Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
😀😀 wanabukoba wamehamasishwa kujitokeza kwa wingi?nilishangaa sana yule mtangazaji wa habari pale clouds akiwatangazia wananchi wa bukoba kujitokeza kwa wingi .
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀 wanabukoba wamehamasishwa kujitokeza kwa wingi?nilishangaa sana yule mtangazaji wa habari pale clouds akiwatangazia wananchi wa bukoba kujitokeza kwa wingi .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu njoo hukuUshamba unawasumbua nyie watu kwahiyo milion nne kwa mhaya ni héla nyingi sana?
Uchagani milion nne ni héla ya bia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ukiangalia kutokana na andiko lako - hao ulio wataja ni mataniri wakubwa nchini mwetu, lamini huyu Ruge hakuwa na utajiri wa kipesa kama hao - hapo ndipo kuna sababu. Kusema kwamba mzee Meingi ame gusa jamii kuliko Ruge - I think that is debatable! Unaweza ukakuta Ruge anampia kwa mbali sana huyo mzee!Wenzio wanajuana......
Tukio la kifo cha "mwenzao" huyo kwao ni "ibada" yao muhimu kuliko unavyofikiri....
Wenye macho ya "kiroho" waliliona hilo, wakakataa kushiriki "ibada hiyo haramu ya sanamu"....
Hatuombi na wala sitamani lakini niseme kama sehemu ya mjadala huu, kwamba, miongoni mwa watu waliogusa maisha ya wengi hapa Tanzania ni mzee Reginald Mengi...
Ikitokea huyu mzee aitwe leo, trust me hatapata treatment ya mazishi ya "kiserikali" kama alivyopata huyu ndugu yetu japo kamwe hawezi kulingana hata chembe tu na Mzee Reginald Mengi ktk mchango wake wa kuigusa jamii kwa namna ile au hii...!!
Scenario hii ni similar na watu kama Mzee Bakheresa, Mo Dewji na wanaofanana na hao.....
Why?
Hawana shirika nao katika ulimwengu wa kwao (spiritual world) zaidi ya kuwa walipa kodi tu!!
Shida hawajui mtukufu anko anataka nini kwa kuwa hajawaambia wakati anawateua na kuwachagua ndio maana wanamsikilizia Kwa karibu anapoweka pumzi yake nao wote wanapumulia hapo, anaponyoosha mkono wote wanaangalia apo na hii panga pangua ndio inawachanganya kabisa kila mtu kavaa ditector, wapo makini kweli, kwaiyo mkuu ukistaajabu ya Musa........🙏🙏🙏🙏🙏shida kubwa nchi yetu ipo katika mfumo ambao mkuu akishaonekana yupo upande gani basi woooooooooooooooote nao huonekana upande huo huo ilimradi ionekane mawazo yao ni mamoja, mfano upo kwa maadui nao pia wamejichanganya kusifu lakini wengine wameenda mbali zaidi mpaka kumuita kaka yote haya dhamira ni ile ile tu mkuu kapendezwa.
Lakini imagine kama mkuu angepotezea basi amini usiamini hili zogo looooote usingeliona
Sasa ukiangalia kutokana na andiko lako - hao ulio wataja ni mataniri wakubwa nchini mwetu, lamini huyu Ruge hakuwa na utajiri wa kipesa kama hao - hapo ndipo kuna sababu. Kusema kwamba mzee Meingi ame gusa jamii kuliko Ruge - I think that is debatable! Unaweza ukakuta Ruge anampia kwa mbali sana huyo mzee!
nashangaa watu wanaona kubwa, mtu kama huyo hata wangesema 20ml nisingeshangaaMbona ndogo sana!
U mean was after the "Grand Master" to their community!Wenzio wanajuana......
Tukio la kifo cha "mwenzao" huyo kwao ni "ibada" yao muhimu kuliko unavyofikiri......
They know exactly hata utaratibu wa kufa kwake. Kulia kwao kote huko ilikuwa ni machozi ya mamba ya kuwafanya wasio na ufahamu wa mambo haya wapumbazike na waamini kweli kuwa kuna mtu kafa na kuna msiba pale....!
Wenye macho ya "kiroho" waliliona hilo, wakakataa kushiriki "ibada hiyo haramu ya sanamu"....
Hatuombi na wala sitamani lakini niseme kama sehemu ya mjadala huu, kwamba, miongoni mwa watu waliogusa maisha ya wengi hapa Tanzania ni mzee Reginald Mengi...
Ikitokea huyu mzee aitwe leo, trust me hatapata treatment ya mazishi ya "kiserikali" kama alivyopata huyu ndugu yetu Ruge kwani kwa vipimo vyote hawezi kulingana hata chembe tu na Mzee Reginald Mengi ktk mchango wake wa kuigusa jamii kwa namna ile au hii...!!
Scenario hii ni similar na inawahusu pia watu sampuli ya kina Mzee Bakheresa, Mo Dewji na wanaofanana na hao.....
Why?
Hawana shirika nao katika ulimwengu wa kwao (spiritual world) zaidi ya kuwa walipa kodi wao tu!!