Rushwa nimekubali ina nguvu kubwa sana, huyu ni mtu mmoja kwa masaa tofauti,ila kauli tofauti!

Rushwa nimekubali ina nguvu kubwa sana, huyu ni mtu mmoja kwa masaa tofauti,ila kauli tofauti!

Huyu ni mtu mmoja, kauli tofauti ila kwa tofauti ya masaa!

Rushwa ina nguvu sana!
Sisi tumeiona hii video yake ya kwanza, hiyo ya pili hatujaiona, kwanza haifunguki, na hatutaki ifunguke na hatutaki mtu atusimulie inaongelea nini, halafu kwanza hata hsijachangamka kama hii ya kwanza.
Halafu siyo lazima kuiangalia hiyo ya pili, kwanza hatuna 'bando' la mchezo.
 
Mi nachojua ile video ya kwanza ndio yenyewe yes kuna shida mahali maana huyu sio wa kwanza kumsikia .........ile ya pili ......anajitangaza ambavyo afiki kileleni .........labda tumpe mkono wa baunsa
 
Wakuu Huwa sipendi kuangalia mavideo clip ya Hawa wadada ,Huwa Nahisi wanaongea utumbo tu muda wote
Aliyezitazama anisaidie Kwa mistari miwili tu.

Video ya kwanza anasemaje.

Na ya pili anasemaje .
Haina shida mkuu mimi nitakusaidia.

Video ya kwanza inasema Godluck Gozbert amochoma Benz aliyopewa kanisani kisa ndani ya benzi kulikuwa na majini kibwena yamekula ganzi.

Video ya pili majini yamekanusha hayajawahi kuchill kabisa kwenye hiyo Benz na wala hayaitambui hiyo benzi.

Haya lete mchango wako mkuu.
 
Haina shida mkuu mimi nitakusaidia.

Video ya kwanza inasema Godluck Gozbert amochoma Benz aliyopewa kanisani kisa ndani ya benzi kulikuwa na majini kibwena yamekula ganzi.

Video ya pili majini yamekanusha hayajawahi kuchill kabisa kwenye hiyo Benz na wala hayaitambui hiyo benzi.

Haya lete mchango wako mkuu.
Alaaaa , Nimpongeze Goodluck.

Alikua anapoteza jumla, na hapo inabidi avunje vunje mnyororo wa kiroho
 
Manesi wana-sacrifice "maisha yetu". Amerudia kama mara 3 hivi. Anamaanisha nini?
 
Issue sio rushwa hapo. Issue ni kuharibu brand ya taasisi wakati hauna tangible evidence. It's very simple kwamba angeitwa mahakamani kuthibitisha anayoyasema angeweza?

Hivi vibinti vya tiktok vikishaona vina makomwe makubwa vina bwabwaja tu. Kuna kamoja kalitumwa na mpinzani wa kampuni yangu kakajirekod kakachafua kampuni. Sikuhangaika nako hata kukatafuta kalishtukia charge imekafikia nikikataka kanilipe kwa kuchafua kampuni. Kalijifanya kanakaza kama masihara vile kakaletewa wito wa mahakamani, nilidili nako kiulalo ulalo mpaka kakasema ukweli.

Kalituma mpaka mama yake mzazi kutoka mkoa kaja kuniona kuniomba msamaha. Hivi vitoto vinajua kuchafua tu, havijui kwamba kuna watu kwa ground wana hustle, vyenyewe vinachafua tu

Ujinga kaabisa
 
Back
Top Bottom