TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Yani hadi inakera sasa, Ombeni Rude Day mlieeee, msemeee, mkichoka mrudi tujadili mambo ya maana.
 
Ruge alikuwa giant kwenye tasnia ya burudani.Wengi wanapita mulemule alipopita marehemu. Vitu vingi katika burudani vina mkono wake. Na kwenye siasa alishiriki lakini hakuwa mtu wa kujipa promo, yule jamaa angetaka hata vyeo vya kisiasa angekuwa na cheo kikubwa tu.
Anastahili ile heshima aliyopewa.
 
Wewe ni mpuuzi, mbona hujasema harakati za Lissu zilivyogusa maelfu ya watanzania?, Hujui kuwa Lissu ni mwanasheria wa madini na ndiye alie tetea wananchi wasiondolewe ovyo ili kumpisha mwekezaji Barrick gold mine kule Bulyanhulu na Geita Gold mine?

Kama hujui hayo na huna taarifa za kutosha kuhusu Lissu kwa nini unaanzisha mada ya kumlinganisha mtu ambae humfahamu?
Pumbavu wewe!
 
Alipata alivyokufa mtoto wake na ndege ya serikali ilitolewa bure mkuu... Mengi anatambulika na kuheshimika zaidi
 
Mkuu hebu ni darasa hapa mfano marehemu kilichomfanya afe ni wizi alipigwa Hadi akafa siku ya kusoma wasifu wake mtaacha kusema mabaya yake ?

Kama ndo ivyo mnataka jamii ijifunze Nini kutoka kwake ? ( Case ya huyu naye mzungumzia hapa )

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa hai utalaumiwa, ukifa utasifiwa..ni kanuni zetu watu weusi..lakini ukiona hivyo jua wanyonywaji walikuwa wachache kuliko aliowanufaisha..jk alipokuwa madaraani alitukanwa, alidhalilishwa, alibezwa..leo anasifiwa tu kwa mema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GT tunapenda maoni tofauti, kudos, ila its true, the guy his business, wanadai mpaka kufikia ukurugenzi, alipoanzia alikuwa akifanya kazi kama volunteer tu! Bila malipo au malipo kiduchu, he made his bones, lazima apewe sifa zake..
 
Yaan na huyu ndio atakuwa kachangia sana hiki kifo aisee, kwanza kamtema jamaa kama haitoshi kavujisha voice note. Akaona bado hajaridhika akaenda kuungana na wasafi ambao ni mahasim wa mzazi mwenzie, ile kuungana nao tu ni kwamba ht siri za marehem za kazi lazima atakuwa ali share nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…