TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Umeshinda mkuu.
Gazeti la mwanachi wameongopa.
Wametulisha matango pori.

Amani mkuu. Tuendelee na mengine.
 
Mbona mnashindwa kuelewa! Hapo amelia kama mkuu wa mkoa wa Dar, sio kama Bashite.
 
Niliwahi kupita hilo eneo

Nakumbuka nilimtukana traffic maeneo ya rwamishenye sasa kuwakwepa ikabidi nipitie huko ili nitokee katoma then nikazungukia kwenye vijiji humo nikatokea bugorora

Kwahiyo nimeshafahamu njia ya msibani
Kuna njia ya kwenda Rugambwa unaijua, alafu mkabala wake kuna Njia ya vumbi ya kwenda Gereza Rwamulumba, Kabale ndo huko,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes ni, maeneo hayo, tunayatumiaga sana unawakwepa traffic police, maana wanabana sana rwamishenye, sasa nikiwaga bk nikajua kuna jambo haliko powa kwa gari napita ibura ,kashura, kasalan natokea kwa MKUU wa mkoa
 
Hahahaha vizuri sana ila wanatusoma hapa wasije kuziba tu chochoro

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka Jana nilikuwa huko, sikuwa na Leseni ya Tz wananishangaza kutotambua licence ya kimataifa, wakawa wanazingua nkawa napita huko, sasa nasikia muda huu wameweka kambi hapo njia panda ya Rwamishenye na Kashura, hata kule kashura chini kasalan wapo kambi
 
Ukija uje umekamilika lasivyo watakusumbua .......traffic wa bk ni wakuda sana sijui kwanini tofauti kabisa na maeneo mengineyo nchini ukiingia muleba tu unakumbana nao......bk sasa ni wanoko wajeuri....kyaka mpk mtukula nako hivyo hivyo kidooogo karagwe hawasumbui sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila kitu kinatakiwa kiwe na kiasi. Vijana tusisahau hilo. Tutachimba mashimo ambayo tutayaingia wenyewe.
RIP Ruge. Mzee wa Fursa sababu umetuonyesha njia. Ulikuwa kiongozi tena mwenye nguvu sana, ila hukulazimisha wala kupenda kukaa viti vya mbele ili upate sifa
 
Hii comment hater wakiiona utayasikia madongo yao.....hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo hivo
 
inaonekana Ruge aliwahi mapema kuwa na watoto Imagine Ruge kazaliwa 1970 huyo chalii hapo atakuwa na Age ngapi? vijana tujitahidi kuzaa Mapema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inaonekana Ruge aliwahi kuzaa Mapema, kijana mkubwa kabisa huyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…