Russia mbioni kufanya shambulio kubwa katika historia

Mungu gani huyo au mungu feki mwenye nafsi 3
 
Naona ule ugonjwa wako umerudi
 
Si ulisema CIA watamnyamazisha Leo umemuingiza Mungu kwenye upuuzi wako? Nakuambia yule KGB ataikanyaga Ukraine na kuisambaza kama Chapati na hakuna Cha nani wala nani wa kuingilia kati katika dunia hii. Kweli Kwa akili zako unataka kusema Ukraine inatakiwa iachwe iendelee na ugaidi? Putin alishajiapiza Kwa Mungu , gaidi hatakiwi kuishi na yeyote aliyefanya vile iwe Serikali au kikundi Cha watu atafinywa na kupotezwa.

Wale magaidi waliokamatwa watapitia mateso makali mno mpaka watasema na ole wenu waseme Ukraine imewatuma , Putin hatoshindwa kutumia Nuclear ,kakasirika sana. Badala useme tuiombee dunia wewe unataka Mungu anyanazishe mtu anayelinda watu wake.
 
Mikwara Bubu ya Putin....anatisha na kuwaridhisha WaRusi wa Tandale.
Sisi Tena??? mbona sisi hatujapigwa?? Ingawa Putin anafanya makosa mengi sana. Inawezekanaje hata Moscow ndani pale na yeye amelala hapo hapo panapigwa namna ile mpaka jengo linawashwa moto idara za usalama zlilikua wapi?? watu wanafika pale wanaanza kuua hovyo tu wanamaliza wanaondoka huo ni udhaifu mkubwa kwa FSB. Shida kubwa wakuu wengi wa hivyo vyombo vya Usalama ni jamaa zake hawachukulii hatua. Mtu kama Shoigu anafanya nn pale Wizara ya Ulinzi??
 
Ulokole ni janga la dunia.
 
ulimwengu wa vita,Ukreine ainue mikono yaishe yapo maisha nje ya kuwa member wa Nato na nchi ikasonga bila kufungamana na upande.
alishainua mikono juu mwaka 2014 kwa kutotaka kujibu uporaji wa Urusi wa jimbo la Crimea , ila Urusi hakuridhika akataka achukue nchi nzima , hv kwann mnaitia uchizi kusahau kuwa Urusi alianzia mbalk ila Ukraine alikuwa anajitahidi kujihepusha na vita kwa muda mrefu sana na sio hapo tu hata miaka kabla ya 2013 Urusi amefanya vitu vingi dhidi ya Ukraine ambavyo Ukraine angekuwa na akili kama hawa wavaa kobaz bas Ukraine angekuwa kapigana tangu muda mrefu
 
Wagongwe tu ukreine na mashoga zake
mwakawa pili ni milipuko inaongezeka ndan ya Urusi , Putin anabana media zisiwafikie raia wake pia anawatisha raia wake wasifunguke ila watu washaanza msanda Putini muda si mrefu ukitokea mwanya utaona , hata Ghadaf alituaminisha kuwa anapendwa sana na raia wake kuwa alikuwa anawapa huduma nyingi bure
 
Angekuwa na ania asingetangaza.....

Zile ngumi za zamani za utotoni.....nitakuumiza mie usinichezee sogea mbali

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ni kweli. Huyu jamaa tangu vita ianze 24 Feb.2022 amekuwa akitoa matamko mengi sana na yote hakuyatimiza -mara Ooo nchi itakayomsaidia Ukraine itantambua, mara Ooh nitatumia nuklia na blablaa nyiiingi. Tangu aachane na WAGNER Group na kudanganywa na Korea N, akili haijatulia yan.
 
Huyu mzee mnampa sana attention but ni old man hana maajabu
Anayo. Maajabu yake ni kwamba bado anazo zile akili za mwaka 47 na bado anajaribu kuzi-apply leo 2024. Hajiulizi imekuwaje hadi njemba zimepenya, zimeingia hadi kwenye ukumbi wa starehe, wakaweza kufanya walichofanya na kutoroka, ila tu ni kwa bahati mbaya katika hatua za mwisho walikamatwa baadhi na sio wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…