TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Roho inakaa sehemu gani kwenye mwili wa binadamu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu ndiye ajuaye siri hii, Katika Mwanzo 2:7 Biblia inasema, "Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai. " Pia katika Yohana 6:63, "Roho ndiyo itiayo uzima, mwili haufai kitu ..." Vilevile katika Kumbukumbu 29:29, "Mambo ya siri ni ya Bwana, Mungu wetu; lakini mambo yaliyofunuliwa ni yetu sisi na watoto wetu milele ..."

Ukisoma maandiko hayo vizuri utaona mambo yafuatayo:-
1. Mungu ndiye aliyempulizia mwanadamu pumzi ya uhai (Roho) puani.
2. Ni kweli kabisa kuwa roho ndio inayoutia uzima mwili.
3. Sehemu ambayo roho ya mwanadamu hukaa, ni siri ya Mungu mwenyewe, na kwa kuwa Mungu hajaamua kutufunulia; hivyo yatupasa tumwachie yeye mwenyewe. Na hii ndio sababu ya KUFELI kwa majaribio yote ya kisayansi yahusuyo kuchunguza roho ya mwanadamu sehemu ilipo ndani ya mwili wa binadamu, au namna kuitengeneza ili waweze na wao kuumba [maana mpaka sasa wameweza kuumba maroboti (watu wasio na roho ndani)].

Hivyo ndugu, kwa sasa kitu cha muhimu zaidi kwako, sio kujua mahali ambapo roho yako ilipo ndani ya mwili wako; bali cha muhimu zaidi unapaswa ujue roho yako itakwenda wapi baada ya muda wa uhai aliokupangia Mungu kuisha. Nakushauri, kama hujampa Yesu Kristo maisha yako, basi uamuzi wa busara kwako ni kumpa Yesu maisha yako uokoke (Warumi 10:9), ili siku ya mwisho roho yako isipotelee kwenye moto wa milele. Lakini kama tayari umeokoka, hongera kwa hilo, nakushauri tu uendelee kuishi maisha matakatifu, ili siku ya mwisho tuwe na sehemu kwenye uzima wa milele.

Mungu akubariki sana ndugu.
 
Basi ana mchango mkubwa sana kwako Zamaradi.
 

Wataje walioishi kama yeye nchini.. ukitaka kueleweka.


Wivu ni ugonjwa.
 
Aaah kumbe umekerekwa Na hiyo baba Wa Taifa Wa vijana, halafu mbona issue ndogo tu. Wewe unaweza usimuite hivyo kwani kuna ubaya.??? Wanasema anayejua uchungu Wa msiba ni wale waliokuwa Karibu Na marehemu, ndio sababu hata wengine wanamuita baba wakati sio baba yao lakini kutokana na ule ukaribu au uhusiano waliokuwa nao ndio maana wanamuita hivyo. Hebu wakuu tusione wivu mpaka Kwa marehemu, tujikite zaidi na sisi kujenga legacy zetu ili siku tutakapolala legacy tulizoziacha ziendelee kuishi.
 
Wataje walioishi kama yeye nchini.. ukitaka kueleweka.


Wivu ni ugonjwa.

Unataka niwataje wengine walio ishi kama yeye

Yaani unamaanisha waliojilimbikizia mali kwa kuiba jasho la wengine?

Au walioshi kama yeye kwa maana ya kutumia nafasi yake kuzima ndoto za watu?


Au unataka niwataje walioishi kama yeye kwa maana ya mahusiano?

Unata nitaje kipi hasa hebu niambie vizuri
 
Two different people....entertainment industry v politics industry
 

Ha ha haaaaa
Kwa hayo uliyoandika umeonyesha sababu za huu uzi.

Acha wivu.. fanya kazi kwa bidii sio mnafeli mnasingizia wengine.
 
Kama kweli vitabu vya dini vinakataza kumsemea marehemu mabaya yake hata kama alikuwa nayo basi na vyenyewe vinafiki
 

Wivu? Kwanini tunakuwa wapumbavu kiasi hiki?

Kwanini tunataka kuwa kizazi kilazi kuliko vyote vilivyowahi kutokea?

Yaani nione wivu kisa kuitwa baba?

Huu ni upuuzi wa kiwango cha PhD
 

Walikufa watu wenye akili kama yesu,petro, mohamadi, ibrahim etc ijekuwa mtu wakawaida tu ambae ni wapenda bongo flevando wanamtambua mimi na masela wangu tunaopenda mziki wa injili wala hatukumfuatilia acheni kutuletea fujo. Mlazeni mahara pema muendelee na kazi za ujenzi wa taifa hayo ya baba wa taifa la vijana mnayatoa wapi na nani kawapa mamlaka ya kuwasemea vijana. Semeni wa bongo fleva tutawaelewa.
 
Tuonyeshe ushahidi alikoiba, hizo kelele za mtaani tusiziamini na kuzifanya kuwa kweli. Na wizi ni kosa kisheria halipaswi kuzungumzwa kwenye vijiwe linapaswa kuchukuliwa hatua. Halafu MTU unajiassociate vipi na mtu anayekuibia au kukunyonya how????
 
Mzee Wa fursa atabaki kuwa baba Wa taifa Wa vijana Kwa mchango wake Kwa vijana walio wengi, wewe kama hutaki usimuite hivyo kwani kuna ubaya???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…