Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Umeshinda mkuu.Nadhani wewe ndiye unayejiaibisha sasa nakuomba jambo moja screenshot eneo hilo linaloonyesha wamiliki wa wasafi media kutoka kwenye tovuti ya TCRA alafu iweke hapa ili unidhalilishe siihitaji document ya mange mliwa nyuma leta ambayo haina jina la mange
Gazeti la mwanachi wameongopa.
Wametulisha matango pori.
Amani mkuu. Tuendelee na mengine.