YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Wayaongee huko baraza kuu akina Mdee wanasema wana ushahidi Wa kila kitu kwa nini Mbowe na Mnyika hawataki kuitisha kikao cha baraza kuu ? Usisikilize upande mmoja waitishe kikao cha baraza kuu kama katiba inavyotaka ya Chadema mbivu na mbichi zijulikane kikaoni.Kiitishwe mwambieni Mbowe na Mnyika waitishe hicho kikao na agenda iwe moja tu kujadili hao mnaowaporomoshea matusi na kuwaita COVID19 kusiweko agenda ingineDuh sasa Halima alipeleka kiambatanishi gani hapo kwa Ndugae kuwa kateuliwa na CDM? Na Je kwa nini Halima asihamie tu CCM ili kumaliza mzozo?