RUSHWA: Kijana aliyekuwa akiwalaghai na kuwatapeli Maofisa wa Jeshi la Polisi kwa ahadi za ajira akamatwa

watu wako kazini sidhani hata kama huyo mtu ni mharifu sema yuko anafanya kazi maalumu tu
 
Morogoro kumeonekana kupendwa sana tofauti na maenro mengine
Halafu anakuja mbwiga mmoja anaidharau Moro

Sent from my SM-J730GM using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa anataki2a apewe zawadi na hao wakuu wa vituo wanatakiwa wasimamishwe kazi
 
Nadhani wakamatwe kwanza hao uliowataja kwa kosa la kutoa rushwa na wakati wao ni wasimamizi wa sheria, hopeless kabisa
 
Huyo Muhalifu ni Afisa wa TISS au aliwahi kutumikia TISS hapo kabla kikweli kweli mambo yanajieleza wazi hapo huwezi watapeli Maafisa wa vyeo vya juu wa polisi kufikia idadi ishirini kama haupo usalama wa taifa
Kwanza wanatakiwa wakamatwe kwa kutoa rushwa na wakati wao ndiyo ilitakiwa wawe mfano bora
 
Mtoa Rushwa na Mpokea Rushwa WOTE Maji ga nyanza,lazima wapate msukosuko!
La kwa kweli Jeshi letu linanuka Rushwa!
 
Usalama wa Taifa wanahusikaje na kumpandisha vyeo, kuhamisha, kuajiliwa takukuru etc ( najua wanaweza kutumwa.kumchunguza Fulani, lkn na vyeo?)

Rais anawategemea Usalama wa taifa kama chombo chake mahususi kumlisha taarifa
 
Pamoja na utapeli huo hapo kuna Somo la uhamisho wa watu.Sehemu zingine wanaenda bila kupenda hivo nibajira tuu zinawapeleka hawana mapenzi ya huko walipo.!
 
Inafurahisha kwa vile matapeli wametapeliwa na inasikitisha ikiwa polisi wanatapeliwa kijinga kiasi hiki. Sisi kama wananchi usalama wetu ukoje ikiwa tunalindwa na mipumbavu kama hiyo inayopigwa kiboya?
Ila watu mnajua kukomenti aisee..
 
Mbona waliotaka nafasi na walituma pesa Chache , umeupiga mchana kweupe hujui rushwa za nchi hii,yani nasafi inatumwa la MOJA na nusu, laki mbili report feki period , watu wanatafuta nafasi za shule tena za hawali au chuo Cha Kati wanapiga mpaka m2 leo waongea nini, WENDA rushwa za nchi hii hujui ,ni majungu umeleta hapa ,hapa sio face book ,kwenda bwana
 
Nawaza tu kama mtoa rushwa ba mpokea rushwa wote wanamakosa hao maaskali nao wamechukuliwa hatua??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…