Russia mbioni kufanya shambulio kubwa katika historia

Hautuo sawa kabisa kiakili
 
Russia kuvuka mpaka wake na kwenda kuuwa wa Ukraine nao ni ugaidi.
 
ulimwengu wa vita,Ukreine ainue mikono yaishe yapo maisha nje ya kuwa member wa Nato na nchi ikasonga bila kufungamana na upande.
Akili hana huyo jamaa maamuzi ya nchi yake anawauliza west mwanzo alitaka kumaliza vita kwa mazungumzo west wakamwambia pigana tutakusaidia kaacha kweli mazungumzo kaingia vitani
 
Ngoja waislam wambake kwanza maana katangaza bifu nao.... hana jipya
 
Katika hili tukio Putin anajaribu kuaminisha raia wake kwamba limefanywa na Ukraine ili kugicha udhaifu wa vyombo vyake vya ulinzi.
 
Kaka; sio kazi rahisi kama unavyo fikiria. Lakini pia kumuUa inaweza ikawa sio suluhisho. Rais wa nchi ni Taasis sio mtu mmoja e.g. Putin.
Naelewa mkuu I was just joking. Ila jamaa anazingua big time.
 
Urusi Tokea zamani Yupo Imara nchi nyingi ikiwemo Tanzania zilisaidiwa Silaha Africa
Msaada wa silaha? Nilidhani utasema msaada wa barabara, miundo mbinu ya kuzalisha umeme, zahanati etc. Kumbe ni silaha ili tuUane au tukawaue majirani zetu. Kwa mantiki hiyo Mrusi tokea zamani Yupo Imara katika Ushetani wake.
 
Unadhani waliopanga kilichotokea hawajui wehu wa huyo chizi putin?wanajua vizuri wamekaa pale wanakebehi ujio wa kurupuko lake.
 
Kwa vile urusi ameuwa raia wengi wasio na hatia huko Ukraine na anaendelea na kuharibu nchi ya watu hata likipigwa bomu na kuuwawa 200 Urusi fresh tu.

Ugaidi ukifanyika urusi anaoufanya yeye kwenye nchi yá watu (Ukraine) ni utafiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…