CIG ?? au unamaanisha CAG??Mawazo ya kimaskini yanashida sana
Ww sehemu ambayo unaona kunafujwa ela ni kwa hao wabunge 19 tu
Ulisoma reports ya CIG lakini?
Tuache wivu usio na msingi, nyie mlisusa na mkagoma sasa now kelele za nini tena?
CIG ?? au unamaanisha CAG??
Tulimkataa Jiwe na genge lake siyo SASHA.Majina ya ukweli kutoka wapi?
Kwani uchaguzi mmeutambua tayari?
Kwanza mfute kauli yenu ya kukataa matokeo
Mataga bana....sasa Ndugai anachofanya mnaona sawa ??hamuoni aibu ? Dunia nzima inatushangaa aibu aibu aibu
Tulimkataa Jiwe na genge lake siyo SASHA.
Mbona Bulaya na Mdee walipigwa walipovamia gereza na hatukuliona hilo jeshi kubwa?!Akiwagusa akina mama atajua jinsi walivyo jeshi kubwa
Sisi wengine huwa tuna huruma sana na wanawake, ukimpiga tukaona tutamtetea. Kumtetea mwanamke anayeonewa ni ibada
Hawa watu ni mabingwa wa kukataa wanacho kubali.Majina ya ukweli kutoka wapi?
Kwani uchaguzi mmeutambua tayari?
Kwanza mfute kauli yenu ya kukataa matokeo
Kuandamana kwao kufuate sheria sio Kwa vile Raisi ni mwanamke iwe ndio sababu ya wanawake kuvunja sheriaSamia yuko tayari kumwaga damu za wanawake wanaotaka katiba ya nchi iheshimiwe?
Kipi kinatangulia sindano au ganzi?.Pelekeni matako muone sindano zitakavyowangia bila ganzi.
Ndo hujawa sasa tuliza mshono.Ningelikuwa rais huyu RPC ningefukuza kazi Mara moja.Anaaibisha Sana jeshi la polis...
Hawa wabunge wao wameingia Bungeni lini? Walikuwa wapi kuandamana? Baada ya Magufuli kuzikwa kila mwenye lake analitoa ni unafiki mkubwa Sana, mkong'oto uwahusu tu kwa kweli, zaidi ya miezi mitatu hawakuandamana, Leo wanataka kutuharibia taswira ya nchi! Narudia Wakung'utwe tuNa ni haki yao kikatiba,ruksa kufanya maandamano ya amani,ba ulinzi mnapewa,ila uonevu huu.
Wenyewe wametulia kimya wanajua kinachoendelea [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Anaetakiwa kufukuzwa ni Mbowe na Mnyika kwa kutoitisha kikao cha baraza kuu la Chadema limalize hilo swala kama katiba ya CHADEMA inavyotaka
Hoja zote job anazidharau mnoUshauri tu mama zangu na dada zangu acheni kuandamana mnafamilia nyumbani..Msiwajaribu polisi tumieni viongozi wenu kuwakilisha hoja zenu..Ukipata ulemavu ni wewe na familia yako...
Ibada yako itaswihi tu kwa kuwapa nasaha iliyo njema kabla ya madhara.Akiwagusa akina mama atajua jinsi walivyo jeshi kubwa
Sisi wengine huwa tuna huruma sana na wanawake, ukimpiga tukaona tutamtetea. Kumtetea mwanamke anayeonewa ni ibada
Acha wakukamue wazee wa mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe. Kimoyomoyo unamkumbuka JPM ila mdomoni hutaki kukiri post zako zinaonesha hilo.Ni fala tu na yeye ujambazi umerudi kwa kasi nao wanasababisha BAWACHA?
Nia yenu kutaka kumuharibia mama,ndio kampeni mliyonayo ili naye aonekane ni kama mpita njia, maandamano ya amani ya watu wasio na silaha tangu lini yakahatarisha usalama?Hawa wabunge wao wameingia Bungeni lini? Walikuwa wapi kuandamana? Baada ya Magufuli kuzikwa kila mwenye lake analitoa ni unafiki mkubwa Sana, mkong'oto uwahusu tu kwa kweli, zaidi ya miezi mitatu hawakuandamana, Leo wanataka kutuharibia taswira ya nchi! Narudia Wakung'utwe tu
Bahati mbaya Sana watendaji wote ambao wanafikili kutenda kazi zao bila kufuata taratibu na sheria badala yake vitisho , kufuata maelekezo nje ya mfumo wa kazi yake inavyotakiwa mungu anasema mda haupo upande waoKamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma amesema ofisi yake haina taarifa rasmi za maandamano ya bawacha hivyo atakayeandamana atakutana na mkino wa dola.
Kamanda Muroto amewataka akina mama hao waliopanga kuandamana waje na computer na madaftari ya kuchukulia notisi ili waandike kile watakachokutana nacho kisha wakawafundishe na wenzao wa huko Geita ili liwe somo la keheshimu sheria na taratibu zake.
Chanzo: ITV habari
My take; Kwa kuwa Bawacha hawajaanza Safari ni busara wakahairisha kama Simba na Yanga!