Rukwa: Wanafunzi waliofukuzwa shule kisa wazazi wao kuwa CHADEMA, warudishwa shuleni

Rukwa: Wanafunzi waliofukuzwa shule kisa wazazi wao kuwa CHADEMA, warudishwa shuleni

Tunaelekea pazuri hadi raha.

Huko vijijini wapinzani wanafanyiwa sana hizo mambo sema hawana pa kusemea. Hata hawa hii habari isingeenda mitandaoni hao watoto elimu kwao ndiyo ingekuwa basi tena.
 
Back
Top Bottom