RRRR ya Rais Samia Watanzania wengi wanaoishi kimazoea hawatoielewa haraka

Mbona hujamalizia!?
Ukupitia uzi vizuri utakuta post zinaelezea kidogo kidogo katika kujibu maswali.

Sikutaka kuandika"article" moja ndefu ya kuielezea dhana yote kwa pamoja. Ni pana sana.

Kqa ufupi:

Reconcialition; Nimeielezea juu hapo kiasi na nimeelekeza wapi tutaipata zaidi.

Resilience; Kila tatizo ni fursa ya "Reconciliation, Reforming, Rebuilding"

Reforming; Kurekebisha endelevu. Mfano mzuri ni BBT ya wizara ya kilimo. Kiimo kinafanyiwa marekebisho endelevu ambayo hayajawahi kufanyika kwenye "program" zote za serikali za kabla.

Pia mashirika yote ya umma yameguswa na aidha "reforms" au Rebuilding.

Rebuilding; Kujenga upya. Mfano mzuri ni meuweka juu huko Kinachofanyika banadarini sasa hivi ni Rebuilding. Mama alianza na kubomoa na kujenga upya bandarini, kuanzia wakurugenzi, mpaka mifumo na msasa anajenga utendaji.

Mema ya R 4 za mama ni mengi sana tena kwa kasi ya ajabu.
 
Zawadini yako huku Yale mambo yetu.

R mojawapo hapa yapatikana kwenye aya kadha wa kadha kwenye msahahafu.

Karibu tuendelee na kunoa bongo na kuchangamkia fursa za mama ...
Mkuu naomba nikiri kwamba sijayasoma hayo mambo ya RRRR; naomba msaada ili nipate kujadili. kwa ufupi nauliza, nitayapata wapi? Au unataka nijadili hili la Reconcilliation bila kujua hayo mengine?

Naomba ushauri na majibu.
 
Soma huu uzi was huyo nguli FF ameyanyumbulisha humo. Huyu ni zaidi ya unaowasikia kuwa ni chawa. Atakuwa na makasiriko mno kuwa mahaini yako nje kwa dhamana. Nadhani unanisoma hadi hapo kuwa atakuwa ni mtu wa namna gani kikamilifu.
 
Namkubali Mama kwenye maeneo mengi sana,isipokuwa kwenye vipengele vya mkataba wa DPW.
Pia kuna watu wake wa karibu awaangalie kwa jicho la tatu.
Wewe FaizaFoxy ukitoa (udini)ni hazina kubwa sana kwa kizazi hiki.
 
Kwani wewe ndo uliemtungia izo 4 R?? Mbona unajipa kazi ambayo watu wake wa karibu hawaelewi??
Udini utakuua wewe na peponi hutoenda
 
Blah blah, kwisha kabisa. Uislamu ni HAKI na KWELI. Mengine yooote ni BAHASHA zinaongea. Mkataba mbovu ufutwe. Kama Samia nia yake njema na raslimali za Tanganyika. AFUTE LIMKATABA LIBOVU. Bahari hazikauki na ni urithi pia wa vizazi vijavyo. Vizazi vya Kiislam na Kikristo. Vinginevyo :
R: RUSHWA
R: RUSHWA
R: RUSHWA
R: RUSHWA
 
Umepungwa na pepo
 
Umemsikia mama akiongea porojo?

Kimyaaa, tuli kama maji ya mtungini. Anafanya yake tu. Utachekwa.

Unaijuwa BBT?
Anauza loliondo kimya ,hata bandary alifanya kimya kimya ndo akawasha moto huu
 
Anauza loliondo kimya ,hata bandary alifanya kimya kimya ndo akawasha moto huu
Hakuna nwenye misuli wala ubavu wa kuuza nchi - mama Samia.

Huwa mnaandika mkiwa na akili timamu?
 
Kwanini ukerwe na Uislam ambao ni mwema sana?

Au ndiyo unachukia kuupenda (Hate to love)?
Kuna uislamu na waislamu, huo udini wako hauna manufaa yeyote kwenye uislamu na ubaya wake ndio huo kuona waislamu wenzio wanauchukia uislamu kisa utofauti wa mitazamo yetu kuhusu Samia na serikali yake.
 
Uislam ni mwema sana, haupo kwa ajili ya kina fulani tu. Ni kwa walimwengu wote na wewe ukiwemo.

Huqezi kuutenganisha Uislqm kwenye maisha yako ya kila siku. Ukijitenga na Uislam umejitenga na maisha mema.

Unafamu maana ya neno "Uislam"?
 
Unafaham maana ya neno "Uislam"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…