Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Ukiona mtu hapa Tanzania anaita Chadema chama uchwala ujue hana ajualo kuhusu siasa za nchi hii, lakini kama huyu mtu ni mwanasiasa basi ujue huyo ni TAPELI MSAKA TONGE.Naunga mkono hoja haswa kwa kuzingatia Tanzania tuna chama kweli cha siasa ni kimoja tuu ambapo pia ni chama dola, CCM, kimezingukwa na vyama uchwala 4, Chadema, ACT Wazalendo, NCCR Mageuzi na CUF, na vyama makapuku 14 ambayo vipo tuu kwenye daftari la Msajili lakini havina ofisi, havina diwani, wala mbunge hata mmoja na havipati Suzuki hata senti moja!.
Kiukweli JPM sio tuu aliinyoosha nchi... Je, Kasi ya Magufuli itaua Upinzani Uchwara na Kuimarisha Upinzani Makini? - Prof. Kitila Mkumbo na Upinzani wa Tanzania ni Upinzani Makini wa Kweli, au ni Upinzani Uchwala?. Kasi ya JPM Itaua Upinzani Uchwala na Kuibua Upinzani Makini wa Kweli Au..? na
The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja na Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
P
Chama uchwala kinaweza kumdrive mkuu wa nchi hadi akalazimika kufuata mawazo yao na akapingana na chama chake kinavyotaka?
Pascal usitake nawe tukuite Tapeli msaka tonge bure!
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app