RPC Muroto atoa onyo kwa BAWACHA, asema wanaotaka kuandamana watakipata wanachokitafuta wakasimulie wenzao huko Geita

RPC Muroto atoa onyo kwa BAWACHA, asema wanaotaka kuandamana watakipata wanachokitafuta wakasimulie wenzao huko Geita

Bawacha watumie busara ili siku yakiwatokea piano wawe na Cha kusemea. Wafuate utaratibu then waandamane, Tusiwe na uhuru uanaovunja sheria za nchi
 
Kamanda Muroto tambua kuwa haki ina upofu ndio maana haibagui mtu. Awe maskini,awe tajiri au mwanaCCM au mwanaChadema.

Akina mama wa chama chetu kuandamana sio kosa ni haki yao. Kama ni suala la taarifa siku hizi hata e mail zipo. Kama unahitaji taarifa kupitia kwa Ocd unaweza kupata

ANDHA KANOON
View attachment 1779056
Anakera sana mdingi huyu na kauli zake za kibabe!!! Utafikiri mwenyewe yuko juu ya sheria. Anasahau muda si mrefu tutakuwa naye mtaani kama mstaafu asiye na wadhifa wote. Cheo ni dhamana MUROTO!!!
 
Nadhani Andha kanoon maana yake ni
'Hakuna Haki' Kiswahili
law is blind..
jamaa alisingiziwa amemuua mtu flani a akafungwa miaka yote..siku anatoka jela anakula zake misele anakutana na yule jamaa aliemuua anakula zake bata.akaona udandara huu akamfukuza na sime jamaa akaingia hadi mahakamani na yeye akamuingilia humo humo akamuua tena mbele ya yule yule hakimu aliemuhukumu kaua!!sasa jamaa ndo akawaambia mtanifunga kwa kosa lipi sasa.
 
anza kanuni maana yake sheria haina macho
kuna dj wa kibanda umiza enzi hizo Arusha alikuwa anaitwa binde wa binde alituambia hiyo ndiyo maana yake
 
Kamanda Muroto tambua kuwa haki ina upofu ndio maana haibagui mtu. Awe maskini,awe tajiri au mwanaCCM au mwanaChadema.

Akina mama wa chama chetu kuandamana sio kosa ni haki yao. Kama ni suala la taarifa siku hizi hata e mail zipo. Kama unahitaji taarifa kupitia kwa Ocd unaweza kupata

ANDHA KANOON
View attachment 1779056

Sukuma Gang unadhani ukisema haya ndio utaonekana cdm?
 
law is blind..
jamaa alisingiziwa amemuua mtu flani a akafungwa miaka yote..siku anatoka jela anakula zake misele anakutana na yule jamaa aliemuua anakula zake bata.akaona udandara huu akamfukuza na sime jamaa akaingia hadi mahakamani na yeye akamuingilia humo humo akamuua tena mbele ya yule yule hakimu aliemuhukumu kaua!!sasa jamaa ndo akawaambia mtanifunga kwa kosa lipi sasa.
Kipindi hicho ndio Mzee Rukhsa alikuwa ameachia uhuru wa Manyani karibia Vhs Video zilikuwa zimeingia ilikuwa ni Burdan sana
 
Kwanini ndugai anangangania wabunge wasio na chama bungeni?
 
Amesema asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na kamanda wa dodoma, kasema waje na madaftari, kompyuta ili wachukue notsi wakiwa wanafundishwa
 
Ametumwa na Ndugai kutoa vitisho..
Hii nchi tumewakabidhi wapumbavu watuongoze.. Shida tupu!!
Hawana muda na Taifa, wapo bize kulindana huku wakiendelea kula keki ya Taifa kwa kupokezana.
 
Back
Top Bottom