli sababu kwenye website na mitandao yao ya kijamii ilo tangazo haipo.Hiyo barua iwekwe sahihi, tena achukuliwe hatua
Afande kaongea ukweli wa kesi .ila kawaida ya ukweli hua mchungu ..kumbe hata hao c maafande ni wahuni tuh wameamua kumfanyia uyo DadaHivi kama ushahidi inaonyesha dogo alikua anajiuza haikutakiwa kusema?? Wale jamaa ndio wanamakosa kumrekod lakin Yule BINTI nae mpaka kafika pale itakua kuna kitu
CCM inataka utendaji kazi wa maana zaidi ya kuiba?Lakini imemuuma hio.
Imeonyesha utendaji mbovu wa kazi kwakena hana akili.
Makao makuu ni Dodoma siyo Dar anaenda tu na bajajiKumhamisha toka Dodoma kwenda Dar es Salaam ni promosheni kwa kazi nzuri aliyoifanya, hongera Mallya.
Makao makuu ni Dodoma, anabaki hapohapo Dodoma lakini siyo RPC.Kumhamisha toka Dodoma kwenda Dar es Salaam ni promosheni kwa kazi nzuri aliyoifanya, hongera Mallya.
Sawa anajiuza mbona walikua wanamtishia kumpiga na chupa za bia , sawa anajiuza mbona binti aliomba maji walikataa kumpaHivi kama ushahidi inaonyesha dogo alikua anajiuza haikutakiwa kusema?? Wale jamaa ndio wanamakosa kumrekod lakin Yule BINTI nae mpaka kafika pale itakua kuna kitu
Ndio hicho nilichokizungumzia nafasi ya kimadarakaAmeondolewa madaraka tu, lakini rank yake inabaki palepale, zile bahasha za URPC ndio basi tena.
Makao makuu ni kusoma magazeti tu hakuna wa kukuletea rushwa.
Serikalini kuna watu wengi sana wenye akili ndogo yani hawana uwezo wa kiakiliTumeona taarifa kwenye vyombo vya habari yenye kichwa cha habari kinachosema, "RPC; ANAYEDAIWA KUBAKWA NA KULAWITIWA ALIKUWA KAMA ANAJIUZA", kauli inayodaiwa kutolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma. Hayo yametokana na mazungumzo kwa njia ya simu na Mwandishi wa gazeti la Mwananchi ambaye miongoni mwa maswali aliyomuuliza kamanda (mwandishi huyo), Je upelelezi wa kesi umekamilika? na swali lingine alilomuuliza inadaiwa alikuwa anajiuza? Majibu ya kamanda aliyomjibu mwandishi huyo ni kwamba hata kama ni hivyo hangestahili kutendewa hivyo.
Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa kuwa kauli hiyo kama inavyoonekana kwenye hicho kichwa cha habari siyo msimamo wa Jeshi la Polisi kauli sahihi ni kama zilivyotolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi kwa umma Agosti 4,6 na 9,2024. Vilele tungependa kujulisha kuwa watuhumiwa watafikishwa mahakamani leo Agosti 19,2024.
Jeshi la Polisi lingependa kuomba radhi kwa kila mmoja aliyeguswa na kuchukizwa na kauli hiyo inayosambaa kwenye vyombo vya habari wakati ufuatiliaji ukifanyika kupata usahihi wake. Aidha wakati uchunguzi huo wa kupata usahihi wa kauli hizo, Mkuu wa Jeshi la Polisi amefanya mabadiliko madogo kwa kumhamisha Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi SACP Theopista Mallya kwenda Makao Makuu ya Polisi Dodoma na nafasi yake inachukuliwa na Kamishna Msaidizi Mwandamizi SACP George Katabazi.
View attachment 3073887
Pia soma>> Polisi: Wanaotuhumiwa kubaka na kulawiti ni kama wavuta bangi, hawakutumwa na Afande, yule dada alikuwa kama anajiuza
Mitandao ya kijamii mingi tu imepiga kelele kuhusu kauli ya huyo RPC,sio Jamiiforums peke yake,Sasa nimeamini jf ndio mtandao wa kuaminiwa !!
Asante Mungu Kwa akili ya mwanzilishi wa mtandao huu!
Mwanadiwani bila shaka alikuwa.... Lizaboni wengi walimhisi ni Madelu lameck nchemba huku hamy d akidaiwa ni Mwana wa Moses wakati huo huo buku 7 from lumumba wakitumia mheko kujibu hoja... Alipoingia mwendazake magogongoni na kwenda lumumba aliwafurrumusha woteTeuzi za akina Dr Mwigullu, Dr Kigwangalla, MwanaDiwani nk zote zilianzia hapa Jf
Bado Lucas na ChoiceVariable 😂
Kazi na mshahara ambavyo ni muhimu anabaki navyo, madaraka ni majaliwa.Makao makuu ni Dodoma, anabaki hapohapo Dodoma lakini siyo RPC.
Rushwa atakosa lakiniKazi na mshahara ambavyo ni muhimu anabaki navyo, madaraka ni majaliwa.
Can you imagine unamkosesha mtoto wa mwanamke mwenzio haki. na tena una mchafua unatengeneza uongo eti "kama alikuwa anajiuza" sure? Wakati kwenye clip wabakaji wanamtuhumu kwa sauti kabisa wametumwa na afande.Uyo shangazi aliongea kumlinda mshangazi mwenzio ..
Polisi ni kazi ya laana .
DAR ndio HQ ya Polisi? 😂😂Kumhamisha toka Dodoma kwenda Dar es Salaam ni promosheni kwa kazi nzuri aliyoifanya, hongera Mallya.
Tahadhari, usimpe maji kwa usalama wake mtu aliyejeruhiwa.Sawa anajiuza mbona walikua wanamtishia kumpiga na chupa za bia , sawa anajiuza mbona binti aliomba maji walikataa kumpa