Rufaa ya kina Mdee mbele ya Baraza Kuu dhidi ya Kamati Kuu CHADEMA: Kicheko kwa G19, Kilio kwa kina Mbowe

Hamna lolote zaidi ya

njaa. Sie twataka haki, uhuru wa kuongea na mendeleo ya watu. Njaa zenu tupa kuleeee, miaka yote pesa ya ubunge mwabugia tu hamkujua kuna kesho?
Ndio wanataka waruhusiwe kwenda bungeni kuendelea kutetea hayo uliyosema.
 
Baraza kuu linaweza likaitishwa mwezi wa sita ambapo muda wao utakuwa umeisha kwani watakuwa wamemisi tayari vikao vitatu bungeni.

After all, awamu hii ya pili ya Magufuli sio halali kwani hakuchaguliwa kwa kura ila alijitangaza rais kwa mtutu wa bunduki na ndio maana hawezi katu kuiletea nchi hii maendeleo yoyote.

He is an illegitimate president with fake mandate and he is fronting for the women to also go to parliament with no lawful mandate.
 
Yani Tanzania inabidi tupate kiongozi wa kijeshi aanzishe consetration camps kama zile za Hitler humo wajazwe maccm wateketezwe kwa gesi, hawa si binadamu wa kawaida, hawastahili kuishi kwenye dunia iliyostaarabika.
Huyo kiongozi wa kijeshi atakuwa mtanzania, au mta- outsource?!
 
 
Sabab za mikwaruzano zinafanana,na je impact ya hyo mikwaruzano inafanana.ccm wako madarakani zaidi ya miaka 40.
Katika hesabu kuna kitu kinaitwa ratio, pia kuna cross multiplication.

kwa mfano, 1/2 = 2/4.

Sasa, mikwaruzano ya CHADEMA, kwa sasa, haina impact kubwa sana kwenye uendeshaji wa nchi.Kwa sababu CHADEMA si chama tawala.

Mikwaruzano ya CCM inaweza kuwa na impact kubwa, kwa sababu CCM ni chama tawala.

Lakini, kama hatutaki impact ya mikwaruzano kwenye chama tawala, na CHADEMA kinaonekana hakiwezi kudhibiti mikwaruzano, basi CHADEMA kinaonekana hakifai kuwa chama tawala.

Na hapa ndipo CCM inaposhinda miaka nenda rudi.

Si kwa sababu CCM ni chama safi sana, si kwa sababu CCM hakina makosa.

Kina makosa mengi, na wananchi wanajua.

Ila, wananchi wengi wanakichagua kwa kufuata methali ya Kiswahili ya "Zimwi likujualo, halikuli likakwisha".

Wanasema, CCM tunaijua udhaifu wake wote. Angalau imeweza kutupa maigizo fulani hivi ya kudumisha umoja wa kitaifa.

Hawa CHADEMA wanataka kuja na siasa za majimbo, wao wenyewe hawaelewani, wakiichukua nchi si wataipasua kila jimbo liwe nchi kamili?

Sasa, ukishakuwa na perception hii tu kwa wananchi, hata kama haina msingi wa ukweli, ni tatizo tayari.

Na unapokuwa na mikwaruzano kwenye chama, ndiyo kabisaaa, watu wanasema" hawa watu hawajakomaa kupewa nchi, watatuvuruga".

CCM wanaiba kura mara nyingine kwa woga na kutafuta ushindi mkubwa, lakini wananchi wengi wanawapigia kura si kwa sababu ya sera zao, bali kwa sababu wananchi wakiangalia upinzani hawaoni chama mbadala chenye nguvu ya kuongoza nchi.
 
Upuuzi mtupu, hi hapo kwenye picha ya devotha Minja,umeonaje ndani ya pochi,kwamba Kuna kitu chene ncha kali,?
 
Upuuzi mtupu, hi hapo kwenye picha ya devotha Minja,umeonaje ndani ya pochi,kwamba Kuna kitu chene ncha kali,?

Huoni begi Hili likiwa na ncha kali? Halafu Hilda Newton siku hiyo alikuwa amebeba panga!
 
Halafu ukaongezea na 'ndilolo'
🀣🀣🀣🀣🀣
 
Mama Amon mmekera ,
Leo mfumo dume uwepo Chadema na si vyama vingine ?!

Hivi viti 19 vingetoka tu, kwa utaratibu na si huu wa kuwahiana , tena kwa kushirikiana na wasaliti wenu waliohakikisha hampati

Jimbo hata moja !!
Mama Amon kokote aliko anatumiwa na walioishiwa hoja lakini wana bidii ya kuokoteza cha kusema.
Angejiruhusu kutumia 'busara' aliyojaaliwa japo kidogo angeshajiuliza kuwa hata hao wanaomlisha maneno wameanza lini upendo huo kwake.
 
Mama Amon bila Ubunge wa kutunukiwa na Ndugai na CCM hauwezi kumpa game fresh Baba Amon ?
 
Inawezekana hata hicho kikao cha Baraza Kuu kikazuiwa kufanyika mpaka 2025 kwa kuhofia uvunjaji wa amani.
Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…