RPC Muroto atoa onyo kwa BAWACHA, asema wanaotaka kuandamana watakipata wanachokitafuta wakasimulie wenzao huko Geita

RPC Muroto atoa onyo kwa BAWACHA, asema wanaotaka kuandamana watakipata wanachokitafuta wakasimulie wenzao huko Geita

Duh sasa Halima alipeleka kiambatanishi gani hapo kwa Ndugae kuwa kateuliwa na CDM? Na Je kwa nini Halima asihamie tu CCM ili kumaliza mzozo?
Wayaongee huko baraza kuu akina Mdee wanasema wana ushahidi Wa kila kitu kwa nini Mbowe na Mnyika hawataki kuitisha kikao cha baraza kuu ? Usisikilize upande mmoja waitishe kikao cha baraza kuu kama katiba inavyotaka ya Chadema mbivu na mbichi zijulikane kikaoni.Kiitishwe mwambieni Mbowe na Mnyika waitishe hicho kikao na agenda iwe moja tu kujadili hao mnaowaporomoshea matusi na kuwaita COVID19 kusiweko agenda ingine
 
Nia yenu kutaka kumuharibia mama,ndio kampeni mliyonayo ili naye aonekane ni kama mpita njia, maandamano ya amani ya watu wasio na silaha tangu lini yakahatarisha usalama?
Hao wanawake ndio wanania mbaya ya kumchafua ke mwenzao tena Kwa makusudi Kwa nini wasiandamane kipindi cha Magufuli hao wabunge wao walipoingia Bungeni kuapishwa?
 
Hakuna kiboko mbele ya mwanamke,ukimpiga tu wanawake wote wanaandamana nchi nzima,we mwenyewe hapa ni ndezi tu kwa mkeo.
Makamanda uchwara wamebaki kujikunja mtandaoni na kulalamika. Muroto keshasema asiyefunzwa na mama'ake atafunzwa na polisi. Sasa tuone kama akina chiburabanu wataonyesha sura zao.
 
Wayaongee huko baraza kuu akina Mdee wanasema wana ushahidi Wa kila kitu kwa nini Mbowe na Mnyika hawataki kuitisha kikao cha baraza kuu ? Usisikilize upande mmoja waitishe kikao cha baraza kuu kama katiba inavyotaka ya Chadema mbivu na mbichi zijulikane kikaoni.Kiitishwe mwambieni Mbowe na Mnyika waitishe hicho kikao na agenda iwe moja tu kujadili hao mnaowaporomoshea matusi na kuwaita COVID19 kusiweko agenda ingine
Duh!! Naona utawala wa kufata sheria na kanuni ni mgumu sana Afrika.Nadhani ndio maana spika kajiwekea kinga ya kutoshitakiwa.Ngoja tuone Rais Hassan naye ataamuaje!
 
Kupiga mtu ni kuvunja sheria. Kama mtu anavunja sheria basi jukumu la polisi ni kumkamata na kumshtaki na sio kumpiga. Kutishia kupiga watu ni kutishia kuvunja sheria. Kamanda Muroto anatishia kuvunja sheria. Shida ni kwamba aina hii ya uvunjwaji wa sheria imekuwa ikishangiliwa na viongozi waliopo madarakani.

Mama ni tofauti? Kama ni walewale basi tutegemee Muroto apewe pongezi na hata kupandishwa cheo atakapowapiga na kuwadhadhalisha wakinamama wa Chadema.

It will take a real change of leadership for our cops to recover from the mediocrity into which they have sunk. Pathetic!
 
Back
Top Bottom