RUSHWA: Kijana aliyekuwa akiwalaghai na kuwatapeli Maofisa wa Jeshi la Polisi kwa ahadi za ajira akamatwa

Polisi ndio watoaji na wapokeaji wakubwa na rushwa.

Kuna askari wa barabarani alikamatwa iringa akiwa na noti kwenye gari sijui iliisha vipi hii ishu.
 
Ni aibu ilitakiwa hao watoa rushwa nao wakamatwe ndio maisha yao hao Rushwa haitakuja kuisha kwa mfumo huo...
 
Mtuhumiwa lazima athibishe bila shaka yeyote mahakamani kwamba walimpa rushwa. It is not that easy
Hela zenyewe za kutuma kwenye simu, sidhani kama ushahidi utakosekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…