TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Serikali iliyopiga kimya Clouds ilipovamiwa na mitutu ndo hiyo hiyo ilipiga chini hitimisho la Fiesta Dar dakika za majeruhi na ndo hiyohiyo inamlilia marehemu kwa huzuni kubwa.

Unafiki wa kiafrika ni wa kiwango cha juu sana.
 
Umesikiliza vizuri bongo flava ilivyoanza na recording studio ya kwanza kaifungua nani; kabla ya hapo miaka hiyo kama wa town kuimba ilikuwa lazima upate instruments ya nyimbo za tupac na bongo nzima miaka hiyo instruments zilikuwa kama 5-10.

Kwenye show mashindano ya 'Don Bosco' mjoba hizo instrument kila mtu akija beat zile zile maneno tu yanabadalika salalee mpaka mnachoka kushangilia.

Ukusikia nani kawapa airt-time bongo flava kutoka kuwa hobby yakina 'mchina' mpaka kuwa biashara iliyopo leo

In short Ruge kaanzisha uchumi wa mziki Tanzania directly kawagusa maelfu indirectly millions.

If anything huyu bwana ni mmoja wa legends Tanzania inaoweza jivunia kuna mengine sikuyajua; kweli mpaka ufe ndio mazuri yako yanaibuliwa mie naona mazishi yake ni kama mungu kusema lazima uzikwe kwa mchango wako stahiki.
 
Sasa ukiangalia kutokana na andiko lako - hao ulio wataja ni mataniri wakubwa nchini mwetu, lamini huyu Ruge hakuwa na utajiri wa kipesa kama hao - hapo ndipo kuna sababu. Kusema kwamba mzee Meingi ame gusa jamii kuliko Ruge - I think that is debatable! Unaweza ukakuta Ruge anampia kwa mbali sana huyo mzee!
 
Shida hawajui mtukufu anko anataka nini kwa kuwa hajawaambia wakati anawateua na kuwachagua ndio maana wanamsikilizia Kwa karibu anapoweka pumzi yake nao wote wanapumulia hapo, anaponyoosha mkono wote wanaangalia apo na hii panga pangua ndio inawachanganya kabisa kila mtu kavaa ditector, wapo makini kweli, kwaiyo mkuu ukistaajabu ya Musa........🙏🙏🙏🙏🙏
 

Yes, you might be right....

However, that depends with how you see and look things...

So, I accept , that it's debatable
 
Ukiona wanatumia gharama kubwaa ktk ujenzi wa kaburi la hayati Ruge, ni ishara kuwa walikuwa wanampenda mno na hivyo walimsapoti kifedha sana ktk kipindi cha matibabu yake ili kuokoa maisha.
 
U mean was after the "Grand Master" to their community!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond akifa sana sana wataenda wasaanii wenzake, labda kupunguza aibu naibu waziri wa michezo au atakae kuwepo atatuma mwakirishi ova.
Too sad mama yake diamond eti mwanae akija msiba wa ruge watu wataacha msiba kumwangalia yeye? Kwa sura ipi alikuwa Nayo??

Rip boss ruge.
 
I personally think huu msiba umekuzwa mno,lazima kuna sababu tuu sio bure
RIP Ruge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…