britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Umeshafika vijiji kama Ishozi, Gera, Kyetema, Kagege katoma, kihanga karagwe, Bugabo katale, Nshambya, Kilimilile, kyamulaile, Buyango, maruku, ijuganyondo, kigando, kabaleKagera yote ni km home tu nshafika hadi minziro, murongo/kikagati, bushangalo, rusumo benaco kabanga, nshamba izimbya kamachumu
Kona nyingi nimezigusia hapo
Shida ni visiwani huko palinishinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo alosema nchi kuyumba hahaha😁😁😁😁😁unanichekesha kwenye.majonzi
Unaafiki mbaya alikua anashangilia kamuweza jamaa!Amalia kwa furaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio yeye peke yake hadi wewe na ukoo wako wote mtaukumiwa na myafanyao kwa binadamu wenzenu mungu sio wenu peke F U.what if sio muuaji, umehukumu na unapata dhambi wewe?? ukimchukia unapata faida gani?
looser
Tusipopata katiba mpya ya kumbana Rais tutaambulia vilio ivi uyo Ruga ninani? Kwanini anaumiza pesa za walipakodi? Isijekuwa alikuwa kinara wa kusambaza madawa ya kulevya au ni Freemason yahani mpaka watu wamefungwa kisa walimkosoa? Mbona alipokuwa hai aligombana na makonda hatukuona nguvu kubwa ikitumika kumlinda?
Mbona kituo chake kilivamiwa na watu wanaojulikana lakini hawakuchukuliwa hatua mpaka leo?
Matumizi ya pesa zetu kihorela ifike maala tuseme inatosha.
Tunahitaji katiba isiyoweka kinga kwa mtawala namimi nawahakikishia Mafunguo tutamfunga kwa matumizi mabaya ya madaraka na Raslimari za nchi atakama atakuwa analingana mama yake tutamburuta tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Minziro kubwa mkuuKagera yote ni km home tu nshafika hadi minziro, murongo/kikagati, bushangalo, rusumo benaco kabanga, nshamba izimbya kamachumu
Kona nyingi nimezigusia hapo
Shida ni visiwani huko palinishinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Ijuganyondo, kigando, kyamulaile naweza kuwa nilifika ila nisijue kama panaitwa hivyoUmeshafika vijiji kama Ishozi, Gera, Kyetema, Kagege katoma, kihanga karagwe, Bugabo katale, Nshambya, Kilimilile, kyamulaile, Buyango, maruku, ijuganyondo, kigando, kabale
Kumbe ijuganyondo ni maeneo ya kibeta kama waelekea MarukuIjuganyondo, kigando, kyamulaile naweza kuwa nilifika ila nisijue kama panaitwa hivyo
Hivyo vingine vilivyobaki nimeshahudhuria maeneo hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mrembo kila nionapo Id yako mwili unasisimka.
Kumbe ijuganyondo ni maeneo ya kibeta kama waelekea Maruku
nyumbani panakamilika, kukiwa na baba, mama watoto. yaani watu wengi wengi hivi...
marehemu hajawai kuoa.. inasemekana marehemu hakuwa anaishi na watoto wake... anaishi kama msela masaki..
hiyo ikapelekea msiba ufanywe home kwa wazazi...
na pia wazazi wenyewe wana uwezo na eneo lao la nyumbani ni kubwa kupokea watu wengi bila shida
Ndege itatua kidogo mwanza pale airport tutakuwepo tumesubiria tutatandika kanga ipite.Huyo alosema nchi kuyumba hahaha
Yes Ibura shule ya msingi nadhani ipo karibu na kanisa la Lutheran, hapo ndo kuna njia ya kwenda Karabagaine kwa RugeNilishafika basi mwaka 1999 nimeishi maeneo hayo nikisomea ibura shule ya msingi japo sikukaa muda mrefu nikahamishwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani wewe ndiye unayejiaibisha sasa nakuomba jambo moja screenshot eneo hilo linaloonyesha wamiliki wa wasafi media kutoka kwenye tovuti ya TCRA alafu iweke hapa ili unidhalilishe siihitaji document ya mange mliwa nyuma leta ambayo haina jina la mangeMkuu usijiabishe kiasi hiki.
Umesema TCRA hawawezi kuweka tangazo kama hilo ambalo linaonesha hisa za wamiliki lakini jamaa kakuwekea matangazo kama hayo ambayo bado yapo kwenye archive ya TCRA online unadai uletewe tangazo la Wasafi TV likiwa kwenye tovuti ya TCRA.
Kama haujajipa muda kutafuta habari mitandaoni na maktaba zingine bora unyamaze.
News media kubwa kama mwananchi nao huwaamini? Wanaweza kuweka habari kubwa namna hiyo bila kuthibitisha uhalisi au ukweli?
Soma hiyo link chini
Wamiliki Wasafi TV waanikwa, hisa za Diamond ni asilimia 45
Hahaha mtaruhusiwa?Ndege itatua kidogo mwanza pale airport tutakuwepo tumesubiria tutatandika kanga ipite.
Rip ruge, ni maarufu kuzidi hata baba yake.
Siku Mungu akimpa neno la kusema asiwe na mtutu wa Bunduki alioingia nao Clouds...RC Makonda amesema kwa sasa hatasema lolote juu ya rafiki yake kipenzi Ruge Mutahaba.
Makonda amesema Ruge ni mtu muadilifu, mchapakazi na jasiri hivyo anashindwa namna ya kumuelezea na anazidi kumuomba Mungu ampe kibali na kwa kuwa ataenda Bukoba kwenye mazishi basi kwa neema ya Mungu akipata kibali ataweza kumuelezea rafiki yake huyu.
Source Clouds tv!
Yes kabisa ila ukienda kwao anajulikana Ta Gerazi Mutahaba kuzidi yeye eti kisa ProfesaNdege itatua kidogo mwanza pale airport tutakuwepo tumesubiria tutatandika kanga ipite.
Rip ruge, ni maarufu kuzidi hata baba yake.