econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
vyama vingi vya siasa hasa chadema ndio litakua anguko kubwa watakosa maneno ya kuongea kwa kulijenga taifa watakuwa wakimuongelea makufuli kwenye mikutano wakifikiri wananchi watawapenda hapo sasa ndio utaona wanaanza kudharaulika kwa wananchi wakishaona wanadharaulika kwa kumsema magufuli wataanza na katiba, napenda niwakumbushe vyama vya siasa msijaribu kumsema makufuli ni kipenzi cha wananchi wengi sana, uliona wapi mwana siasa aliyemsema makufuli akapendwa tangu waanze kumsema?
Wamseme Magufuli kwani yupo?. Watawasema waliopo?