Rushwa haina madhara yoyote ya maana kwa maendeleo ya nchi

Japan, Israeli, Singapore, Switzerland, Korea na nchi nyingine nyingi zilizo na rasilimali kidogo sana zimeendelea kasi kwa sababu ya aina ya watu wake na vingozi smart, sio rasilimali nyingi.
 
Na Kenya ina rushwa za hatari kuliko hata sisi. Wametuacha mbali sana kwa rushwa. Lakini kiuchumi. Wana GDP mia na kitu wakati sisi tunacheza na sabini. Umaelewa vibaya, siyo kuruhusu rushwa na ufisadi, maana yake hakuna uhusiano wa rushwa na uchumi. Hao China pamoja na kunyongana lakini kwenye local goverments kuna rushwa za hatari. Na China wananyonga kwa sababu za kisiasa. Kwa jinsi rushwa na ufisadi ulivyokuwa, wananchi walikuwa wanakaribia kuingia mtaani kuangusha chama. Wananyonga ili raia waendelee kuwa na imani na chama.
 
Huna taarifa sahihi, Japan ndio nchi iliyoikopesha USA pesa nyingi , Deni kubwa zaidi la nje la USA linatokana na Japan. Pia Japan ndilo taifa lenye deni dogo zaidi la nje, deni la serikali la Japan limetokana na mikopo ya ndani ya nchi kwa 90%.
 
Uchumi wa nchi unajengwa na wananchi... unadhani ni watu wangapi wenye sifa wanakosa fursa za kusaidia nchi kwasababu ya Rushwa.
Tusaidie ni viongozi wangapi au nani na nani Tanzania hawana sifa ya kuwa viongozi na ni viongozi?
 
Huna taarifa sahihi, Japan ndio nchi iliyoikopesha USA pesa nyingi , Deni kubwa zaidi la nje la USA linatokana na Japan. Pia Japan ndilo taifa lenye deni dogo zaidi la nje, deni la serikali la Japan limetokana na mikopo ya ndani ya nchi kwa 90%
Sijazungumzia deni,imezungumzia mgawo ambao Japan ananufaika kutoka Kwa USA kutokana na makubaliano baada ya WW2!
Naona hata hoja imeshahama,hoja ni rushwa na uhusiano wake na maendeleo ya nchi!
 
Japan, Israeli, Singapore, Switzerland, Korea na nchi nyingine nyingi zilizo na rasilimali kidogo sana zimeendelea kasi kwa sababu ya aina ya watu wake na vingozi smart, sio rasilimali nyingi.
Na Kuna nchi zimeendelea kwasababu ya rasilimali zao nyingi!Sasa imagine ukiwa na viongozi imara wasiokula rushwa na ufisadi na ukawa na rasilimali!
 
Haya ni mambo yanatokea, na si mazuri. Lakini kwenye level za macroeconomics hayana madhara yoyote ya maana. Tena yanasaidia kuongeza mzunguko. Kipindi cha JK rushwa na ufisadi vilishamiri, lakini pia shughuli za kiuchumi zilipamba moto.
Koo unataka maisha ya kuambiana unajua mimi ni nani??? .... Ilikuaga balaaa
 
Kumbe na wewe ni hamnazo aiseee🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
Sijazungumzia deni,imezungumzia mgawo ambao Japan ananufaika kutoka Kwa USA kutokana na makubaliano baada ya WW2!
Naona hata hoja imeshahama,hoja ni rushwa na uhusiano wake na maendeleo ya nchi!
Hakuna mgawo wowote Japan inaopata kutoka USA. Kuna makubalianao ya kibiashara waliyo nayo kama waliyo nayo sehemu nyingine nyingi duniani ikiwemo na Africa Mashariki. Makubaliano mengine iliyo nayo Japan na USA ni ya kiusalama, hakuna mgawo, ni nipe nikupe. 'win-win' relationship.
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Na Kuna nchi zimeendelea kwasababu ya rasilimali zao nyingi!Sasa imagine ukiwa na viongozi imara wasiokula rushwa na ufisadi na ukawa na rasilimali!
Mfano wa hizo nchi zilizoendelea zikiwa na rasilimali nyingi ni pamoja na Russia, , Mexico, Brazil, India, Uturuki, Azerbaijan. Lakini pia hizi nchi zimeendelea zikiwa na viwango vikubwa sana vya rushwa.
 
Hizo fedha wanazotorosha viongozi wa kiafrika ni Rushwa ambayo wanapewa na wawekezaji uchwara a.k.a wezi wa Rasilimi .

Sidhani kama umeelewa hata ulichokiandika maana umepofuswa na ulevi wa Rushwa tayari.
 
Na Kuna nchi zimeendelea kwasababu ya rasilimali zao nyingi!Sasa imagine ukiwa na viongozi imara wasiokula rushwa na ufisadi na ukawa na rasilimali!
Kwa nini Russia, Uturuki na Italia zimeendelea sana pamoja na kiwango kikubwa cha ufisadi katika hizo nchi?
 
Unaonaje pale haki yako inapocheleweshwa kwasababu hujatoa rushwa? Utafanyaje uzalishaji wa Mali kama kila muda unahangaikia kupata haki yako
 
Mfano wa hizo nchi zilizoendelea zikiwa na rasilimali nyingi ni pamoja na Russia, , Mexico, Brazil, India, Uturuki, Azerbaijan. Lakini pia hizi nchi zimeendelea zikiwa na viwango vikubwa sana vya rushwa.
Weka na nchi ambazo zzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…