Ruhusa ya mikutano ya kisiasa ni pigo kwa vyama uchwara

Ruhusa ya mikutano ya kisiasa ni pigo kwa vyama uchwara

Hilo zuio liliihusu CHADEMA ndio maana mengine yote yaliyofanyika bila CHADEMA kushiriki hayakuwa na impact yoyote!
Unapoizungumzia CHADEMA unazungumzia upinzani Tanzania kinyume chake the rest ni porojo tu za vigenge vya wachumia tumbo
Mshana wewe ni mtu mkubwa sana kumjibu huyo kunguni we subiri chadema ianze kazi hilo vibe lake we subiri maana hata ACT imeonekana sababu chadema ilinyamazishwa sasa subiri watu waingie kazini
 
Mnapoteza muda, jifunzeni kuhusu watanzania, wanafikiri nini kuhusu vyama viongozi na watawala. Wanataka nn na wanajua nini. Mnaleta mavyama hapa kama vile ndo maisha yao. Hata hilo li ccm mnalotetea dhidi ya wengiine watu wanaona kama dude tu wachache hulitumia kupata mlo wao.
Zungumzeni haja za watu, sio madude
 
Naunga mkono hoja haswa kwa kuzingatia Tanzania tuna chama kweli cha siasa ni kimoja tuu ambapo pia ni chama dola, CCM, kimezingukwa na vyama uchwala 4, Chadema, ACT Wazalendo, NCCR Mageuzi na CUF, na vyama makapuku 14 ambayo vipo tuu kwenye daftari la Msajili lakini havina ofisi, havina diwani, wala mbunge hata mmoja na havipati Suzuki hata senti moja!.

Kiukweli JPM sio tuu aliinyoosha nchi... Je, Kasi ya Magufuli itaua Upinzani Uchwara na Kuimarisha Upinzani Makini? - Prof. Kitila Mkumbo na Upinzani wa Tanzania ni Upinzani Makini wa Kweli, au ni Upinzani Uchwala?. Kasi ya JPM Itaua Upinzani Uchwala na Kuibua Upinzani Makini wa Kweli Au..? na
The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja na Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
P
P.
Kwa nini CDM inakuzimisha data? 2020 ccm na jpm waliiba uchaguzi kwa nini?
 
Wewe ni mpumbavu unaetishwa na marehemu na huo upumbavu uishie huko kweny ukoo wenu yaani mtu mzima halafu unaitwa baba unamsujudia na kumuogopa marehemu ni ukosefu wa uoga hata mbele za Mungu
Chadema na ccm ya sa100 ndiyo inayo muogopa marehemu ....tatizo wewe ni zuzu hivyo hata kuelewa nilicho andika ni vigumu
 
Wetulia tu kwenye uchaguzi watapiga V-turn, sio U- turn sababu wataona wanachelewa.

Watalazimika kwenda na falsafa za Magufuli kulingana na upepo ulivyo kwa kupenda ama vyovyote.
Na ndivyo itakavyokuwa !!
 
Kweli kabisa. Kawafungia kufanya siasa, kanunua wabunge, kaengua wabunge, lakini wapi? Ikabidi azime internet kwa wiki mbili wakati wa kupiga kura 2020 lakin wapi. Lissu kamkimbiza kana kwamba hakufanya kitu ikabidi afe tu.
Duh !! Hatar sana !
 
Hiyo ni kazi ya msemaji wa chama. Wengine wafanye majukumu mengine
Sio rahisi kiivyo.

Wapinzani huwa wanamshambulia Rais, kwa hiyo akijibu Msemaji wa Chama inakuwa haina uzito. Hata wananchi ambao wanakuwa wameshaamini au kutilia maanani sumu za wapinzani hawaridhikagi na majibu ya msemaji wa chama tawala au msemaji wa serikali.

Wanapenda Rais mwenyewe ndo ajibu.

Ndo maana Dr. JPM aliwapiga marufuku. Alikuwa anajua ana muda mchache wa kufanya kazi kwa hiyo hakutaka kabisa kuutumia vibaya huo muda kujibizana na watu wasio na kazi.
 
Siasa ni watu na watu washapoteza imani nanyi pale mlipokuwa mnapinga juhudi za serikali kupambana na wezi, wazembe na mafisadi mkamwita dictotor sasa mwananchi gani anaweza waamin ninyi kuwa mtaweza kupambana na hayo mambo.
Hapo U- Turn ya nguvu inahitajika ! Lakini inaaminika kwamba katika siasa hata wiki moja tu ni nyingi sana na inaweza ikabadilisha hali ya hewa !!
 
Bei ya umeme au chakula ipo juu ikicompare na wakati gani au awamu gani yaani JPM haepukiki mkuu whether you love him or not.
Kwanza nadhani hujanisoma vizuri.
Kwenye umeme sijataja Bei, nimesema mgao.

Bei za vyakura kua juu, inaweza isiwe sababu ya nani yupo madarakani lakini lawama haziepukiki.
Nilazima upande wa wajibu hoja nilaziama wajipange vyema
Bei ya umeme au chakula ipo juu ikicompare na wakati gani au awamu gani yaani JPM haepukiki mkuu whether you love him or not.
Haepukiki kivipi mkuu, aje ajibu hoja au atusaidie kushusha Bei?
 
ACT na wenzake wameshapotea.

Chadema wata ng'aa kama wataheshimu na kuenzi kazi za hayati Magufuli.

Kinyume na hapo watapotea infinity.

Zingatia maneno yangu.
Unataka kuwatumia chadema Kwa maslahi yenu binafsi
 
Na ndio maana CCM ikaviogopa na kufuta mikutano ya siasa. Msiipe ccm ukubwa usiokuwa wake.
Ukubwa ilionao ni huu inaouonesha, kufuta mikutano ya siasa na vyama kukubali; kuirejesha mikutano ya siasa na vyama kushangilia. Wanachezeshwa ngoma ya CCM
 
Mbona unalazimisha CHADEMA wapambane na Marehemu.
Vipi mmeanza kumwogopa marehemu tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mm nilijua sasa lazima mkapinge hata bwawa la umeme na ndege alizo nunua na flyover alizo jenga maana mlisema watu awali flyover[emoji1787]
 
Back
Top Bottom