RPC Muroto atoa onyo kwa BAWACHA, asema wanaotaka kuandamana watakipata wanachokitafuta wakasimulie wenzao huko Geita

RPC Muroto atoa onyo kwa BAWACHA, asema wanaotaka kuandamana watakipata wanachokitafuta wakasimulie wenzao huko Geita

Mawazo ya kimaskini yanashida sana
Ww sehemu ambayo unaona kunafujwa ela ni kwa hao wabunge 19 tu

Ulisoma reports ya CIG lakini?

Tuache wivu usio na msingi, nyie mlisusa na mkagoma sasa now kelele za nini tena?
CIG ?? au unamaanisha CAG??
 
Mataga bana....sasa Ndugai anachofanya mnaona sawa ??hamuoni aibu ? Dunia nzima inatushangaa aibu aibu aibu

Hiyo dunia hamkuiona mlipokuwa mnasema hampeleki vitu maalum na wala hamvitaki

Njaa imewabana sasa mnaanza kuja kupiga makelele hapa
 
Akiwagusa akina mama atajua jinsi walivyo jeshi kubwa

Sisi wengine huwa tuna huruma sana na wanawake, ukimpiga tukaona tutamtetea. Kumtetea mwanamke anayeonewa ni ibada
 
Akiwagusa akina mama atajua jinsi walivyo jeshi kubwa

Sisi wengine huwa tuna huruma sana na wanawake, ukimpiga tukaona tutamtetea. Kumtetea mwanamke anayeonewa ni ibada
Mbona Bulaya na Mdee walipigwa walipovamia gereza na hatukuliona hilo jeshi kubwa?!
 
Na ni haki yao kikatiba,ruksa kufanya maandamano ya amani,ba ulinzi mnapewa,ila uonevu huu.
Hawa wabunge wao wameingia Bungeni lini? Walikuwa wapi kuandamana? Baada ya Magufuli kuzikwa kila mwenye lake analitoa ni unafiki mkubwa Sana, mkong'oto uwahusu tu kwa kweli, zaidi ya miezi mitatu hawakuandamana, Leo wanataka kutuharibia taswira ya nchi! Narudia Wakung'utwe tu
 
Anaetakiwa kufukuzwa ni Mbowe na Mnyika kwa kutoitisha kikao cha baraza kuu la Chadema limalize hilo swala kama katiba ya CHADEMA inavyotaka
Wenyewe wametulia kimya wanajua kinachoendelea [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ushauri tu mama zangu na dada zangu acheni kuandamana mnafamilia nyumbani..Msiwajaribu polisi tumieni viongozi wenu kuwakilisha hoja zenu..Ukipata ulemavu ni wewe na familia yako...
Hoja zote job anazidharau mno
 
Akiwagusa akina mama atajua jinsi walivyo jeshi kubwa

Sisi wengine huwa tuna huruma sana na wanawake, ukimpiga tukaona tutamtetea. Kumtetea mwanamke anayeonewa ni ibada
Ibada yako itaswihi tu kwa kuwapa nasaha iliyo njema kabla ya madhara.
 
Ni fala tu na yeye ujambazi umerudi kwa kasi nao wanasababisha BAWACHA?
Acha wakukamue wazee wa mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe. Kimoyomoyo unamkumbuka JPM ila mdomoni hutaki kukiri post zako zinaonesha hilo.
 
Hawa wabunge wao wameingia Bungeni lini? Walikuwa wapi kuandamana? Baada ya Magufuli kuzikwa kila mwenye lake analitoa ni unafiki mkubwa Sana, mkong'oto uwahusu tu kwa kweli, zaidi ya miezi mitatu hawakuandamana, Leo wanataka kutuharibia taswira ya nchi! Narudia Wakung'utwe tu
Nia yenu kutaka kumuharibia mama,ndio kampeni mliyonayo ili naye aonekane ni kama mpita njia, maandamano ya amani ya watu wasio na silaha tangu lini yakahatarisha usalama?
 
RPC WA Dodoma bado ana mawazo mgando ya kizamani kuwa kila tatizo litatuliwa kwa kutumia nguvu. Ni kama mtu alieshika nyundo ambapo anaona kila tatizo ni msumari hivyo yeye anawaza kupigilia tu.

Katika kuzungunzia maandamano ya CHADEMA ameonekana akiwa na askari wa kike Wawili nyuma yake waliojipamba kwa silaha lengo likiwa ni kuwatisha BAWACHA. Kwanza ule ni ushamba tu. Dunia ya sasa matatizo hayatatuliwi kwa silaha wala vitisho.

Kuna wenzake walitumia vitisho na nguvu matokeo yake wakafa wao wakaacha nyumba silaha na askari waliokuwa wakiwatumia kutesa na kuua wenzao. Kamanda acha vitisho vya kizamani badilika huu ni ulimwengu wa diplomasia siyo vita
 
Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma amesema ofisi yake haina taarifa rasmi za maandamano ya bawacha hivyo atakayeandamana atakutana na mkino wa dola.

Kamanda Muroto amewataka akina mama hao waliopanga kuandamana waje na computer na madaftari ya kuchukulia notisi ili waandike kile watakachokutana nacho kisha wakawafundishe na wenzao wa huko Geita ili liwe somo la keheshimu sheria na taratibu zake.

Chanzo: ITV habari

My take; Kwa kuwa Bawacha hawajaanza Safari ni busara wakahairisha kama Simba na Yanga!
Bahati mbaya Sana watendaji wote ambao wanafikili kutenda kazi zao bila kufuata taratibu na sheria badala yake vitisho , kufuata maelekezo nje ya mfumo wa kazi yake inavyotakiwa mungu anasema mda haupo upande wao
 
Back
Top Bottom