chadema inasumbuliwa na polisi na mahakama kwa kufanya fujo na kutenda kosa kinyume na sheria wanajiona wao wana haki kuliko vyama vingine ndio maana walikuwa wanasumbuliwa na kuwekwa ndani . ccm haijafanya maisha yapande ,ccm haijaleta maisha magumu kwa mtanzania ,ccm ni chama bora sana tanzania ,ccm ni chama kama chama, kinachoiharibia ccm ni mtu au kundi la watu na hao ndio wanapaswa kulaumiwa sio chama, ccm wapo wanachama wengi sana na wazuri sana, wakichaguliwa na kuongoza nchi njaa na ugumu wa maisha utaisha, angalialia ccm hiyohiyo wakati wa nyerere,na wakati wa mwinyi ,na wakati wa mkapa ,na wakati wa kikwete ,na wakati wa jpm ,na wakati wa mama samia,utaona kila rais anayekuja chama kina badilika na nchi inabadika tabia.ccm ya nyerere na makufuli ndio ilikuwa ccm na maisha yalienda vizuri, ni kiongozi tu katika chama ndio wakuangaliwa sana je ana weledi rudi kasikilize hutuba ya nyerere ya kuchagua viongozi ni yupi bora. ila ccm itaendelea kutawa nchi hii miaka mingi sana, chadema katika uchaguzi wa kila miaka mitano mtakuwa nyuma, kama ligi ya mpira timu zinazokaa kwenye ligi hazishuki daraja ila nia yao wawepo kwenye ligi ila hawategemei kuwa klabu bingwa