TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Hivi huu msiba mnataka kila mtu ahudhurie hata kama anaudhuru?, naomba nikufahamishe tuingie kiimani zaidi kwamba kufika msibani au popote pale ni majaaliwa na si vinginevyo. Naona mnazidi kutafuta lawama kwa watu sijajua dhamira yenu, Kama wewe ulifika shukuru Mungu wengine hawakujaaliwa, naomba niongeze kwamba kilichokupeleka kule si huo msiba Ni kuangalia Nani kaja na nani hakuja pia wangapi walizimia na kulia Sana ili utuletee taarifa tunashukuru, ungekuwa busy na msiba usingeweza kutambua hayo. Binafsi Msama nilimuona labda niwe nimemfananisha, unataka nini kingine kwake? Acheni lawama za hovyo za masimango na kuchafuana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukweli mchungu huu[emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchochezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
keshakupa hata jero huyo ruge, mbna wabongo mnapenda sana kuzidisha jibu like million wakati ni sefuri??!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini Mkuu wa Mkoa anatumia nguvu kubwa kusawazisha bifu za Ruge na watu akiwa amekufa tayari, kwanini hakufanya akiwa hai? Naishia hapa
 
Mkwe wafata mkumbo wanaweza kusema hizo ni chuki zako binafsi, yaani watu wameguswa kwelikweli utafikiri walishawahi kuibuka washindi wa 3 mzuka.

Maendeleo hayana chama
Mkwe ulishawahi kushangaa kitu mpaka ukaona aibu!
Natoka home nimevaa zangu tight na blouse , mdada wangu ananiambia mama si uvae kama dera flan hivi msibani utaendaje na tight, namuuliza msiba upi dada? anajibu si huu wanatangaza kwenye TV!
Niko zangu saluni nakata panki langu, naambiwa naona unajipiga sop sop uende msibani,
Nakuta foleni barabarani naambiwa oh wametoka kumpokea mwili unafika leo
Nafika kazini mtu ana nguo nyeusi oh msibani!
Naenda canteen nakuta watu wanaonyeshana video za mwili ulipowasili!



HAPO NIKASHTUKA
nikajiuliza hivi mimi niko sawa kweli, mbona kama NIKO DUNIA AMBAYO WENZANGU HAWAPO!
nikajitafakari kwanini nimepokea tu kuwa ni msiba na nikamuombea na kuendelea na ratiba zingine?
nikajikuta pengine sina tatizo!
PENGINE IT WAS MEANT TO BE THAT WAY!
basi nikajikubalia tu kuwa sijaelewa na sio lazima nielewe kila kitu.
 
AHAHHAHAHAHHA well put!
 
Acha unafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ruge alikua mpiga dili. Akiwatumia wasanii kufanikisha mission zake!
 
Ruge mutahaba atazikwa na viongozi WA kanisa katoliki na mwili wake utaagwa kanisa katoliki Bukoba,
na mapadri wataongoza Ibada MC ameutaarifu umma wa waombolezaji msibani hapo Kambalagaine Kiziru Bukoba

Thread hii nimeiandika kukanusha uvumi au utata ambao watu wanajaribu kuupitisha kupitia thread inayoendelea humu jukwaani .
Mod nisaidieni kurekebisha title ya Thread hapo juuu.

nb: hii Thread isiunganishwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanisa linatenga wasio. Na hela kwa kisingizio sijui mtenda dhambi hakuwahi kutubu... Ila kwenye hela yote yanafukiwa!
 
Mkuu Mbona week iliopita kabla ya msiba January Makamba alipost Kwamba HAPA KAZI TU lilikuwa modereted na Diamond

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…