Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Huna akili we boya.Boya we huna akili!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna akili we boya.Boya we huna akili!
😁😁😁😄😄 Sasahivi wameamia kwa Ndugai,😄😄😁Watasema Muroto katumwa na Magufuli
" Nimepishana na mabasi 7 njiani shelui yakitokea kanda ya ziwa kuelekea dodoma. Kesho ni kesho"Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma amesema ofisi yake haina taarifa rasmi za maandamano ya bawacha hivyo atakayeandamana atakutana na mkino wa dola.
Kamanda Muroto amewataka akina mama hao waliopanga kuandamana waje na computer na madaftari ya kuchukulia notisi ili waandike kile watakachokutana nacho kisha wakawafundishe na wenzao wa huko Geita ili liwe somo la keheshimu sheria na taratibu zake.
Source ITV habari
My take; Kwa kuwa Bawacha hawajaanza Safari ni busara wakahairisha kama Simba na Yanga!
Hebu muoneni huyu kamanda!
Anawaonya Bawacha kuhusu maandamano yao huku akiwa flanked na mapolisi wanawake waliovalia mavazi maalumu [ambayo nahisi ni ya kupambana na ghasia] huku wameshikilia mabunduki na wakiwa wamenuna!
What the hell is this?
Very stupid 📢Kwanini ndugai anangangania wabunge wasio na chama bungeni?
Yeye ndiye mbwa Koko wa Jiwe, akamfuate kaburini wapange kuwa kamanda wa malaikaDaaah mbwa koko tena??nan huyo
hahahaha mkuu hiyo methali ameitunga lini..Gilles Muroto amesema "Asiyefunzwa na mama yake atafunzwa na kamanda wa polisi dodoma"
Huyu mzee eti kuna watu wanampigia chapuo awe IGP!!
Kuna sehemu tumekosea sana sisi kama nchi.
Kufuata katiba kwa waarika Ni ngumu Sana..Anataka kumkwamisha Mama Yetu.
Kwani Katiba inasemaje kuhusu huo uhalali wa hao wabunge?
Gilles Muroto atatoa Ulinzi na uuokoaji.. Kwani hamza uwezo wa kuwakilisha malalamiko bila kukimbizana?.Na ni haki yao kikatiba,ruksa kufanya maandamano ya amani,ba ulinzi mnapewa,ila uonevu huu.