Wayaongee huko baraza kuu akina Mdee wanasema wana ushahidi Wa kila kitu kwa nini Mbowe na Mnyika hawataki kuitisha kikao cha baraza kuu ? Usisikilize upande mmoja waitishe kikao cha baraza kuu kama katiba inavyotaka ya Chadema mbivu na mbichi zijulikane kikaoni.Kiitishwe mwambieni Mbowe na Mnyika waitishe hicho kikao na agenda iwe moja tu kujadili hao mnaowaporomoshea matusi na kuwaita COVID19 kusiweko agenda ingineDuh sasa Halima alipeleka kiambatanishi gani hapo kwa Ndugae kuwa kateuliwa na CDM? Na Je kwa nini Halima asihamie tu CCM ili kumaliza mzozo?
Hao wanawake ndio wanania mbaya ya kumchafua ke mwenzao tena Kwa makusudi Kwa nini wasiandamane kipindi cha Magufuli hao wabunge wao walipoingia Bungeni kuapishwa?Nia yenu kutaka kumuharibia mama,ndio kampeni mliyonayo ili naye aonekane ni kama mpita njia, maandamano ya amani ya watu wasio na silaha tangu lini yakahatarisha usalama?
Hakuna kiboko mbele ya mwanamke,ukimpiga tu wanawake wote wanaandamana nchi nzima,we mwenyewe hapa ni ndezi tu kwa mkeo.Kamanda Gilles Muroto. Huyu jamaa ni kiboko yao.
Makamanda uchwara wamebaki kujikunja mtandaoni na kulalamika. Muroto keshasema asiyefunzwa na mama'ake atafunzwa na polisi. Sasa tuone kama akina chiburabanu wataonyesha sura zao.Hakuna kiboko mbele ya mwanamke,ukimpiga tu wanawake wote wanaandamana nchi nzima,we mwenyewe hapa ni ndezi tu kwa mkeo.
Duh!! Naona utawala wa kufata sheria na kanuni ni mgumu sana Afrika.Nadhani ndio maana spika kajiwekea kinga ya kutoshitakiwa.Ngoja tuone Rais Hassan naye ataamuaje!Wayaongee huko baraza kuu akina Mdee wanasema wana ushahidi Wa kila kitu kwa nini Mbowe na Mnyika hawataki kuitisha kikao cha baraza kuu ? Usisikilize upande mmoja waitishe kikao cha baraza kuu kama katiba inavyotaka ya Chadema mbivu na mbichi zijulikane kikaoni.Kiitishwe mwambieni Mbowe na Mnyika waitishe hicho kikao na agenda iwe moja tu kujadili hao mnaowaporomoshea matusi na kuwaita COVID19 kusiweko agenda ingine