Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwashee nani alikuweka kuwa kipimo cha busara za watu humu JF?Sijawahi kuona busara zako humu JF
Hahahah waache waandamane tuone show 😝😝😝Gilles Muroto amesema "Asiyefunzwa na mama yake atafunzwa na kamanda wa polisi dodoma"
Huyu mzee eti kuna watu wanampigia chapuo awe IGP!!
Kuna sehemu tumekosea sana sisi kama nchi.
Nasikia kapokea maagizo toka kwa Ndugai.Ningelikuwa rais huyu RPC ningefukuza kazi Mara moja.Anaaibisha Sana jeshi la polis...
Anakera sana mdingi huyu na kauli zake za kibabe!!! Utafikiri mwenyewe yuko juu ya sheria. Anasahau muda si mrefu tutakuwa naye mtaani kama mstaafu asiye na wadhifa wote. Cheo ni dhamana MUROTO!!!Kamanda Muroto tambua kuwa haki ina upofu ndio maana haibagui mtu. Awe maskini,awe tajiri au mwanaCCM au mwanaChadema.
Akina mama wa chama chetu kuandamana sio kosa ni haki yao. Kama ni suala la taarifa siku hizi hata e mail zipo. Kama unahitaji taarifa kupitia kwa Ocd unaweza kupata
ANDHA KANOON
View attachment 1779056
law is blind..Nadhani Andha kanoon maana yake ni
'Hakuna Haki' Kiswahili
Kamanda Muroto tambua kuwa haki ina upofu ndio maana haibagui mtu. Awe maskini,awe tajiri au mwanaCCM au mwanaChadema.
Akina mama wa chama chetu kuandamana sio kosa ni haki yao. Kama ni suala la taarifa siku hizi hata e mail zipo. Kama unahitaji taarifa kupitia kwa Ocd unaweza kupata
ANDHA KANOON
View attachment 1779056
Kipindi hicho ndio Mzee Rukhsa alikuwa ameachia uhuru wa Manyani karibia Vhs Video zilikuwa zimeingia ilikuwa ni Burdan sanalaw is blind..
jamaa alisingiziwa amemuua mtu flani a akafungwa miaka yote..siku anatoka jela anakula zake misele anakutana na yule jamaa aliemuua anakula zake bata.akaona udandara huu akamfukuza na sime jamaa akaingia hadi mahakamani na yeye akamuingilia humo humo akamuua tena mbele ya yule yule hakimu aliemuhukumu kaua!!sasa jamaa ndo akawaambia mtanifunga kwa kosa lipi sasa.
Luganda, au lugha gani wanayoongea!
Kiha, Kihutu, Kirundi ,Kinyarwanda.Luganda, au lugha gani wanayoongea!
Hahahaaaa.........!Watasema Muroto katumwa na Magufuli
Hawana muda na Taifa, wapo bize kulindana huku wakiendelea kula keki ya Taifa kwa kupokezana.Ametumwa na Ndugai kutoa vitisho..
Hii nchi tumewakabidhi wapumbavu watuongoze.. Shida tupu!!