Y Yeyote Yoyote Member Joined Aug 31, 2024 Posts 25 Reaction score 41 Dec 6, 2024 #61 Hao ndio wanachadema halisi wa baadae! Wameanza kuonja kadhia ya siasa Bado watoto kabisa!
Kinyungu JF-Expert Member Joined Apr 6, 2008 Posts 19,484 Reaction score 38,416 Dec 6, 2024 #62 Tunaelekea pazuri hadi raha. Huko vijijini wapinzani wanafanyiwa sana hizo mambo sema hawana pa kusemea. Hata hawa hii habari isingeenda mitandaoni hao watoto elimu kwao ndiyo ingekuwa basi tena.
Tunaelekea pazuri hadi raha. Huko vijijini wapinzani wanafanyiwa sana hizo mambo sema hawana pa kusemea. Hata hawa hii habari isingeenda mitandaoni hao watoto elimu kwao ndiyo ingekuwa basi tena.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Feb 11, 2025 #63 πππππ