IST haina style ya aina yoyote ile sio mpenzi wa rumion lakini Rumion iko more spacious kwa ndani na ni comfortable hata ukiwa ukiwa unaendesha kitu ambacho IST haina, IST ni small compact carKama utalinganisha body ya Rumion na IST, basi utaipenda IST. IST iko more stylish. Kwa ule muonekano wa Rumion, hapana kabisa, yaani utadhani mdudu, kiatu, kibox. Yaani Rumion ina muonekano fulani mbovu sana.
Kama issue ni usafiri chukua sterlet mzee hutojuta, safari popote
Rumion ni takataka tu.IST haina style ya aina yoyote ile sio mpenzi wa rumion lakini Rumion iko more spacious kwa ndani na ni comfortable hata ukiwa ukiwa unaendesha kitu ambacho IST haina, IST ni small compact car
Gari ya kuopolea waremboRumion ipo chini ukilinganisha na IST na hapo ndipo ilipofeli.
IST itabaki juu kileleniiiii.
Hiki kichwa kibovu, soma tena alichosema mtoa madaBinafsi sion kama kuna ukweli hapo, ni bora hata ungesema hata premio angalau.
Poa toyota Ist bado zinanunuliwa kwa wingi hadi sasa kuliko hyo Rumio, ukifanya utafiti vizuri utakubaliana na mimi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi bei za IST zikoje Mkuu?Bado najichangachanga ili angalau ifikapo december ya mwaka 2035 na mimi nimiliki ist yangu,inshaallah,Mungu ni mwema sana,naamini ataniwezesha kutimiza ndoto yangu.
Kivipi???.Kibei,kimuundo ?.Rumion ipo chini ukilinganisha na IST na hapo ndipo ilipofeli.
IST itabaki juu kileleniiiii.
Tuambie ww mwenye kichwa kizima umeelewa ninii?
Bei zake ni tofauti hivyo haiwezi kuwa mbadala wa IST kwa sasa.Sijaelewa kipi hapoo, mimi nimekata rumio kuwa mbadala wa Ist kwa kuwa bado zinapendwa hadi sasa kuliko hiyo Rumio
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kabisa, ist bado haijapata mbadala kabisa, na rumio haiwezi kuwa, hata zingekuwa bei sawa bado ist ingeedelea kuwa chaguo la walio wengi.Bei zake ni tofauti hivyo haiwezi kuwa mbadala wa IST kwa sasa.
Ikiwa na Rim hizi sawa, ila huwa yanabore nikiyaona na Rim zake ilizokujanazo[emoji57]Kitu cha RumiiiView attachment 1829786
Hizi gari nazipenda naona Sasa watu wananunua miji mingi niliyotembeleaKitu cha RumiiiView attachment 1829786
Yeah, ist ipo compact sana. Hata majuzi hapa demand ya ist ilikuwa juu kutokana na uhitajikaji wake kwa wasio na parking ya kutosha na pia kwa biashara ya uber, bolt na kadhalikaSawa kabisa, ist bado haijapata mbadala kabisa, na rumio haiwezi kuwa, hata zingekuwa bei sawa bado ist ingeedelea kuwa chaguo la walio wengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua hata wakati IST inaingia mjini ilikuwa kitu cha ajabu pia.[emoji23]Mkuu Acha kabisa kufananisha IST na vitu vya ajabu!
Pamoja na hayo watu wanazikimbilia kwa kasi mjini.Shida ya Rumion body structure mbovu
Crown watu wanaikimbia kwa sasa.Mkuu kafanye utafiti tena..
Bora hata ungesema Crown ni nyingi mjini siku hizi..ungeeleweka...
Kwa sasa bado hqlijatokea gari la kuipiku IST kwa haraka hivyo