EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Yaani hao akina mama na wazee ndio wamekomboa jimbo?? kuna wehu wengisana humu duniani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hao akina mama na wazee ndio wamekomboa jimbo?? kuna wehu wengisana humu duniani
Acha roho mbaya, ruhusu masikio yako yasikie usichokipenda.Mods unganisheni huu uzi, ni content zilezile za hii vita. Hii mushrooming ya thread haina tija. Uzi hauna tofauti yoyote na mchango wa kwenye uzi mama.
MODS UNGANISHENI HUU UZI.
"(3) Question" Who would benefit from the Russia-Ukraine war?Kuna uzi mmoja amezungumza allen lobo quora ngoja niweke link hapa mwenye kutaka kusoma na asome ..
Ni uchambuzi wake na namna anavyoutizama huu mzozo.
Nb:Lugha ni ya malkia na uzi ni mrefu mno
1.the house of government Yuri Slezkine,{Saga of Russian Revolution}Brittanica Jf encyclopedia.
Bro naomba list ya vitabu unavyosoma au genres
Sorry for quoting whole thread
Kwani huu mchango ukiwekwa kule hautoonekana?? Huu mchango una tofauti gani na wa GANGA ZUMBA, T14 ARMATA, GLENN na wengineo?Acha roho mbaya, ruhusu masikio yako yasikie usichokipenda.
Ndio shida kubwa ya Watanzania..mnapenda kusikia myapendayo.
WARUSI WEUSI HAWAAMINI HAYA, WANASEMA PUTIN ANAKAMATA MIJI MBONA HATANGAZI KUSHINDA MWEZI SASA😂😂Mpaka sasa Muda huu
Vikosi vya UKRAINE vimerejesha Muda huu control juu ya
Makazi ya Demydiv, Dymer, Lytvynivka, Gavrylivka, Kozarovychi, Zhovtneve, Hlybivka, Yasnohorodka, Talakun, Sukoluchchya, Lypivka, Gavronshchyna, Makovyshche, Mykolaivka, Khmilna.
Wanajeshi wameondoka wa Urusi Kwa kuzidiwa nguvu Hii ni hatari
MOSCOW YA MABWEPANDE😂😂😂mkuu mbona mi niko moscow na hapa hali ni shwali wewe upo moscow ipi iyo,
Si kila mtu unamjua hapa na pia si kila mtu atajiweka wazi kiviiile but Tunajua mengi andKwamba Putin umemuona kwa macho yako akibadilisha walinzi waliomlinda kwa miaka 20
Ulaya wana msiba mkubwa mpaka sasa. Achana na CNN na BBC, tafuta vyanzo vya uhakikaHabari za wakuu hapa ni vema uzi uachwe kuonesha nani kapoteza kwa namna tofaut tofauti,
Kuna Nyuzi nyingi Sana hapa ila huu utakuwa wa kitaalamu Na shuhuda nilizoshuhudiwa siyo kwa kusimuliwa
Wengi wameeleza chanzo cha Vita hii ila kwa hapa naonesha Matokea tu
1. Mpaka sasa week Jana natoka Moscow kulikuwa Na hali Ya sintofahamu juu Ya majenerali wanaokufa vitani,
Putin amepangua walinzi wake mara nne tokea vita imeanza, kutokana na kuhofia Usalama wake ,
2. Kuna Uhaba wa Bidhaa katika supermarkts na zimebaki zilizokaribia kuisha Muda wa matumizi,
3.mpaka tarehe 24/03/2022 warusi 1200 walikuwa wakipinga na kuandamana kukataa vita wamefungwa magerezani na watakuwa na kesi za kujibu
4. Wanajeshi wanaokufa ni wengi sana wa Urusi takriban wanajeshi 7000 wameuwawa kwa namba sahihi, Hii ni kwasababu wengi wao hawakuwa tayari na vita hii hawakupenda,
Ukawa mzozo mkubwa wa warusi kutengwa na Dunia
Waliosafiri Au waliobahatika Kusafiri wanaelewa hapa nikisema,
-Visa card yako haifanyi kazi,
-Hutaweza kulipa Au kulipwa na wadeni wako kwakuwa benki yako Iko disconnect
-hutapata visa Kwenda sehemu kadhaa Duniani hata Kama una maslahi huko
-Majumba Au mali ulizonazo zinawekwa rehani
Hayo ndo wanapitia warusi..
Suala la kutengwa Duniani kuhusu Biashara limemuumiza sana Urusi
1.Kuna nchi ambazo zilitaka kuonekana Neutral Kama India Lakin hakuna wakubishana na Dunia akaweza,
Natoa mfano tu
India na Marekani na Kwanini India hawezi poteza uchumi wake eti Kisa Ushikaji na Urusi
Watu wanadhani India ana uwezo wa kutenda Kunyume na USA.
Hebu tuangalie hapa.
Biashara kati ya India na Russia ni US$ 8 billion,
Kati ya hizo, india anaingiza US$ 2.6 wakati Russia anaingiza US$ 5.48 billion.
Biashara kati India na US ni US$ 113.391
Kati ya hizo, India anaingiza US$ 73 billion, wakati US wanaingiza over US$ 40 billion.
Yaani India abomoe uchumi wake kwa ajili ya Russia.
Kati the world largest trading partners 20 wa India duniani, Russia hayupo kabisa, halafu mnamuamini India akisema yeye hapangiwi cha kufanya...mnataka afee?.
Kabla ya kushabikia au kuyaamini maneno au taarifa zinazichapishwa. Huwa ninawafundisha watu kuwa siku zote kabla ya kuelezea maoni yao, au kuamua ku side na jambo, basi wawe wanaenda na facts zao, hata kama mhusika ndiyo anaongea, wewe just deal with the facts, the numbers, the data
Hivi India kujifaragua kwamba atanunua mafuta ya Urusi ni ya Muda tu!
Watu huwa wanaamini kuwa China na Marekani ni maadui. Siku zote nimekua nikisema China kamwe si aduiwa US. Wametuaminisha hivyo ila mimi nimegoma kuliamini hilo. Hao ni greatest partners na wanategemeana in so many ways baada ya US kuhamishia kule technolojia zake na viwanda vyake vingi kwa lengo la kupata cheap labours na masoko ambayo US asingeweza kukubalika.
Kwa kufanya hivyo aliondoa influence ya Russia kwa China. Mahusiano ya Russia na China yapo masikioni na kwa maneno zaidi, wakati mahusiano kati ya China na US ni ya dhahiri ingawa watu hawaoni, sababu ni ya kimkakati na kujizatiti zaidi. Hata ukiangalia among the Chinese wenyewe, wananchi wana prefer kuwa karibu zaidi na USA kuliko Russia.
Mwaka 2020 kulikua na Chinese 3.70+ milion wanaoishi USA, Wakati wachina waliokua wakiishi Russia mpaka mwaka 2021 walikua ni 39,000+ tu. Mind China na Russia anayesemekana kuwa greatest partner ni majirani wanao share border[emoji28], inazidiwa hata na Japan ambaye ni taifa hasimu la Jadi la China lakini ndani ya Japan kuna Wachina 770,000+.
Hata Mongolia kuna Wachina wengi kuliko Russia, Mongolia kuna Wachina takribani 1.3 milion.
Hilo litakupa mwanga wa kujua kama kweli ni adui US na China ni maadui au laah.
Katika list ya Major trading Partner wa China Duniani, Marekani ni namba moja, halafu kuna European Eunion then kuna South Korea na Japan, wote hao ukiwataja unamtaja Marekani. US ndiye kampa mchongo China wa masoko hayo, ndiye aliyempa teknology, mitaji na viwanda na ndiye aliyewaambia jao wampokee.
Hata ukija kwenye mahusiano ya kijeshi, miongoni mwa partners watatu bora wa China, US ni mmoja wapo[emoji28][emoji28], ndiye anayempa technolojia za vifaa vya kijeshi na kubadilishana taarifa za kimafunzo na kimbinu...bado ni maadui kweli hao[emoji28][emoji28]?
Uadui wa China na Marekani ni wa kutengenezwa tu.
USA siyo fala, hafanyi hizo investment ili kujiua, bali anajizatiti. They are there to stay, wamemtengeneza China ili kutoa sehemu ya wasiompenda kwenda ku ventilate ili wasije wakavimba wakapasuka wakakufa.
USA anawapenda sana[emoji28][emoji28] mpaka anajitengenezea adui mdori ili tu watu wafurahi[emoji28].
US anajua hapendwi na interests zake zinawindwa kote duniani, hivyo basi, kupitia mitaji, viwanda, technology etc alizompatia China anakua amezipaka rangi na logo ya China biashara na products zake ma hivyo kuweza kuuza Russia , Iran na sehemu zote ambazo mmarekani hakubaliki, amnako wanamuona China kama mkimbozi na mbadala wa Marekani. Wasilolijua ni kuwa US anamtumia China.
UN kwenye mzozo wa Ukraine wamepiga kura ya kuweka azimio la kuitenga Russia kuhusiana na kitendo chake cha kuivamia Ukraine, nchi 141 ziliunga mkono azimio hilo, nchi 35 hazijupiga kura kati ya nchi zilizopiga kura, nchi tano zilipiga kura kupinga hilo azimio na hovyo kuiunga mkono Russia, nchi hizo ni Russia yenyewe, Belarus, Syria, Eritrea and North Korea._* China ambaye anasemekana ndiye adui namba moja wa US na rafiki wa damu wa Russia hayupo hapo[emoji28][emoji28].
Watu wanatumia elimu zao, kufanya future predictions, innovations, management, productions, strategising and so so.. aisee, sisi ndiyo kwanza tunatumia vikao bungeni kuponda elimu na kuifubaza, pambavu zetu sisi.
Hivo China Kama ni mshkaji wa Russia asinge sita
Kuhusu kulipa Kwa Ruble Mafuta ya Urusi
Tukubali Urusi alikuwa Namba one kuuza Ulaya mafuta na gesi haina Ubishi ila kumbuka mwenye Reserve kubwa ya Mafuta Duniani ni Venezuela, na Iran Yuko miongoni mwa wenye reserves kubwa
Ally wa US Yaan UK Kalipa deni la $400M kwa IRAN na watu wake ma spy wawili wameachiwa sasa kinachofuata watamfungulia vikwazo na wanunue mafuta yake .....kuziba pengo la ya Rusia ....Marekani nae kamaliza vikwazo vya Venezuela ili akombe mafuta...
Boris wa UK alienda arabuni pamoja na kwamba mfalme kanyonga watu 81 Jumamosi Ya week kadhaa zilizopita LAKINI MAFUTA YANAFUTA DHAMBI HIYO NA LEO NAJUA MFALME ATAMWAMBIA PM KUWA HAKIKISHA CHELSEA ANAINUNUA MTOTO WA DADA YANGU...KESHAWEKA MEZANI £2.7B Sawa na $3.5B
Leo UMOJA wa Ulaya pamoja na G7 wamemwambia Urusi we can’t buy your gas by Ruble tutatumia Sarafu yetu Yaan hawataki madafu,
Italy na Spain leo wametia Saini kujenga Bomba Lao la Mafuta Kuacha kutegemea ya Urusi,
Ujerumani ambayo ilikuwa na mradi wa ujenzi wa Bomba na Urusi Kama Nordic 2 imesitishwa na pia hawatanunua gesi kwa Ruble hata Urusi wenyewe wamekubali,
Kuna Suala la Sarafu ya Ruble kupanda ni Kwa Muda tu Kwakuwa impact on currency changes have some factors moja ikiwa pegging Kama aliyo Fanya Urusi but won’t be in long run , ni kwakuwa wanunuzi wanatafta ufumbuzi wa mbadala
Ntaendelea Uzi usiungwe kwingine plz……
Thanks Bro1.the house of government Yuri Slezkine,{Saga of Russian Revolution}
2.The Russia Revolution -Geofrey Shwain,
3.Russia History Captivating history
4.Russia: History of Russia: Kievan Rus to Vladimir Putin, Tsars and Revolutions - All Shaping Russian Culture and Russian History, hapa Pro Putin panawafaa
Hiki Kitabu kinafunza ambavyo Russia imetengenezwa there are so many things The families were discussed and the war machine
5.Mambo mengi ya jinsi Urusi ilivyozivamia baadhi ya nchi na kuzilazimisha kujiunga USSR yanapatikana pia, Kuna vita katika Makala nyingine ya Red army inaonesha ambavyo Russia na Jeshi lake walivamia Estonia, Lithuania na Lativia, haya yote ni muhimu tuyajue haina Tofauti nasi
6. How to Handle Woman at diferent ages
7. How to manage your time
Naendelea
Si kila mtu unamjua hapa na pia si kila mtu atajiweka wazi kiviiile but Tunajua mengi andKwamba Putin umemuona kwa macho yako akibadilisha walinzi waliomlinda kwa miaka 20
Mpaka Sasa Ukraine kapata hasara ya Dola bil 495,Sasa unaona hapo ni zaidi ya trilion 1000+!Ukraine ana 72Trilions za Kuijenga nchi yake Upya ziko mkononi kwa Kutoka America Na washirika , alafu sehemu Ilo vanima Ukraine haifikii hata Nusu Ya miundombinu Ya Ukraine Majimbo yaliyo athirika Sana ni Yale Ya Mauripolo, Summy , Kharkiv Na Iripina Na Bucha Pia Na Viwanda tu Vya ndege Na Kambi za jeshi, Ukraine kapoteza kwa miundombinu sawa ila siyo Kwamba hatajenga,
Jana Zelensky katangaza kwa kila mu Ukriane alopatwa Na Janga watalipwa ndani Ya miezi miwili wajiandae Baada Ya Vita,
Kapoteza ndege Yao Ya Mirya Antonov ndo suala wanaloona ni pigo kubwa Sana
Uzi mtamu huo dadeqiHabari za wakuu hapa ni vema uzi uachwe kuonesha nani kapoteza kwa namna tofaut tofauti,
Kuna Nyuzi nyingi Sana hapa ila huu utakuwa wa kitaalamu Na shuhuda nilizoshuhudiwa siyo kwa kusimuliwa
Wengi wameeleza chanzo cha Vita hii ila kwa hapa naonesha Matokea tu
1. Mpaka sasa week Jana natoka Moscow kulikuwa Na hali Ya sintofahamu juu Ya majenerali wanaokufa vitani,
Putin amepangua walinzi wake mara nne tokea vita imeanza, kutokana na kuhofia Usalama wake ,
2. Kuna Uhaba wa Bidhaa katika supermarkts na zimebaki zilizokaribia kuisha Muda wa matumizi,
3.mpaka tarehe 24/03/2022 warusi 1200 walikuwa wakipinga na kuandamana kukataa vita wamefungwa magerezani na watakuwa na kesi za kujibu
4. Wanajeshi wanaokufa ni wengi sana wa Urusi takriban wanajeshi 7000 wameuwawa kwa namba sahihi, Hii ni kwasababu wengi wao hawakuwa tayari na vita hii hawakupenda,
Ukawa mzozo mkubwa wa warusi kutengwa na Dunia
Waliosafiri Au waliobahatika Kusafiri wanaelewa hapa nikisema,
-Visa card yako haifanyi kazi,
-Hutaweza kulipa Au kulipwa na wadeni wako kwakuwa benki yako Iko disconnect
-hutapata visa Kwenda sehemu kadhaa Duniani hata Kama una maslahi huko
-Majumba Au mali ulizonazo zinawekwa rehani
Hayo ndo wanapitia warusi..
Suala la kutengwa Duniani kuhusu Biashara limemuumiza sana Urusi
1.Kuna nchi ambazo zilitaka kuonekana Neutral Kama India Lakin hakuna wakubishana na Dunia akaweza,
Natoa mfano tu
India na Marekani na Kwanini India hawezi poteza uchumi wake eti Kisa Ushikaji na Urusi
Watu wanadhani India ana uwezo wa kutenda Kunyume na USA.
Hebu tuangalie hapa.
Biashara kati ya India na Russia ni US$ 8 billion,
Kati ya hizo, india anaingiza US$ 2.6 wakati Russia anaingiza US$ 5.48 billion.
Biashara kati India na US ni US$ 113.391
Kati ya hizo, India anaingiza US$ 73 billion, wakati US wanaingiza over US$ 40 billion.
Yaani India abomoe uchumi wake kwa ajili ya Russia.
Kati the world largest trading partners 20 wa India duniani, Russia hayupo kabisa, halafu mnamuamini India akisema yeye hapangiwi cha kufanya...mnataka afee?.
Kabla ya kushabikia au kuyaamini maneno au taarifa zinazichapishwa. Huwa ninawafundisha watu kuwa siku zote kabla ya kuelezea maoni yao, au kuamua ku side na jambo, basi wawe wanaenda na facts zao, hata kama mhusika ndiyo anaongea, wewe just deal with the facts, the numbers, the data
Hivi India kujifaragua kwamba atanunua mafuta ya Urusi ni ya Muda tu!
Watu huwa wanaamini kuwa China na Marekani ni maadui. Siku zote nimekua nikisema China kamwe si aduiwa US. Wametuaminisha hivyo ila mimi nimegoma kuliamini hilo. Hao ni greatest partners na wanategemeana in so many ways baada ya US kuhamishia kule technolojia zake na viwanda vyake vingi kwa lengo la kupata cheap labours na masoko ambayo US asingeweza kukubalika.
Kwa kufanya hivyo aliondoa influence ya Russia kwa China. Mahusiano ya Russia na China yapo masikioni na kwa maneno zaidi, wakati mahusiano kati ya China na US ni ya dhahiri ingawa watu hawaoni, sababu ni ya kimkakati na kujizatiti zaidi. Hata ukiangalia among the Chinese wenyewe, wananchi wana prefer kuwa karibu zaidi na USA kuliko Russia.
Mwaka 2020 kulikua na Chinese 3.70+ milion wanaoishi USA, Wakati wachina waliokua wakiishi Russia mpaka mwaka 2021 walikua ni 39,000+ tu. Mind China na Russia anayesemekana kuwa greatest partner ni majirani wanao share border😅, inazidiwa hata na Japan ambaye ni taifa hasimu la Jadi la China lakini ndani ya Japan kuna Wachina 770,000+.
Hata Mongolia kuna Wachina wengi kuliko Russia, Mongolia kuna Wachina takribani 1.3 milion.
Hilo litakupa mwanga wa kujua kama kweli ni adui US na China ni maadui au laah.
Katika list ya Major trading Partner wa China Duniani, Marekani ni namba moja, halafu kuna European Eunion then kuna South Korea na Japan, wote hao ukiwataja unamtaja Marekani. US ndiye kampa mchongo China wa masoko hayo, ndiye aliyempa teknology, mitaji na viwanda na ndiye aliyewaambia jao wampokee.
Hata ukija kwenye mahusiano ya kijeshi, miongoni mwa partners watatu bora wa China, US ni mmoja wapo😅😅, ndiye anayempa technolojia za vifaa vya kijeshi na kubadilishana taarifa za kimafunzo na kimbinu...bado ni maadui kweli hao😅😅?
Uadui wa China na Marekani ni wa kutengenezwa tu.
USA siyo fala, hafanyi hizo investment ili kujiua, bali anajizatiti. They are there to stay, wamemtengeneza China ili kutoa sehemu ya wasiompenda kwenda ku ventilate ili wasije wakavimba wakapasuka wakakufa.
USA anawapenda sana😅😅 mpaka anajitengenezea adui mdori ili tu watu wafurahi😅.
US anajua hapendwi na interests zake zinawindwa kote duniani, hivyo basi, kupitia mitaji, viwanda, technology etc alizompatia China anakua amezipaka rangi na logo ya China biashara na products zake ma hivyo kuweza kuuza Russia , Iran na sehemu zote ambazo mmarekani hakubaliki, amnako wanamuona China kama mkimbozi na mbadala wa Marekani. Wasilolijua ni kuwa US anamtumia China.
UN kwenye mzozo wa Ukraine wamepiga kura ya kuweka azimio la kuitenga Russia kuhusiana na kitendo chake cha kuivamia Ukraine, nchi 141 ziliunga mkono azimio hilo, nchi 35 hazijupiga kura kati ya nchi zilizopiga kura, nchi tano zilipiga kura kupinga hilo azimio na hovyo kuiunga mkono Russia, nchi hizo ni Russia yenyewe, Belarus, Syria, Eritrea and North Korea._* China ambaye anasemekana ndiye adui namba moja wa US na rafiki wa damu wa Russia hayupo hapo😅😅.
Watu wanatumia elimu zao, kufanya future predictions, innovations, management, productions, strategising and so so.. aisee, sisi ndiyo kwanza tunatumia vikao bungeni kuponda elimu na kuifubaza, pambavu zetu sisi.
Hivo China Kama ni mshkaji wa Russia asinge sita
Kuhusu kulipa Kwa Ruble Mafuta ya Urusi
Tukubali Urusi alikuwa Namba one kuuza Ulaya mafuta na gesi haina Ubishi ila kumbuka mwenye Reserve kubwa ya Mafuta Duniani ni Venezuela, na Iran Yuko miongoni mwa wenye reserves kubwa
Ally wa US Yaan UK Kalipa deni la $400M kwa IRAN na watu wake ma spy wawili wameachiwa sasa kinachofuata watamfungulia vikwazo na wanunue mafuta yake .....kuziba pengo la ya Rusia ....Marekani nae kamaliza vikwazo vya Venezuela ili akombe mafuta...
Boris wa UK alienda arabuni pamoja na kwamba mfalme kanyonga watu 81 Jumamosi Ya week kadhaa zilizopita LAKINI MAFUTA YANAFUTA DHAMBI HIYO NA LEO NAJUA MFALME ATAMWAMBIA PM KUWA HAKIKISHA CHELSEA ANAINUNUA MTOTO WA DADA YANGU...KESHAWEKA MEZANI £2.7B Sawa na $3.5B
Leo UMOJA wa Ulaya pamoja na G7 wamemwambia Urusi we can’t buy your gas by Ruble tutatumia Sarafu yetu Yaan hawataki madafu,
Italy na Spain leo wametia Saini kujenga Bomba Lao la Mafuta Kuacha kutegemea ya Urusi,
Ujerumani ambayo ilikuwa na mradi wa ujenzi wa Bomba na Urusi Kama Nordic 2 imesitishwa na pia hawatanunua gesi kwa Ruble hata Urusi wenyewe wamekubali,
Kuna Suala la Sarafu ya Ruble kupanda ni Kwa Muda tu Kwakuwa impact on currency changes have some factors moja ikiwa pegging Kama aliyo Fanya Urusi but won’t be in long run , ni kwakuwa wanunuzi wanatafta ufumbuzi wa mbadala
Ntaendelea Uzi usiungwe kwingine plz……
UPDATES
Kabla ya Mkutano wa Leo Rais Putin ameagiza Mtaalamu wa masuala ya the surgical treatment of oncological diseases," kumuondolea hofu dhidi ya Mambo kadhaa baada ya Afya yake kuwa na mzozo Kwa siku mbili mfululizo
Kyv independence na litivino wamereport hivo,
View attachment 2171628
Vema sana yan kauzi kamenipa faraja sipendagi ma dikteta mimi niwe mkweli
Kukuuliza tu kuwa umeelewa kilichoandikwa ndiyo haya yote?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bichwa lako, domo lako, bando lako, kwanini nikuzuie kuandika pumba kama hizi[emoji848]
Siko CNN wala na sijAweza kubase Huko Nina vyanzo sahihi kutoka field na ukitaka nianze kuweka habari ambazo naweka sasa hivi Alafu CNN na hao wengine RT wanakuja kuzitangaza Baada ya Lisaa?Ulaya wana msiba mkubwa mpaka sasa. Achana na CNN na BBC, tafuta vyanzo vya uhakika
ukifikiria nje ya box utagundua huu uzi wa huyu BRITANICCA ni moja ya mikakati ya Propaganda mfu za kudanganya dunia.Ulaya wana msiba mkubwa mpaka sasa. Achana na CNN na BBC, tafuta vyanzo vya uhakika