Ruhusa ya mikutano ya kisiasa ni pigo kwa vyama uchwara

Ruhusa ya mikutano ya kisiasa ni pigo kwa vyama uchwara

Lakini hao hao chadema wakaanza kukataa tena jinsi magufuli anavyowabana barick na washirika wake wakasema tutashitakiwa na miga.

CHADEMA walikataa lini barrick kushughulikwa?. Shida ilianzia pale Magufuli aliposema upinzani wamechelewesha maendeleo ya nchi hii. Na pale alipoaanza kuwazuia kufanya harakati zao hapo ndipo shida ilianzia. Kwa hivyo CHADEMA wasingeweza msupport mtu anayewapiga na kuwaumiza.
 
Ndo maana kuna kipindi cha kampeni. Jiandae ukifika wakati wa kampeni tembeza bakora zako. Kama kuna la maana basi iwe ni kuongeza muda wa kampeni kutoka miezi mitatu tuliyozoea iwe hata karibia mwaka mmoja. Yaani ule mwaka wa uchaguzi kampeni ziruhusiwe kuanzia mwezi Januari, badala ya sasa hivi ambapo huwa zinaanza mwezi Julai.

Hapana. Tulijaribu hivyo 2015-2020 , matokeo yake ulipofika uchaguzi wa 2014 kabla ya kampeni wagombea wote wa upinzani wakaenguliwa na kupelekea CCM kushinda bila kampeni. Halafu mwaka 2020 ndio ilikuwa shida, ilifika kipindi wagombea nusu wa CHADEMA wakaenguliwa ili kuipa nafasi CCM kushinda.

Sasa unazuia wapinzani wasifanye mikutano kwa miaka mitano, ikifika miaka mitano mnawaengua kwenye kugombea nafasi za kisiasa na kuzima mtandao siku ya internet siku ya kupiga kura.
 
Magufilification. Kweli akili alizikwa nazo Marehemu.

Shida ya Magufuli aliiogopa Sana CHADEMA sijui kwa Nini?. Mara azuie mikutano ya siasa, Mara anunue wabunge wa CHADEMA, mara azime mitanda siku ya kupiga kura, Mara amwambie ndugai awashughulikie CHADEMA kipindi wakiwa ndani ya bunge na yeye atawashughulikie wakiwa nje ya Bunge. Ila siku amefariki ni CHADEMA walipiga kelele serikali itoe taarifa, na kutishia kutoa press kutangaza kifo chake ndio usiku wa manane Mama Samiah akatangaza msiba.
 
vyama vingi vya siasa hasa chadema ndio litakua anguko kubwa watakosa maneno ya kuongea kwa kulijenga taifa watakuwa wakimuongelea makufuli kwenye mikutano wakifikiri wananchi watawapenda hapo sasa ndio utaona wanaanza kudharaulika kwa wananchi wakishaona wanadharaulika kwa kumsema magufuli wataanza na katiba, napenda niwakumbushe vyama vya siasa msijaribu kumsema makufuli ni kipenzi cha wananchi wengi sana, uliona wapi mwana siasa aliyemsema makufuli akapendwa tangu waanze kumsema?
 
Hapana. Tulijaribu hivyo 2015-2020 , matokeo yake ulipofika uchaguzi wa 2014 kabla ya kampeni wagombea wote wa upinzani wakaenguliwa na kupelekea CCM kushinda bila kampeni. Halafu mwaka 2020 ndio ilikuwa shida, ilifika kipindi wagombea nusu wa CHADEMA wakaenguliwa ili kuipa nafasi CCM kushinda.

Sasa unazuia wapinzani wasifanye mikutano kwa miaka mitano, ikifika miaka mitano mnawaengua kwenye kugombea nafasi za kisiasa na kuzima mtandao siku ya internet siku ya kupiga kura.
Umeelewa lakini. Kuzuia kampeni zisizoisha haimaanishi kuwa ndo kuengua wagombea wa upinzani. Huyo alikuwa ni Magufuli. Lakini kampeni zinaweza zikawekewa ukomo na ukifika wakati wa kampeni wapinzani wakashiriki kikamilifu.

Kumbuka tulikotoka na zile operesheni ni sijui za kila mwaka. Viongozi waliochaguliwa unakuta wanapoteza muda mwingi kujibizana na wapinzani, ambao hawana kazi zaidi ya kupiga domo.
 
Sio uchwala ni uchwara. Unajifanya kuidharau CHADEMA lakini ndio chama kilichoshambuliwa na mahakama, bunge na serikali. Katafute sababu za Mikutano kuzuiliwa ndio ulete dharau zako hapa. Wewe uwezo wa kukonvince wajumbe huna unaambulia kura moja, ila dharau zimekujaa.

Vingekuwa vyama uchwara mikutano isingepigwa marufuku. Hiyo CCM unayoiabudu Ina lipi la maaana. Mfumuko wa Bei, Hali ngumu ya kiuchumi, rushwa, Deni la njee kuongezeka, nk. Punguza dharau

chadema inasumbuliwa na polisi na mahakama kwa kufanya fujo na kutenda kosa kinyume na sheria wanajiona wao wana haki kuliko vyama vingine ndio maana walikuwa wanasumbuliwa na kuwekwa ndani . ccm haijafanya maisha yapande ,ccm haijaleta maisha magumu kwa mtanzania ,ccm ni chama bora sana tanzania ,ccm ni chama kama chama, kinachoiharibia ccm ni mtu au kundi la watu na hao ndio wanapaswa kulaumiwa sio chama, ccm wapo wanachama wengi sana na wazuri sana, wakichaguliwa na kuongoza nchi njaa na ugumu wa maisha utaisha, angalialia ccm hiyohiyo wakati wa nyerere,na wakati wa mwinyi ,na wakati wa mkapa ,na wakati wa kikwete ,na wakati wa jpm ,na wakati wa mama samia,utaona kila rais anayekuja chama kina badilika na nchi inabadika tabia.ccm ya nyerere na makufuli ndio ilikuwa ccm na maisha yalienda vizuri, ni kiongozi tu katika chama ndio wakuangaliwa sana je ana weledi rudi kasikilize hutuba ya nyerere ya kuchagua viongozi ni yupi bora. ila ccm itaendelea kutawa nchi hii miaka mingi sana, chadema katika uchaguzi wa kila miaka mitano mtakuwa nyuma, kama ligi ya mpira timu zinazokaa kwenye ligi hazishuki daraja ila nia yao wawepo kwenye ligi ila hawategemei kuwa klabu bingwa
 
Shida ya Magufuli aliiogopa Sana CHADEMA sijui kwa Nini?. Mara azuie mikutano ya siasa, Mara anunue wabunge wa CHADEMA, mara azime mitanda siku ya kupiga kura, Mara amwambie ndugai awashughulikie CHADEMA kipindi wakiwa ndani ya bunge na yeye atawashughulikie wakiwa nje ya Bunge. Ila siku amefariki ni CHADEMA walipiga kelele serikali itoe taarifa, na kutishia kutoa press kutangaza kifo chake ndio usiku wa manane Mama Samiah akatangaza msiba.
Sio aliwaogopa CHADEMA bali CHADEMA walikuwa na upuuzi mwingi ambao Magufuli hakuwa na muda wa kujibizana nao, lakini alikuwa anajua kuwa akiwaacha waendelee na upuuzi wao watayumbisha nchi, maana kutakuwa na sauti nyingi zinaongea halafu hakuna cha maana haswa wanachoongea zaidi ya kusambaza nongwa tu dhidi ya serikali.

Kumbuka CHADEMA ndo enzi za uhuru wao wa kupiga domo wakati wowote walikuwa na orodha ya mafisadi ambayo Lowassa alikuwemo, halafu baada wakaja kutuambia kuwa Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania.

Sasa hao kama sio wapuuzi ni nani?
 
ACT na wenzake wameshapotea.

Chadema wata ng'aa kama wataheshimu na kuenzi kazi za hayati Magufuli.

Kinyume na hapo watapotea infinity.

Zingatia maneno yangu.
Chadema ilisimama na itasimama yenyewe kwa miguu yake na wala hakuna jina linalozidi chadema huyo mungu wako nenda kazikwe karibu nae moyo wako usuuzike.
 
chadema inasumbuliwa na polisi na mahakama kwa kufanya fujo na kutenda kosa kinyume na sheria wanajiona wao wana haki kuliko vyama vingine ndio maana walikuwa wanasumbuliwa na kuwekwa ndani . ccm haijafanya maisha yapande ,ccm haijaleta maisha magumu kwa mtanzania ,ccm ni chama bora sana tanzania ,ccm ni chama kama chama, kinachoiharibia ccm ni mtu au kundi la watu na hao ndio wanapaswa kulaumiwa sio chama, ccm wapo wanachama wengi sana na wazuri sana, wakichaguliwa na kuongoza nchi njaa na ugumu wa maisha utaisha, angalialia ccm hiyohiyo wakati wa nyerere,na wakati wa mwinyi ,na wakati wa mkapa ,na wakati wa kikwete ,na wakati wa jpm ,na wakati wa mama samia,utaona kila rais anayekuja chama kina badilika na nchi inabadika tabia.ccm ya nyerere na makufuli ndio ilikuwa ccm na maisha yalienda vizuri, ni kiongozi tu katika chama ndio wakuangaliwa sana je ana weledi rudi kasikilize hutuba ya nyerere ya kuchagua viongozi ni yupi bora. ila ccm itaendelea kutawa nchi hii miaka mingi sana, chadema katika uchaguzi wa kila miaka mitano mtakuwa nyuma, kama ligi ya mpira timu zinazokaa kwenye ligi hazishuki daraja ila nia yao wawepo kwenye ligi ila hawategemei kuwa klabu bingwa
Sasa ndo mwandiko gani huu si utulie? Mtu upo chooni unakurupukia kuandika si unye umalize?
 
Sio aliwaogopa CHADEMA bali CHADEMA walikuwa na upuuzi mwingi ambao Magufuli hakuwa na muda wa kujibizana nao, lakini alikuwa anajua kuwa akiwaacha waendelee na upuuzi wao watayumbisha nchi, maana kutakuwa na sauti nyingi zinaongea halafu hakuna cha maana haswa wanachoongea zaidi ya kusambaza nongwa tu dhidi ya serikali.

Kumbuka CHADEMA ndo enzi za uhuru wao wa kupiga domo wakati wowote walikuwa na orodha ya mafisadi ambayo Lowassa alikuwemo, halafu baada wakaja kutuambia kuwa Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania.

Sasa hao kama sio wapuuzi ni nani?
Katawaze kwanza ndo uje kuandika vizuri
 
Ni mambo mawili tu ndiyo yalimfanya Magu ajione si kitu hapa duniani hata uwezo wake wa kukariri idadi ya dagaa wa Victoria (Krilion trillio 700) bado aliuona si chochote na alikosa kabisa usingizi, mambo hayo ni:
1. CHADEMA
2. TUNDU LISSU
 
Lakini ngumu kumeza hiyo ila kupotea?! Mmhh ! Nakumbuka pale mwanzoni mwa utawala wa marehemu Magufuli Chadema walisema Magufuli anafuata sera za Chadema !
Wetulia tu kwenye uchaguzi watapiga V-turn, sio U- turn sababu wataona wanachelewa.

Watalazimika kwenda na falsafa za Magufuli kulingana na upepo ulivyo kwa kupenda ama vyovyote.
 
Kuenzi dictatorship, extortion na kauli za kuudhi za "mimi sijaleta tetemeko"? au kuenzi kitu gani?
Ninamaana kuenzi mazuriyake sababu nimengi kuliko mabaya.

We fuata mazuri achana na mabaya sababu mabaya hatawewe unayo ya kukutosha tu.
 
Chadema ilisimama na itasimama yenyewe kwa miguu yake na wala hakuna jina linalozidi chadema huyo mungu wako nenda kazikwe karibu nae moyo wako usuuzike.
Nonsense!.
 
Wabongo wengi wanajua mahitaji muhimu ya binadamu kama maji, umeme na kujenga barabara na vituo vya afya ndio sera zenyewe!
CCM haikuwa na sera, bali kwenye ilani yao waliorodhesha kila hitaji la mwanadamu, ili ikitokea wamefanikiwa kufanya jambo fulani waseme wametekeleza ilani yao. Lakini kiukweli list ya mahitaji ya binadamu kwenye ilani yao hawajatekeleza hata 30% ya orodha yao.

Nijuavyo mimi ilani unaweka mambo kadhaa kisha unatekeleza kwa nguvu. Wanachofanya CCM hata waliongia madarakani kwa kupindua nchi hufanya.

Halafu inaonekana hujui sera ni nini, ndio maana unachanganya kati ya sera na ilani. Hili sio tatizo lako tu, bali ni la watu wengi ikiwemo viongozi tena wa ngazi za juu. Jitahidi upate kamusi ya kiswahili ujue sera ni nini, na ilani ni nini kisha uje tuendelee na mjadala.
 
Back
Top Bottom